Ahsante Mungu kwa kunifikisha siku ya leo.

Ahsante Mungu kwa kunifikisha siku ya leo.

YNNAH

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,706
Reaction score
974
Habari zenu wana jf,sina budi kumshukuru mungu kwa kunifikisha siku ya leo...tarehe 7/2. Ni siku ambayo mama yangu mpendwa alinileta duniani,ahsante sana mama najua ni shida nyingi alivumilia mama yangu nikiwa tumboni kwake,mungu atamlipa kwa hilo. Napenda kujumuika nanyi katika siku hii ya leo,karibuni sana na nawapenda sana.
 
HBD NAIMA AHMED! WISH YOU ALL THE BEST....lol!
 
Naima, hongera kwa siku hii maalum. Mungu akujaalie mema, na kutimiza ndoto zako nzuri.
 
We the French say 'joyeux anniversaire' Naima...
 
Happy-Birthday-flowers-sayings-happ.jpg
 
Happy Birthday Naima..............Hongera kwa kufikisha miaka kadhaa...........................
 
hapy born day mamie!
nakutakia maisha marefu yenye raha na fanaka tele,
usiache kumcha mungu ni mwema.
 
hapy born day mamie!
nakutakia maisha marefu yenye raha na fanaka tele,
usiache kumcha mungu ni mwema.

Ahsante kwa kunitakia maisha marefu,kumcha mungu ni jukumu letu waja...nitamcha kadri ya uwezo wangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom