MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
Mi huwa sielewagi kwa kweli, sasa hao wanawake wanaolalamika kwani huwa wanabakwa kwa nguvu? We kama unajua kuwa mwanaume wako ukimwonyesha paja tu tayari anamaliza, wamwonyesha la nini ikiwa wewe hujawa tayari? Mxiiiiiii......... kama ni udhaifu wake si mzungumze muwekane sawa? La sivyo anza kujiandaa mwenyewe kisha mwonyeshe hilo paja mrukiane kama kuku. Hizi sayansi tunafundishwa kila kukicha......... badala ya kwenda kumdhalilisha (na wewe unajidhalilisha) mwenzako fikiria jinsi ya kusaidiana wote mfurahi. Kama kweli unampenda, utamlinda zaidi ya hapo ni ufuska, tamaa na umaaluni tu, hakuna jengine