#COVID19 Ahsante ndugu Humphrey Polepole kwa msimamo wako kuhusu CORONA

Mimi huwa nadhani kwamba badala ya ku'contrast' tuna'compare'. Huwa nafikiria kama Tanzania wakati huo Covid-19 ilipopiga tungepitia majaribu kama yaliyopitia baadhi ya mataifa kama Italia, lugha yetu ingebadilika na hata tungechukua hatua kali zaidi kulingana na uzito wa tatizo.

Nchi zilizoathiriwa sana zilikuwa katika hali hiyo. Kwa vile sisi hatujapigwa sana hatukuchukua extreme measures.

Lakini kuna nchi zilipigwa sana na kulazimika kuchukua extreme measures. Hiyo ndiyo tofauti kati yetu na wao, lakini waliyopitia baadhi ya mataifa siyo yale tuliyopitia sisi. Hivyo, comparison haihusiki hapa, bali contrast!
 
Kati ya kipindi ambacho viongozi wa serekali, viongozi wa siasa, Viongozi wa dini,watu maarufu na mashuhuri, matajiri na maskini, waungwana, wananchi wa kawaida wazee kwa vijana, wanawake kwa Wanaume Wamegawanyika ni kipindi hiki kwa issue ya Chanjo ya Corona.

Kama utataka kufanya maamuzi kwa kufuata Nini kinasemwa na wakina nani "you may find yourself in a hard situation to make a decision.

Sio kipindi kirahisi kama taifa tunapitia nje ya dunia kwa ujumla wake.

Tunako elekea tunaweza kushuhudia mgawanyiko mkubwa zaidi utakaopelekea Watanzania kuanza kuchukuliana hatua wenyewe kwa wenyewe kwa tofauti za mitazamo na kutokuvumiliana kupitia uhuru wa kujieleza unaotolewa na katiba yetu.

Mwisho, Utanzania wetu kwanza, tupendane, tuheshimiane,tukimuomba Mungu ili atusaidie maana yeye ni Omniscience.
 
Maoni murua kabisa, haya yote hayatatokea endapo hili DUDE lililoletwa kutuchonganisha litarudishwa liliko toka wakadungwe wazungu.
 
Lengo lao nadhani ni kutugombanisha kwa njia hii. Maana kwenye ukabila wameshindwa, kwenye dini wameshindwa, kwenye vyama vyasiasa wameshindwa....tusipoangalia hili suala linaweza kututia matatani kama watanzania hatutasimama imara. Hata hivyo, nina imani na Mama Samia tutavuka salama.
 
Kama huyu mama atatuvusha salama bila kufukuza watu Ndani ya ccm basi atakuwa ameshinda pakubwa
 
Unaogopa kufukuzwa siyo? Ujinga uliofanya kwanza kila mtu anashangaa mpaka sasa hujafukuzwa. Unajua ule msemo wa ukitaka kumchinja kobe unafanya nini? Siku zako zinahesabika...
 
IMG-20210510-WA0000.jpg

Polepole kama polepole.
 
Back
Top Bottom