Ahsante sana wanajf

pepim

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
335
51
Hbr za mwisho wa wiki wanjf wenzangu, poleni na majukumu ya hapa na pale mi nishapoa sasa naelekea kitalani nikapumzike... NI HIVI NAPENDA KUWASHUKURU WANA JF WOTE WALIOSHIRIKI PA1 NAMI JANA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KTK CKU YANGU YA KUZALIWA JANA TAR 29/03......MUNGU AWABARIKI SANA.....
 
Amina.

Akubariki na wewe pia. Nimeambiwa na Bagah kuwa Erick alitoroka na glass jana, ni kweli?
 
Dah.. Aliondoka na moja au..!

Maana kama ni moja,labda alijisahau na kwenda kumalizia kinywaji ndani ya gari..

Hakuna kingine kilichopungua jamani?

BAGAH aweza kuwa na ripoti za Ericb52
 
Trach, angebeba moja wala tusingejali manake tungejua ni bahati mbaya...kabeba nne ati...

BAGAH yeye nasikia alikamatwa anatoroka na chupa za biya, alivopewa kichapo ndio akamtaja mwenzie Erickb52...lol. Vijana wabaya sana hawa.
 
mamaaa...!

Heh.. Judgment je...

Na nyie mlikuwa kama yule "kamata mwizi men.." hata hamuwakimbizi! Lol
 
ubarikiwe kwa kuzaliwa upya na pamoja kusogeza siku za kufa sosi jf memba nshamsahau..
 
Hbr za mwisho wa wiki wanjf wenzangu, poleni na majukumu ya hapa na pale mi nishapoa sasa naelekea kitalani nikapumzike... NI HIVI NAPENDA KUWASHUKURU WANA JF WOTE WALIOSHIRIKI PA1 NAMI JANA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KTK CKU YANGU YA KUZALIWA JANA TAR 29/03......MUNGU AWABARIKI SANA.....

Eimeeen mpendwa
 
Eimen!
 
naomba zawadi alizoleta. Au karudi na mavumbi?
Swahiba zawadi zipo tena nyingi na wewe utapata...

Wacha nimalize kumfanyia shemejio masaji kisha nifungue nikuletee au mwambie shemeji Judgement akulete mara moja!
 
Back
Top Bottom