............................................................................Messi vs 6 manutd players
View attachment 31397
nakwambia kwa sasa mtaani kwetu utadhania watu wamehama.Namshukuru sana huyu jamaaAmeleta utulivu mtaani wiki hii.Twamshukuru sana.
Ameleta utulivu mtaani wiki hii.Twamshukuru sana.
Jamani huyu Mesi mbona kombe la dunia kule bondeni alikuwa butu!
Kombe la dunia na club ni vitu viwili tofauti....angalia vifaa vilivyo barca na angalia vifaa vya argentina kwanza jana wamepigwa 4 na Nigeria
............................................................................Messi vs 6 manutd players
View attachment 31397
Duh kaba yote hiyo lakini jamaa aliwatoka tu huyu dogo sijui mchawi?