Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

Nilikutana na huyu dada wa Kisukuma mwaka juzi chuo flani akimalizia shule.Sikuwa karibu naye kivile lakini nikanotisi kuwa ni muhasibu wa Halmashauri huko Tabora.Japo kiumri alikuwa ameshatoka kwenye usichana lakini hakuonekana kama ni mtu mzito kimajukumu ya ofisi.

Hamad nakutana na jina Agnesi Mkandya kwenye list ya Wakurugenzi wapya wa Magufuli.

Sikujua kama ni yeye mpaka leo nilipoiona picha akiwa na Wazira Ummy Mwaalimu akitambulika kama DED Gairo. Mwenye data zake atupe tupate kumjua
Agness wamejariwa mno
 
Akina Masawe hatuli nchi kwakuteuliwa, tunakula nchi kwa kutumia akili za kuzaliwa.... Sasahivi tupo ubia na ndugu zetu Wakinga tunataka inunua k, koo na sinza... Only Mrema is looking for uteuzi
Acha kujikweza ndugu!
Wachaga pia wamefanya ukabila kwa kiasi kikubwa. You don't see them kwenye political posts kwa kuwa technically Wengi hawana uwezo mkubwa wa kiushawishi hasa kwenye ku-deliver maneno ya kisiasa na art nyingine kwenye nyanja hiyo!
Ukirejea kwenye list ya vyeti feki unaweza kuanza kupata picha ni proportion gani ya watu Kilimanjaro kulinganisha na uwiano wa idadi ya watz wote vs wachaga na idadi ya wenyevyeti feki wote vs wenye vyeti feki wachaga!
Kuna ofisi za umma labda mlikuwa mnaweza kufiwa na kila mtu akaaga kwenda kuzika kumbe mnaaga kwa ajili ya marehemu mmoja.
Issue haikuwa kuwa mchaga tu, hata kazi mlikuwa mnapeana kiundugu na hizi safari zenu za December plus hivi viumoja vya mjini, mlikuwa na mtandao mbaya kwa ustawi wa taifa Hili!
Anyway povu lisinitoke sana.... What some of your colleagues did was terribly wrong na haya yanayofanyika sasa nayo ni mabaya sana.
Ni matumizi mabaya ya ofisi za umma.
Note: si wachaga wote wabaya au walihusika na ujinga huu, kama ambavyo si wasukuma wote wanapenda ujinga huu!
 
Well said bro. Ukabila hautupeleki kokote. Tumjudge MTU kwa utendaji wake. Tukianza masuala ya ukabila, udini au rangi hayatatufikisha popote.
Kumbuka kuna wadau na naamini hata humu JF wamo ni mashabiki wa SIMBA damu na wqnachama wa CCM damu lakini Hawaogopi kuvaa njano na kijana kisa rangi za Yanga.
Wrong
Kama Kuna viashiria vya hayo kutendeka huwezi kukaa kimya ukifikiri ndio uayaepusha yasitokee!
Watu wanahisi hayo yanatokea, watu wanahisi hayo yanatendwa na ofisi za juu kabisa. Then njia pekee ya kuyazuia yasizungumzwe ni kwa hao wakuu kutoyatenda au kuthibitisha kuwa hayatokei.
Kinyume na hapo acha wananchi wayajadili. Kama unaweza kuyakanusha unakaribishwa Ila usizuie watu kwa kisema kuwa hayo hayajengi which is true by the way. Ila people are living in that hell kwa sasa!
 
Huyu kwao sengerema, na nishemejie magufuli. Ni mdogo wake na make wa kwanza wa magufuli akiwa bado mwalimu. Kwao ni nyamazugo road mjin sengerema.
Mke wa Kwanza wa Magufuli?
Kwani JPM ana wake wangapi?
 
Na bado akina masawe wamekula mno hii nchi sasa zamu ya waliooitwa tangu uhuru washamba ha haaas
Nchi hii ina Wachaga na Wasukuma tuu? Sisi Wasandawi, Mang'ati, Wairaqwi, wanyambo lini?
 
Mdogo wake Mery Mkandya nimesoma naye sengerema shule ya msingi sjui nae yuko wapi?
 
Nadhani watu wamemleta huyu mama baada ya kuona Mbowe kasingiziwa kuhusu Wema. Haya mambo hayalisaidii Taifa, iwe kwa Magufuli au Mbowe.
 
Mke wa Kwanza wa Magufuli?
Kwani JPM ana wake wangapi?
Kwa sasa anao wawili yaani mama Jesca na pia mdogo wake mama Jesca ambaye alimpachika mimba kwa kutumia kauli ya haina ushemeji pia michepuko mingine ipo kwa siri kubwa mwenye Siri zote ni Daud Bashite kwani ndiyo mshauri mkuu wake.
 
Teuzi za yule mtu nna wasiwasi kama zinaangalia hata sifa...cjaona teuzi aliofanya so far ambayo imekuwa outstanding..ukiangalia uteuzi wa ukuu wa dar na ukuu wa arusha...unajua ni sifa zipi anazingatia zaidi...na huyu wa gairo nadhani amezingatia yale anayosema yule kikatuni cha IG kinachojiita mpigania democracy...
 
Nadhani watu wamemleta huyu mama baada ya kuona Mbowe kasingiziwa kuhusu Wema. Haya mambo hayalisaidii Taifa, iwe kwa Magufuli au Mbowe.
Shemeji shemeji huku wazima Taa hainaga ushemeji ndiyo kauli ilitumiwa na mkulu kuzaa na mdogo wake mama Jesca hakuna msafi wa kumnyooshea mwenzake kidole." Sasa wapo busy kuimarisha penzi na yule mtangazaji wa clouds tv kipindi cha 360 Tanzania hakuna siri, yy kaamua kumtumia Daud Bashite kuwatengenezea watu Uzushi ajiandae kuvumilia siri zake kuanikwa huku Bashite na yy akitafutiwa Kidume amtie mimba mkewe baada ya Daud Bashite kuishi nae miaka 6 pasipo kupata mtoto,
 
Teuzi za yule mtu nna wasiwasi kama zinaangalia hata sifa...cjaona teuzi aliofanya so far ambayo imekuwa outstanding..ukiangalia uteuzi wa ukuu wa dar na ukuu wa arusha...unajua ni sifa zipi anazingatia zaidi...na huyu wa gairo nadhani amezingatia yale anayosema yule kikatuni cha IG kinachojiita mpigania democracy...
vidune wapo busy kumsaka mke wa Daud Bashite ili wampachilke mimba baada ya Daud Bashite kuishi nae miaka 6 pasipo kupata mtoto wameapa kumsaidia kupata mtoto feki kama vyeti vyake.
 
Nadhani watu wamemleta huyu mama baada ya kuona Mbowe kasingiziwa kuhusu Wema. Haya mambo hayalisaidii Taifa, iwe kwa Magufuli au Mbowe.
Mshauri mkuu wa mkulu Daud Bashite ndiyo kinara wa kupika hizi Tabia za kupakaziana hivyo wa kulaumiwa ni yy kwani analifanya Taifa kupoteza mda mwingi kujadili vitu vya ajabu badala ya maendeleo.
 
Back
Top Bottom