Mtuflani
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 323
- 75
Ndugu zangu,
Namshukuru sana MUNGU leo nmepata kazi kupitia utumishi katika moja ya taasisi za serikali. Ningependa kuwatia moyo wenzangu kwamba msikate tamaa muendelee kutafuta na kumuomba MUNGU sababu hata mimi nmeapply kazi nyingi sana mpaka kuja kupata hii.
Nawashukuru sana kwa michango yenu coz nmeshawahi weka thread hapa ya kuomba msaada wa kupata kazi na kuna wapo walionidhihaki na walionipa moyo, nawashukuru sana.
Pia jaribuni kupitia website ya utumishi ina majibu ya usaili wa mwisho kama ulifanya. Tutaendelea kutiana moyo na kushauriana pia kupeana deal mbalimbali za kazi.