Acheni majungu nyie, kila mtu ana uwezo wake katika hili tendo hivyo huwezi kumlazimisha kupiga bao 4 au zaidi lile tendo siyo adhabu ni furaha ikigeuka kuwa adhabu mimi naona is unfair kama na wewe mdada hulidhiki basi olewa na wa kiwango chako ili isiwe taabu. mimi najua kuna wadada wanataka moja tu ikizidi sana mawili lakini wapo wanaotaka manne na kuendelea wapo wengine mawili tu anapepea na feni sasa nyie mnao lalamikiwa washaurini wafanye uchunguzi wa kina before married sio anakimbilia sifa ya kuitwa mke wa mtu kumbe kuna mambo hayako sawa upande wa pili!
Binafsi tendo lile kwangu sio adhabu nafanya kadri mwili unavyo hitaji na mwenzangu anapaswa kuwa huru kwangu sio kuleta majungu kwa wavimba macho!