Ahsante kijanView attachment 1875517
Huyu jamaa ni propagandistAhsante kijanaView attachment 1875517
Mimi huwa nadhani kwamba badala ya ku'contrast' tuna'compare'. Huwa nafikiria kama Tanzania wakati huo Covid-19 ilipopiga tungepitia majaribu kama yaliyopitia baadhi ya mataifa kama Italia, lugha yetu ingebadilika na hata tungechukua hatua kali zaidi kulingana na uzito wa tatizo.Ahsante kijanaView attachment 1875517
Maoni murua kabisa, haya yote hayatatokea endapo hili DUDE lililoletwa kutuchonganisha litarudishwa liliko toka wakadungwe wazungu.Kati ya kipindi ambacho viongozi wa serekali, viongozi wa siasa, Viongozi wa dini,watu maarufu na mashuhuri, matajiri na maskini, waungwana, wananchi wa kawaida wazee kwa vijana, wanawake kwa Wanaume Wamegawanyika ni kipindi hiki kwa issue ya Chanjo ya Corona.
Kama utataka kufanya maamuzi kwa kufuata Nini kinasemwa na wakina nani "you may find yourself in a hard situation to make a decision.
Sio kipindi kirahisi kama taifa tunapitia nje ya dunia kwa ujumla wake.
Tunako elekea tunaweza kushuhudia mgawanyiko mkubwa zaidi utakaopelekea Watanzania kuanza kuchukuliana hatua wenyewe kwa wenyewe kwa tofauti za mitazamo na kutokuvumiliana kupitia uhuru wa kujieleza unaotolewa na katiba yetu.
Mwisho, Utanzania wetu kwanza, tupendane, tuheshimiane,tukimuomba Mungu ili atusaidie maana yeye ni Omniscience.
Lengo lao nadhani ni kutugombanisha kwa njia hii. Maana kwenye ukabila wameshindwa, kwenye dini wameshindwa, kwenye vyama vyasiasa wameshindwa....tusipoangalia hili suala linaweza kututia matatani kama watanzania hatutasimama imara. Hata hivyo, nina imani na Mama Samia tutavuka salama.Maoni murua kabisa, haya yote hayatatokea endapo hili DUDE lililoletwa kutuchonganisha litarudishwa liliko toka wakadungwe wazungu.
Kama huyu mama atatuvusha salama bila kufukuza watu Ndani ya ccm basi atakuwa ameshinda pakubwaLengo lao nadhani ni kutugombanisha kwa njia hii. Maana kwenye ukabila wameshindwa, kwenye dini wameshindwa, kwenye vyama vyasiasa wameshindwa....tusipoangalia hili suala linaweza kututia matatani kama watanzania hatutasimama imara. Hata hivyo, nina imani na Mama Samia tutavuka salama.
Hana mpya wakati wake ulishapita mzee wa vietteAhsante kijanaView attachment 1875517
Namkubali Sana huyu jamaa Toka enzi za mchakato wa katiba.Ahsante kijanaView attachment 1875517
Unaogopa kufukuzwa siyo? Ujinga uliofanya kwanza kila mtu anashangaa mpaka sasa hujafukuzwa. Unajua ule msemo wa ukitaka kumchinja kobe unafanya nini? Siku zako zinahesabika...Kama huyu mama atatuvusha salama bila kufukuza watu Ndani ya ccm basi atakuwa ameshinda pakubwa
Hapana,jamaa Ana future nzuri baada ya hii Serikali ya Kikwete na wenziye,maana aliwahi kusema enzi za JK,Kama uchaguzi ungefanyika kwa haki CCM ingeshindwa.Hana mpya wakati wake ulishapita mzee wa viette
Kabisa mabando yamepanda bei mnoHuyo mjomba angalipo? Kweli kila zama na kitabu chake.
Kumsikiliza ni kupoteza GB bure bora ungeandika kasema je