Wingi wao unatuletea matatizo utawala bora umekuwa shida, dab ni wengi sana!Mm naona kama mnatafutanjambo ambalo halitakiwi katika nchi hii wingi wenu hakuna athari yoyote kwa taifa hili.
Wingi wao unatuletea matatizo utawala bora umekuwa shida, dab ni wengi sana!Mm naona kama mnatafutanjambo ambalo halitakiwi katika nchi hii wingi wenu hakuna athari yoyote kwa taifa hili.
Kama anazo sifa tumuache apige kaziHuyu ni mdogo wa mtu wa pili kwa umaarufu kwenye kaya kuu, mwenye kuelewa na aelewe. Napita tu....
Kwa hiyo hajapasahau kwa Mzee Mkandya...au tuseme hakulisahau hili zigo mdogo mtuu, haha...Magu noma, bingwa wa kuvitia vitumbua mchanga!Kabla ya kumuoa huyu aliye naye Janth, alikuwa ameoa kwa mzee mkadya baadaye wakaachana. Huyu aliye naye ninwa pili.
Aaaah...kazi anachapa tena anapiga miguu yote kama Ronaldo, hiyo figure waonaje?Asante kwa taarifa , vp kazi anachapa ?
Basi safi mkuuAaaah...kazi anachapa tena anapiga miguu yote kama Ronaldo, hiyo figure waonaje?
Hiv picha inaweza kuonesha pasi na shaka kwamba mtu anafaa kwenye nafasi yake?basi wewe ni balaa.Nimeangalia picha yake kwa makini na nimejiridhisha pasina shaka kwamba anafaa sana kwahiyo nafasi
Anna Makinda?Monica Mbega?Ruvuma haijawahi kuwa na mwanamama mkuu wa mkoa.
Nimecheka sana aiseeacha kabisa ndg. sasa iv halmashauri nyingi wataanza kufanya vikao kwa kilugha. kuna wilaya nyingine wamekutana DC na DED wote wa kulekule
Wewe unasema ulikutana nar na mpaka kabila lake unalifahamu, unataka info gani tena kama si umbea?Nilikutana na huyu dada wa Kisukuma mwaka juzi chuo flani akimalizia shule.Sikuwa karibu naye kivile lakini nikanotisi kuwa ni muhasibu wa Halmashauri huko Tabora.Japo kiumri alikuwa ameshatoka kwenye usichana lakini hakuonekana kama ni mtu mzito kimajukumu ya ofisi.
Hamad nakutana na jina Agnesi Mkandya kwenye list ya Wakurugenzi wapya wa Magufuli.
Sikujua kama ni yeye mpaka leo nilipoiona picha akiwa na Wazira Ummy Mwaalimu akitambulika kama DED Gairo. Mwenye data zake atupe tupate kumjua
Nenda TRA, CRDB au kwengineko kokote ambako CEO au mtu mwenye maamuzi aliwahi kuwa Mchaga kisha urudi hapa utupe report. Hakuna mbaguzi kama nyie mnaojiita WACHAGA. Ni mambo ya kuyaacha tu maana mtaleta mtafaruku huku ndani.Hakuna mchaga aliyewahi kushika nafasi za uteuzi akawateua wachaga kwa wingi.
Hapajawahi hata kuwa na waziri mkuu mchaga hapa Tanzania.
Hata uwaziri tu ni wa kuhesabu.
Sasa hiyo zamu yao ilikua ipi?
Acheni ukabila?
Hii nchi ni ya watanzania wote na ndio maana Nyerere alikua hapendi haya makabila makubwa yashike Madaraka.
Mana hata wakati mwingine jambo likiwa sawa litaonekana kama ukabila.
Watanzania wataamua wenyewe kama kuna ukabila au hakuna kwenye teuzi.
Muda ndio utasema.
Na kwa sababu kuna Makabila 125 kabila moja halitaweza kamwe kuimiliki hii nchi peke yake.
Kodi wanatoa wote halafu kwenye nafasi zinapoishia hizo kodi ziishie kwenye kabila moja!!! Hiyo haitawezekana na haitakubalika kamwe.
Mpaka sasa naona kama mkuu wa nchi anafanya teuzi zake kwa mujibu wa katiba ya nchi. Sasa kama kuna watu wanataka ateue kwa ukabila eti ni zamu yao naona wanataka kumopotisha na kukiangusha chama cha mapinduzi kwani hii nchi ina makabila mengi sana na marais waliopita walijitahidi kuepuka hayo mambo.
Huwezi kusema kuwa kabila fulani ndilo linalolipa kodi kuliko wengine ili wao ndio waifaidi zaidi ya wengine.
Kama ni umaskini basi yapo Makabila mengine mengi sana maskini sana lakini ndio mtaji mkubwa wa kura za kuiweka CCM madarakani bila kujali nani anagombea.
Na haya maneno maneno yataondoka tu pale katiba itakapoondoa huu utaratibu wa rais kuteua watu kila sehemu.
Utaratibu uwekwe kwenye katiba kuwa kila nafasi za kisiasa ziwe ni za kugombea na nafasi za kitaalam watu watume maombi na nafasi zitangazwe watu washindane kwa taaluma na namna watakavyotekeleza malengo ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Kwa kweli mara nyingine kumtoa mtu fulani akawe mkuu wa wilaya au mkoa fulani ni kuwakosea watu wa mkoa huo haki kwa kuwa hawezi kuwa na nia ya thati ya kuwaletea maendeleo zaidi ya kujitafutia fursa kama kujimilikisha mashamba na viwanja na hatimaye kuhamishwa na kuacha migogoro ya ardhi.Bila shaka angekua mkazi na akagombea hiyo nafasi hangeweza kufanya ujinga wa kuangalia maslahi yake na yule aliyempa nafasi hiyo mezani.
Tubadili katiba vinginevyo tuache kulialia rais anapofanya uteuzi.
Kwani huyu dada karudi kwenye UDED?Hakika muda ni jibu la mambo yote!
hakurudiKwani huyu dada karudi kwenye UDED?
Amekatwa!hakurudi