Kuna sehemu nilikuwepo nilikuwa nawasikia wakina dada na kina mama wengi wanadai wanaume wengi hawaridhishi kitandani mkishapiga bao lenu moja mnalegea vibaya.
Kitu kingine wanacholalamika wanawake ni kwamba wanaume wengi mna haraka sana mkifunuliwa paja tu mnachanganyikiwa kama kuku kamuona mwewe.
Sasa nashauri wanaume wenzangu mnapokuwa na wanawake wakazeni vya kutosha coz huko nje mpaka wanawataja majina kwamba wengi wenu nyie ni suruali na ndevu tu, wadau angalau bao 4 hivi kidogo ndio wanaanza kujisikia akili yao imekaa vizuri.
Maoni yenu wakina kaka tulizungumzie hili