Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

Ni shemeji ooops ni mche.. ni damu damu na mama nanihiiiii!
 
Msambwanda maana yake nini ?

468553
 
Nilikutana na huyu dada wa Kisukuma mwaka juzi chuo flani akimalizia shule.Sikuwa karibu naye kivile lakini nikanotisi kuwa ni muhasibu wa Halmashauri huko Tabora.Japo kiumri alikuwa ameshatoka kwenye usichana lakini hakuonekana kama ni mtu mzito kimajukumu ya ofisi.

Hamad nakutana na jina Agnesi Mkandya kwenye list ya Wakurugenzi wapya wa Magufuli.

Sikujua kama ni yeye mpaka leo nilipoiona picha akiwa na Wazira Ummy Mwaalimu akitambulika kama DED Gairo. Mwenye data zake atupe tupate kumjua
mboga za wakubwa
 
Huyu dada wa watu mtamuua
Maana kuna siku alilia mbele ya kamati ya bunge baada ya report ya CAG kusomwa na kuonekana pana uwizi mwingi sana hapo Gairo

Yeye badala ya kusema mambo hayo yalitokea akiwa hajapokea ofisi,ye akaanza kulia tu.Sasa kwa hili atabaki salama kweli?Nimeona vijana wanamchafua kweli huko mitandaoni
Mhh DED asiyejua kujieleza umemuona wapi, ninakumbuka awamu ya kwanza tulikuwa na jirani yetu Mhaya alikuwa DED, alipingana na Nyerere kuhusu mustakabali wa vyama vya Ushirika akiwa mkurugenzi alipigwa demotion kutoka National Director of Cooperative Associations to DED. Baba alikua mzuri sana kichwani.
 
Hoja ni uchapa kazi na si usukuma, mnaoongelea usukuma mna ukabila na kijiba cha roho. Chapa kazi mama.
 
Back
Top Bottom