Ahsante MUNGU, Utumishi wameniokoa.

Ahsante MUNGU, Utumishi wameniokoa.

Mkuu me ntaendelea kuwepo hapa jukwaani coz nna mengi ya kujifunza hapa sababu hili jukwaa lina waajiriwa wengi tu. Kuhusu CV yangu ni kwamba ina parts zifuatazo: personal details, education, work experience ambapo me ni graduate na nmemaliza mwaka huu but kuna kampuni nilifanya part time kwa mwaka mmoja na pia nmeweka na internships zangu nilizofanya katika kampuni mbili nyingine kwa miezi mitatu kila moja ambapo mara ya mwisho nilimaliza internship mwez October mwaka huu. Pia kunafuatiwa na part ya leadership experience ambapo nmeorodhesha nafasi mbalimbali za uongozi nilzopitia nikiwa chuo japo sio lazma kama hukua kiongozi.Then kuna part ya Trainings mbalimbali. Nafinally referees. But remember kwenye work experience usiishie kumention tu ulipofanya kazi but weka na duties na responsibilities ulizokuwa nazo hata kama ni field au internship. Jambo la muhimu kuliko yote ni kuomba na kuamini kwamba daima MUNGU anakuwazia mema.Hope umenipata.

Safi sana kaka, nimekusoma vema..
 
Muhongo ni Muongo -Reginald Mengi -2013
 
Ndugu zangu,

Namshukuru sana MUNGU leo nmepata kazi kupitia utumishi katika moja ya taasisi za serikali. Ningependa kuwatia moyo wenzangu kwamba msikate tamaa muendelee kutafuta na kumuomba MUNGU sababu hata mimi nmeapply kazi nyingi sana mpaka kuja kupata hii.

Nawashukuru sana kwa michango yenu coz nmeshawahi weka thread hapa ya kuomba msaada wa kupata kazi na kuna wapo walionidhihaki na walionipa moyo, nawashukuru sana.

Pia jaribuni kupitia website ya utumishi ina majibu ya usaili wa mwisho kama ulifanya. Tutaendelea kutiana moyo na kushauriana pia kupeana deal mbalimbali za kazi.

Kumbukeni kuichangia JF ili iendelee kuwaletea mambo mazuri zaidi.Mshahara wako wa pili umtumie Invisible usipeleke kwa Girlfriend.
 
Fanya KAZI kwa bidii. umeona jinsi ilivyo KAZI kupata KAZI sasa cheza tuuuuuu
 
Ndugu zangu,

Namshukuru sana MUNGU leo nmepata kazi kupitia utumishi katika moja ya taasisi za serikali. Ningependa kuwatia moyo wenzangu kwamba msikate tamaa muendelee kutafuta na kumuomba MUNGU sababu hata mimi nmeapply kazi nyingi sana mpaka kuja kupata hii.

Nawashukuru sana kwa michango yenu coz nmeshawahi weka thread hapa ya kuomba msaada wa kupata kazi na kuna wapo walionidhihaki na walionipa moyo, nawashukuru sana.

Pia jaribuni kupitia website ya utumishi ina majibu ya usaili wa mwisho kama ulifanya. Tutaendelea kutiana moyo na kushauriana pia kupeana deal mbalimbali za kazi.

...Hongera sana mkuu, mimi mwenyewe bado natafuta na nina majukumu mengi ambapo siku nikipata hiyo kazi nitafurahi sana, nazidi kumuomba Mungu ili nifanikiwe hili jambo ambalo nimekuwa nikilisubiri kwa miaka mingi sasa. Fanya kazi kwa bidii na uaminifu.
 
hivi bado kuna wasomi bado wanatembea na vyeti wanasaka kazi: hebu jaribuni kufikia kujiajiri
 
...Hongera sana mkuu, mimi mwenyewe bado natafuta na nina majukumu mengi ambapo siku nikipata hiyo kazi nitafurahi sana, nazidi kumuomba Mungu ili nifanikiwe hili jambo ambalo nimekuwa nikilisubiri kwa miaka mingi sasa. Fanya kazi kwa bidii na uaminifu.

Kaka kuwa mvumilivu na endelea kumwomba MUNGU ipo siku milango itafunguliwa.
 
Ndugu zangu,

Namshukuru sana MUNGU leo nmepata kazi kupitia utumishi katika moja ya taasisi za serikali. Ningependa kuwatia moyo wenzangu kwamba msikate tamaa muendelee kutafuta na kumuomba MUNGU sababu hata mimi nmeapply kazi nyingi sana mpaka kuja kupata hii.

Nawashukuru sana kwa michango yenu coz nmeshawahi weka thread hapa ya kuomba msaada wa kupata kazi na kuna wapo walionidhihaki na walionipa moyo, nawashukuru sana.

Pia jaribuni kupitia website ya utumishi ina majibu ya usaili wa mwisho kama ulifanya. Tutaendelea kutiana moyo na kushauriana pia kupeana deal mbalimbali za kazi.

Heli yako wewe sisi tunalia kila kukicha, wanatoa mitihan ambayo haihusiani na duties and responsibility ya nafasi husika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom