The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,218
- 4,533
mi nitamuoa dada yako kwa ndoa halali kabisa
I mean mboga itakua chumvi.Kwan wali hua unawekwa sukari mkuu
Kwa ajili ya usajili!!!??Nitaipa Yanga Million 100
😁😁😁😃😃Hata matokeo yao mabaya yanashangaza dunia..
Nijiandae kisaikolojia kwa wachezaji kina Sonso!!!??rafiki jiandae kisaikolojia - mie nafurahi tumefika hapo. lakini kuendelea inawezekana kwa MUUJIZA -ila ki ukweli baaadoooo
😃😃😁😁😁nakazia...tutakua wawili,,na tukio hili tutalifanya pale tazara
Hizi ahadi hizi jamaniiNtakunya kidogokidogo kama Mbuzi Kuanzia Airport mpaka watakapofikia.
Dada zangu wote wameolewami nitamuoa dada yako kwa ndoa halali kabisa
Maana ukiweka tumaini kuuubwa halafu ikawa sivyo ! Shida! Just kuwa tayari kwa loloteNijiandae kisaikolojia kwa wachezaji kina Sonso!!!??
Mimi nitaenda kambi yoyote ya jeshi halafu nawamwagia mifuko ya plastic halafu nawaambia wanichagulie gereza VIP nikaishi huko Miaka yoteWengi tunaona hili Jambo haliwezekani kabisaaaa.
Mimi Stars wakifuzu nitawapa nitawazawadia 20,000/= Kila mchezaji. Pia nitaanza mchakato wa kugombea Urais 2020 nitaamini hakuna kinachoshindikana hapa duniani
Weka ahadi yako tafadhali