GE2025 Ahadi za Rais Samia akiwa Ngerengere

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unajua kinachoendelea hapo? Samia anasoma Hansard.
Talking about Hansard,I note kwamba zilikuwepo mpaka juzi lakini sasa zimeondolewa kwenye website ya Bunge.
 
View attachment 3458627
Ngerengere ni Kitovu cha Biashara,Kilimo na Uchumi.

Hili ni eneo linalokuwa kwa kasi na hupokea wageni wengi ikiwemo kutoka Congo, Rwanda na Burundi.

Kwa umuhimu huo basi ni busara kuboresha huduma za jamii na kurahisisha uhifadhi na usafirishaji wa mazao. Ni ahadi zenye kutimizwa.

NGERENGERE WANATIKI X2
View attachment 3458634
Kununua trekta na kukodisha kwa nusu bei tena? Ndio nini hiko
 
Unajua kinachoendelea hapo? Samia anasoma Hansard.
Talking about Hansard,I note kwamba zilikuwepo mpaka juzi lakini sasa zimeondolewa kwenye website ya Bunge.
Hata kama...ulitaka aje na ahadi za mazingaombwe...Samia haendi hivyo ...sio msanii
 
Ujinga kujenga Ghala la chakula?
Unawajengea nani; hao warwanda warundi na wakongo ambao wamepewa msisitizo kwenye hiyo kampeni? Au unawajengea akina Roast na wa aina yake wakasambaze bidhaa zao vizuri?
 
Matangazo ya Tume hujayasoma?Nyerere alishindana na nani?
Kagame ameshindana na nani?
Shi Jin ping ameshindana na nani?
Putin ameshindana na nani?
King Charles ameshindana na nani?
Mandela alishindana na nani?
Macron ameshindana na nani?
Netanyahu huwa anashindana na nani??
Dah!
Watu wa aina hii 'funaku'; ndio sasa wanaotupa somo la huko kwingine kumefanyika nini?
Sina shaka huyu hata darasa la saba kamaliza kwa shida kubwa sana, na kaingia huko kwenye vidato, ambako kasukuma tu miaka iishe akafundishe upumbavu mitandaoni!

Unajadili kitu gani na mtu mwenye upeo wa aina hii?
 
punguza hasira umuelewe mtu
 
Unawajengea nani; hao warwanda warundi na wakongo ambao wamepewa msisitizo kwenye hiyo kampeni? Au unawajengea akina Roast na wa aina yake wakasambaze bidhaa zao vizuri?
wewe umenyimwa fursa ya kusambaza bidhaa??
 
View attachment 3458627
Ngerengere ni Kitovu cha Biashara,Kilimo na Uchumi.

Hili ni eneo linalokuwa kwa kasi na hupokea wageni wengi ikiwemo kutoka Congo, Rwanda na Burundi.

Kwa umuhimu huo basi ni busara kuboresha huduma za jamii na kurahisisha uhifadhi na usafirishaji wa mazao. Ni ahadi zenye kutimizwa.

NGERENGERE WANATIKI X2
View attachment 3458634
Li kampeni lao wala halina mvuto! Upuuzi mtupu!
 
Unapo andika hivi, huoni unavyo jionyesha upungufu wako mkubwa wa kufikiri? Au unataka sasa tuache kujadili mada tuingie kwenye kukufundisha mwanzo kabisa jinsi hizo unazo ziita "fursa" zinavyo tumiwa kuwadidimiza waTanzania ndani ya nchi yao?
 
Li kampeni lao wala halina mvuto! Upuuzi mtupu!

IMG-20250830-WA3080.jpg
 
Bahati yake Tundu Lissu hashiriki haki ya nani angedondosha gagulo jukwaani!
2020 Tundu lissu alishiriki na Samia alikuwepo.akaambulia aibu akarudi ubelgiji kunywa chimay
 
punguza hasira umuelewe mtu
Hivi kweli unaamini kuna cha kuelewa katika habari ya hao viongozi ulio waorodhesha hapo inavyo husiana na hali inayotukabili ndani ya nchi yetu hivi sasa?

Sote tunajuwa mategemeo yenu ya kufanikiwa kwa kufuata mifano ya akina Museveni; jambo ambalo siyo lazima litokee hivyo hapa Tanzania.

Sasa unanihimiza nielewe kitu gani hasa kuhusu hao viongozi wengine ulio wataja hapo; ambao ni wazi hujui lolote juu yao.
 
Jifunze tulia ujifunze zisome siasa za Tanzania tena ikiwezakana kupitia topics na mada za muda mrefu ndani ya JF
 
View attachment 3458627
Ngerengere ni Kitovu cha Biashara,Kilimo na Uchumi.

Hili ni eneo linalokuwa kwa kasi na hupokea wageni wengi ikiwemo kutoka Congo, Rwanda na Burundi.

Kwa umuhimu huo basi ni busara kuboresha huduma za jamii na kurahisisha uhifadhi na usafirishaji wa mazao. Ni ahadi zenye kutimizwa.

NGERENGERE WANATIKI X2
View attachment 3458634

Barabara ya lami kwenda Nziha iharakishwe.
Kuna watu wana waganga wao kule wanapata shida sana kufika.

Wasisahau na ile barabara ya kufika kwa Chief wa Waluguru. Na kuutangaza mlima Kolelo
 
Back
Top Bottom