Ahadi yako iwapo Stars itafuzu 16 bora

Wengi tunaona hili Jambo haliwezekani kabisaaaa.
Mimi Stars wakifuzu nitawapa nitawazawadia 20,000/= Kila mchezaji. Pia nitaanza mchakato wa kugombea Urais 2020 nitaamini hakuna kinachoshindikana hapa duniani
Weka ahadi yako tafadhali
Mimi nitaenda kambi yoyote ya jeshi halafu nawamwagia mifuko ya plastic halafu nawaambia wanichagulie gereza VIP nikaishi huko Miaka yote
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom