ahadi za rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Wengine wanasema wataleta maji kwani walikuwa wapi siku zote kuleta maji?

    Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 mkoani Lindi, Mgombea Urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Mchimba ameonekana akiwasema ahadi za vyama pinzani ni za maigizo bali za CCM ndizo za kweli na halisi. Soma pia: Mradi wa maji...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shafini Sumar aomba Kura Uyui ili Kusimamia Ilani na Ahadi za Rais Samia

    Mgombea Ubunge Jimbo la Uyui kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Shafini Sumar akiongea katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni katika Jimbo la Uyui kata ya Mabama Wilayani humo amewaomba Wananchi kumpa kura za kutosha Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na kumchagua yeye mbunge ili akasimamie ilani...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ahadi za Rais Samia akiwa Ngerengere

    Ngerengere ni Kitovu cha Biashara,Kilimo na Uchumi. Hili ni eneo linalokuwa kwa kasi na hupokea wageni wengi ikiwemo kutoka Congo, Rwanda na Burundi. Kwa umuhimu huo basi ni busara kuboresha huduma za jamii na kurahisisha uhifadhi na usafirishaji wa mazao. Ni ahadi zenye kutimizwa. NGERENGERE...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia achangia TSh. Milioni 50 kumuenzi Padri Shirima

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya maendeleo ya Shule ya Sekondari ya Seminari Uru, mkoani Kilimanjaro. Mchango huo umetolewa ili kuweka alama ya kumbukumbu ya...
Back
Top Bottom