Yah sema wengi tunakosea kuandika prompt hvy Ai inaamua yenyew cha kufanya bila ruksa, ila prompt ikinyooka huwez kukuta sura imebadilika na hata ilibadilika sio rahisi kugundua.Mekupata sana boss wangu.
UKituma hizo real image mtaalamu mbaga atazitumia kufanyia face lock ili wewe wa AI ufanane na huyo wa kwenye video za kweli.
Kila la heri ktk kazi yako mkuu
YAH broUnajua namna ya kizi propmt mkuu?
Asante.Duh 28k kwa credit 660 tena dkk 3 hiyo hapana aisee.
Tumia gemini tuu aisee.
H video ina dkk 4 ila ina vipande za video za 10 sec ila sidhani kama ilizidi credit 300
View attachment 3697491
Hujuti sbb umeumbwa mwanaume ila ungeumbwa mwanamke pia usingejuta sababu hata mimi sijutii kuumbwa mwanamke tena kufikiria kuwa ingekuaje ningekua wa kiume ni jambo la kutisha sana kwangu.
Tuendelee zetu na mada mkuu.
Nipe miongozo.🙏
Ukichagua AI hakuna hizo gharama za video shooting.Kaka changamoto itabidi tena mimi niingie gharama kufanya video shooting nikutumie wewe utengeneze ndugu yang huoni ni kaz mara mbili
Sina hiyo 6M ndo mana niko hapa nabusu miguu ya kina mbaga dogo.Haha eti maisha ya uswazi alaf una budget ya 6m and above!
Good, say hi, to them.
Hahahaha sawa, dada ake.Sina hiyo 6M ndo mana niko hapa nabusu miguu ya kimbaga dogo.
Ila ningekua na uhakika nitauza hiyo 6M sio ishu hata kausha damu ningekopa.
They Hi back
Ww unaona nakukazia mana umeamua kutokusoma comment zangu vzr, mm nmekupgia hesabu vzr nmekuwekea hapo.Mkuu tuachane na hii 6m.
Niambie wewe hizo za chini ya 6m zinapatikanaje mkuu.
Pia kama hutaki kunisaidia be straight mkuu kuliko kukausha maziwa ya wanangu kwa kunizungusha?
Pia kama inabidi nilipie hayo maelezo nyooka tu nishindwe mimi😃🏃♂️
HIzo umetaja ni nzuri kwa ma editor wa real production.Animation kidogo zinakuwa realistic maana zinatumia real sound na, pia code inahusika. AI inaonekana kabisa, alafu huwa haispark human desire.. Sijui niseme hivyo. Animation zinapendeka kwasababu zina human touch
Premier, Da'Vinci resolve, zipo nyingi sana. Ila zenyewe sio za AI. AI labda kwenye effects tu ila picha ni halisi.
I have plans to create a movie ila sio leo wala kesho
Mkuu hiyo buku unamaanisha pesa au creditKWa sedance 2.0 bei rahisi sana video ya sekunde 30 unaweza kutumia buku tu
Ila seedance 2.5 video tu ya 1080 ya sekunde 8 unaweza kutumia mpaka 10000-20000
Thanks and wishing you well na ma uncle hao.HIzo umetaja ni nzuri kwa ma editor wa real production.
Kila la heri mdogo wangu.
Mbaga hujambo mwanangu kumbe uko na ujuzi babanguuDah bc mm hajawahi kunizngua, sasa nyie cjui mmekwama wapi
That's a wonderful way of making her understand while making your way to get a tender.Ww unaona nakukazia mana umeamua kutokusoma comment zangu vzr, mm nmekupgia hesabu vzr nmekuwekea hapo.
Uzuri h kazi kuna gharama za aina mbili.
1. Gharama za moja kwa moja kama kulipia app na bando.
2. Pesa zisizo za moja kwa moja kama muda wa kufanyia editing hizo videos, muda wa kuandaa prompt n.k
Ukiamua kufanya mwnyw n nafuu zaidi kuliko kumpa mtu mana mtu mwngn itabidi umlipe gharama za muda wake.
Ukifanya ww utaokoa gharama za editing, kuandika prompt n.k
Mfano mtu atataka 500k kufanya editing hizo video zote, ila ww mwnyw utafanya editing ukiwa una kunywa juisi ya jero miguu juu kitandani kwako 😂
Mpaka hapo c umeona kuna gharama umeokoa, au hujaona?
prida
IPO hivi kuna site baitumia Sidhani Kama Tanzania inaweza kufanya kazi maana ni ya Indonesia unaitwa jadiapa hii badala ya ku subscribe kwenye ai tools husika yenyewe unakula kutoka a na matumizi ya muda huohuo ya hio video yaani hilo buku unakula kwa qris unapewa video yako ya sekunde 15 tuseme nimesema buku kwa sababu ni almost 3000 za kiindonesia tuna it’s IDR Ukiziconvert kwa tsh ni Kama 600-1000 tuMkuu hiyo buku unamaanisha pesa au credit
Na hizo 10000-20000 unamaanisha pesa au credit?
Hio lazima utumie tools zenye nguvu kama Google VEO,kling huggersflledOkay.
Kupeleka capcut kwa sauti kazi itakua kubwa.
Nataka lypsync moja kwa moja kwenye Ai.
Soma comment yangu #88 ya juu ya hi comment yako, nmemjibuUtapata miongozo nipo hapa pia kupata ABC coz nipo interested na kutengeneza
Oh bc nadhani hamkuelewana na dada hapo, yeye alikuwa anasemea credit, anyway nmekuelewa broIPO hivi kuna site baitumia Sidhani Kama Tanzania inaweza kufanya kazi maana ni ya Indonesia unaitwa jadiapa hii badala ya ku subscribe kwenye ai tools husika yenyewe unakula kutoka a na matumizi ya muda huohuo ya hio video yaani hilo buku unakula kwa qris unapewa video yako ya sekunde 15 tuseme nimesema buku kwa sababu ni almost 3000 za kiindonesia tuna it’s IDR Ukiziconvert kwa tsh ni Kama 600-1000 tu
Subir kdg, mpaka wakuue 😂Kling ni mafisadi.🙁
Em weka h video niioneUkichagua AI hakuna hizo gharama za video shooting.
Bali itatakiwa uende studio maalum kwa photo shoot.
Ili mwisho wa siku mtu anayekufanyia kazi ya videoapate kitu kama hiki.
View attachment 3697493
Ukiangalia hii picha, mhusika kabadili nguo mara nne.
Kinachobakia hapo, ni AI inamaliza kila kitu:
Hadi video yote inakamilika.
- Location: AI
- Lips syn: AI