Ahsante Mungu kwa kunifikisha siku ya leo.

Furaha siku ya kuzaliwa! (tafsiri rasmi ya happy birthday). Ukue umri na busara pia...
 
Happy birthday mamito, mwenyezi Mungu akujaalie zaidi kwa kila lililo la kheri! Hongera sana dearest!!!
 
Siku yako iwe ya furaha!!
Mungu akupe mapenzi, busara na hekima,
Uwakumnuke wazazi wako, uwapende na kuwaheshimu,
Uwe mfano mwema, uwapende ndugu majirani na maadui zako pia,
Mungu akapate kuwagusa wengine kwa kupitia maisha yako.
Matendo yako yaakisi upendo na amani ya kweli.
 
Hongera Naima, Mungu azidi kukupe heri na baraka ktk maisha yako
 
Glatulerer så masse med dagen Naima!

Habari zenu wana jf,sina budi kumshukuru mungu kwa kunifikisha siku ya leo...tarehe 7/2. Ni siku ambayo mama yangu mpendwa alinileta duniani,ahsante sana mama najua ni shida nyingi alivumilia mama yangu nikiwa tumboni kwake,mungu atamlipa kwa hilo. Napenda kujumuika nanyi katika siku hii ya leo,karibuni sana na nawapenda sana.
 
Back
Top Bottom