Shukran...Siku yako iwe ya furaha!!
Mungu akupe mapenzi, busara na hekima,
Uwakumnuke wazazi wako, uwapende na kuwaheshimu,
Uwe mfano mwema, uwapende ndugu majirani na maadui zako pia,
Mungu akapate kuwagusa wengine kwa kupitia maisha yako.
Matendo yako yaakisi upendo na amani ya kweli.
tuwekee picha basi...Habari zenu wana jf,sina budi kumshukuru mungu kwa kunifikisha siku ya leo...tarehe 7/2. Ni siku ambayo mama yangu mpendwa alinileta duniani,ahsante sana mama najua ni shida nyingi alivumilia mama yangu nikiwa tumboni kwake,mungu atamlipa kwa hilo. Napenda kujumuika nanyi katika siku hii ya leo,karibuni sana na nawapenda sana.