Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

Mleta mada na wengine akina .....ndio walikuwa vinara wa kutupa breakn news na uelekeo wa kampeni za ukawa kuwania ofisi ya Magogoni na Mimi binafsi akili zangu zote nilikabidhi kwao. Kwa mada hii nimeelewa Ukawa yetu ikikuwa chini watu wa aina gani! We Mungu nisamehe kwa kukodisha ufahamu wangu kwa akina nyumbu
 
You might have some brain disorder, so inatusaidia nini - yaaaani kinachokushangaza ni kipi iwapo umeadmit kuwa mwonekano wake chuoni ulikuwa as if ana majukumu mazito!!

Tengeneza hoja ueleweke, ukabila haukufikishi mbali
 
Mange atupe za Ndani sasa Inawezekana amebeba ujumbe maalum
 
Kuna mkubwa afuatiliwa hapa si burebure...!
 
Haya makaburi mengine mnafukua bado maiti hazijaliwa na wadudu. Haya huyu ni mdogo wake na mama yetu yule mkubwa ambaye naye yupo hukohuko mnakofukua
 
Back
Top Bottom