The Professor JF-Expert Member Apr 30, 2013 2,218 4,534 Jun 13, 2019 #41 mi nitamuoa dada yako kwa ndoa halali kabisa
N nyakubonga JF-Expert Member Apr 5, 2015 4,602 7,175 Jun 13, 2019 #42 sayoo said: Kwan wali hua unawekwa sukari mkuu Click to expand... I mean mboga itakua chumvi.
K Kizibo255 JF-Expert Member Jan 4, 2011 508 367 Jun 13, 2019 Thread starter #43 Adharusi said: Nitaipa Yanga Million 100 Click to expand... Kwa ajili ya usajili!!!??
K Kizibo255 JF-Expert Member Jan 4, 2011 508 367 Jun 13, 2019 Thread starter #44 Viatu vya Samaki said: Hata matokeo yao mabaya yanashangaza dunia.. Click to expand... πππππ
Viatu vya Samaki said: Hata matokeo yao mabaya yanashangaza dunia.. Click to expand... πππππ
K Kizibo255 JF-Expert Member Jan 4, 2011 508 367 Jun 13, 2019 Thread starter #45 Maarifa said: rafiki jiandae kisaikolojia - mie nafurahi tumefika hapo. lakini kuendelea inawezekana kwa MUUJIZA -ila ki ukweli baaadoooo Click to expand... Nijiandae kisaikolojia kwa wachezaji kina Sonso!!!??
Maarifa said: rafiki jiandae kisaikolojia - mie nafurahi tumefika hapo. lakini kuendelea inawezekana kwa MUUJIZA -ila ki ukweli baaadoooo Click to expand... Nijiandae kisaikolojia kwa wachezaji kina Sonso!!!??
K Kizibo255 JF-Expert Member Jan 4, 2011 508 367 Jun 13, 2019 Thread starter #46 juma mpemba said: nakazia...tutakua wawili,,na tukio hili tutalifanya pale tazara Click to expand... πππππ I like jamiiforums
juma mpemba said: nakazia...tutakua wawili,,na tukio hili tutalifanya pale tazara Click to expand... πππππ I like jamiiforums
K Kizibo255 JF-Expert Member Jan 4, 2011 508 367 Jun 13, 2019 Thread starter #47 Mtoto wa nzi said: Ntakunya kidogokidogo kama Mbuzi Kuanzia Airport mpaka watakapofikia. Click to expand... Hizi ahadi hizi jamanii
Mtoto wa nzi said: Ntakunya kidogokidogo kama Mbuzi Kuanzia Airport mpaka watakapofikia. Click to expand... Hizi ahadi hizi jamanii
K Kizibo255 JF-Expert Member Jan 4, 2011 508 367 Jun 13, 2019 Thread starter #48 Libenna said: mi nitamuoa dada yako kwa ndoa halali kabisa Click to expand... Dada zangu wote wameolewa
Libenna said: mi nitamuoa dada yako kwa ndoa halali kabisa Click to expand... Dada zangu wote wameolewa
bwii JF-Expert Member May 24, 2014 1,429 2,658 Jun 13, 2019 #49 Nitajitoa jamii forums hadi watakavyofuzu tena
Maarifa JF-Expert Member Nov 23, 2006 4,568 2,911 Jun 13, 2019 #50 Shomy . I said: Nijiandae kisaikolojia kwa wachezaji kina Sonso!!!?? Click to expand... Maana ukiweka tumaini kuuubwa halafu ikawa sivyo ! Shida! Just kuwa tayari kwa lolote
Shomy . I said: Nijiandae kisaikolojia kwa wachezaji kina Sonso!!!?? Click to expand... Maana ukiweka tumaini kuuubwa halafu ikawa sivyo ! Shida! Just kuwa tayari kwa lolote
D DEAL88 JF-Expert Member Apr 9, 2016 875 1,097 Jun 13, 2019 #51 Shomy . I said: Wengi tunaona hili Jambo haliwezekani kabisaaaa. Mimi Stars wakifuzu nitawapa nitawazawadia 20,000/= Kila mchezaji. Pia nitaanza mchakato wa kugombea Urais 2020 nitaamini hakuna kinachoshindikana hapa duniani Weka ahadi yako tafadhali Click to expand... Mimi nitaenda kambi yoyote ya jeshi halafu nawamwagia mifuko ya plastic halafu nawaambia wanichagulie gereza VIP nikaishi huko Miaka yote
Shomy . I said: Wengi tunaona hili Jambo haliwezekani kabisaaaa. Mimi Stars wakifuzu nitawapa nitawazawadia 20,000/= Kila mchezaji. Pia nitaanza mchakato wa kugombea Urais 2020 nitaamini hakuna kinachoshindikana hapa duniani Weka ahadi yako tafadhali Click to expand... Mimi nitaenda kambi yoyote ya jeshi halafu nawamwagia mifuko ya plastic halafu nawaambia wanichagulie gereza VIP nikaishi huko Miaka yote
Mtoto wa nzi JF-Expert Member Jun 6, 2012 9,019 16,152 Jun 14, 2019 #52 Nimehairisha ...kwa kanuni ... Ntakunya tuuuu Airport mpaka Jet Corner....