GE2025 Ahadi za Rais Samia akiwa Ngerengere

GE2025 Ahadi za Rais Samia akiwa Ngerengere

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jifunze tulia ujifunze zisome siasa za Tanzania tena ikiwezakana kupitia topics na mada za muda mrefu ndani ya JF
Kumbe umejifunza humu humu JF tokea 2011; halafu ndio sasa umejifanya mjuzi wa kuwafundisha wengine?

Pamoja na hivyo, ungekuwa ni mtu makini tokea wakati huo Oktoba 2011; ukawa mchambuzi mzuri wa kujuwa takataka na mada zenye uzito, ungeweza kuwa nafuu kuliko unavyo onyesha hapa.
 
Kumbe umejifunza humu humu JF tokea 2011; halafu ndio sasa umejifanya mjuzi wa kuwafundisha wengine?
JF ni darasa la Siasa hata Lissu alijifunza humu humu
 
JF ni darasa la Siasa hata Lissu alijifunza humu humu
Inategemea uwezo wa kujifunza alio nao mwanafunzi. Kama wewe ulijikita kujifunza takataka utaishia miaka yote kutoa takataka tu maisha yako yote.
Hata hivyo, usijilinganishe na Tundu Lissu kwa namna yoyote ile. Hakuna lolote linalokaribiana na uwezo alio nao Tundu Lissu.
 
Chagua upande sahihi wakati wote.
 
Chagua upande sahihi wakati wote.
Huko ndiko ninako kuita kukosa upeo. Kushindwa kujuwa "upande sahihi" ni upi. Wewe umeamua kuchagua upande hasi kwa sababu huna uwezo wa kujuwa "sahihi" ni nini.
 
Huko ndiko ninako kuita kukosa upeo. Kushindwa kujuwa "upande sahihi" ni upi. Wewe umeamua kuchagua upande hasi kwa sababu huna uwezo wa kujuwa "sahihi" ni nini.
Sijawahi kukaa upande ulioshindwa ...huo ni upeo wa kuona beyond the horizon.
Wakati wewe unaishia kuona kidole gumba.
 
Sijawahi kukaa upande ulioshindwa ...huo ni upeo wa kuona beyond the horizon.
Wakati wewe unaishia kuona kidole gumba.
Duh!
Mwandiko wako humu unakuonyesha kuwa mtu 'opportunist', (tegemezi); kwa hiyo haishangazi unapo jitangaza waziwazi hivi. Unajuwa, hebu itazame vizuri hiyo CCM iliyo wafikisha hapo mlipo sasa. Mumeiua kwa tabia hizo hizo za kitegemezi na kinafiki.
Ungekuwa ni mtu unaye elewa tabia za viumbe "opportunist" ungeelewa vizuri ninacho kizungumzia. Viumbe hao huwa wanakuwa tegemezi hadi wanaua kabisa hicho ambacho huwafanya wao kuwa hai.
Sasa CCM mmeifikisha kwenye hatua hiyo hiyo, kwa hiyo usitegemee kuwa utaendelea kuwa hai.
 
Back
Top Bottom