Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

achana nao hao wanataka kila sehemu wakae wao huko tra wamejaa hadi wanaongea kilugha ofisini,kinachotakiwa vigezo vimetimia basi inatosha
Huyu mwanzisha uzi huwa namuangalia tu, toka kipindi kile cha uchaguzi uzi hata hauleweki anataka nini...?! Makamanda wengine tulishaona ni upuuzi toka watuletee stori za ajabu...

Kwa mtindo huu, tutaondoka kwenye hicho chama chake...
 
Hawa wakurugenzi wanahitaji kuwa na moyo wa ujasiri akili za madiwani nazifahamu.
 
Huyu mwanzisha uzi huwa namuangalia tu, toka kipindi kile cha uchaguzi uzi hata hauleweki anataka nini...?! Makamanda wengine tulishaona ni upuuzi toka watuletee stori za ajabu...

Kwa mtindo huu, tutaondoka kwenye hicho chama chake...
haaaah haaaaa utapasuka na njaa zako. Siku nikikuambia amepatikanaje huyo utanielewa!mwenye akili anajua uzi unatafuta nini.
 
Tuwekeni mbali ukabila kwani kuna wale tulimsapoti Dr. Slaa na Lowassa japo si wasukuma.
Well said bro. Ukabila hautupeleki kokote. Tumjudge MTU kwa utendaji wake. Tukianza masuala ya ukabila, udini au rangi hayatatufikisha popote.
Kumbuka kuna wadau na naamini hata humu JF wamo ni mashabiki wa SIMBA damu na wqnachama wa CCM damu lakini Hawaogopi kuvaa njano na kijana kisa rangi za Yanga.
 
Back
Top Bottom