Agizo la Rais halina mjadala wala marekebisho

Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu yakile chadema wanataka kukifanya na madhara yatakayo tokea kwa viongoz wa chama,vijana pamoja na chama. Nibora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuwia jambo lakijinga chadema wanataka kufanya.

Nibora kila mtu ajuwe kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa nakushauri na mwisho kumpa neno lakusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matam ilo nawapa poleni.

Nilazima sote tujuwe kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Ras amesha sema hakuna maandamano na wewe uka andamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuwatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru.

Nilazima tujuwe kunavimelea vya uwasi ndani ya taifa na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa jambo litazaa taifa lenye uwasi. Mtu muwasi sio wakucheka nae wala lushikana mkono. Yale yanatokea sasa sio siasa safi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia. Baba wa uwasi ndani ya taifa hili tunamjuwa walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.

Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmejeuka kumuita dikteta. Nadhani chadema wanafikiri ili yaifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mim ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajuwa rais ni dkteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.

Shime Rais wangu Magufuli walizowea sana.
Kwan tatzo liko wap???? Mkuu asiporudi nyuma hata ukawa hakuna kurudi nyuma!!! We kama mshauri nn kinakuuma kwan?? Sku iyo chukua familia yko muhamie Rwanda waache wenye moyo wa kufa wafe na kuwazika wafu wao!!!!!!!
 
Hizo risasi unazosema ghaddafi alikuwa nazo nyingi lakini hazikumsaidia. Akizitumia zitaongeza chuki ya wananchi kwa ccm na serikali yake. Na ICC itahusika.
Uwezo wa kufikiri umeishia hapo, Gaddafi kutolewa na Mataifa ya Magharibi na vibaraka wachache wa Bhengazi
 
Sisi wote ni wa Mungu.Elewa unapofanya kazi ya uongozi wa nchi unamsaidia Mungu katika kusimamia watu.Hivyo ukiongoza kwa kufurahisha waliokuweka ujue utamkosea Mungu. Tunasoma katika vitabu vya historia Pilato alipo mhukumu Yesu Kristo ili awafurahishe Waisraeli hakuweza kuendelea na kazi yake bali alikuwa kichaa hadi kufa.Viongozi wa Serikali baada ya uchaguzi huapishwa kwa kushika vitabu vitakatifu maana yake ni kua kuanzia siku ya kuapa utaongoza watu kwa misingi Mungu anavyotaka kutouana na kitabu kitakatifu cha MUNGU.Hivyo unapo ongoza kwa kufuata matakwa yako Mungu anakuacha ili ufanye yaufurahishao mwili wako.Ndio maana katika vitabu vitakatifu vinaeleza tusiape kwa kutaja jina la Mungu.Kwani katika kiapo kuna hukumu.Je yanayotendeka sasa katika nchi kuna haja ya kumshirikisha Mungu?Mungu ni mtakatifu hachanganywi na uchafu.
Ujumbe mzuri sana.... Na mwenye akiri hugh'amua
 
Mtu anayechezea katiba na sheria za nchi ni wa kuogopa kama ukoma
Udikteta mnaujua nyinyi chadema, sisi wananchi wala hatujawahi kuunusa wala kukuona, sisi tunamwitaji kwa maendeleo yetu. Nyinyi kwa kuwa hamna kazi ya kufanya nenda mkaandamane.
Ila tusilaumiane, mtawasimulia wajukuu zenu
 
Kwanza yeye kusema hajaribiwi hajavunja sheria yoyote ni sehemu ya mipasho tu ametoa,
Pili, UKUTA inasimama kupinga kauli zake mbili ambazo ni kinyume na sheria za nchi hii kauli hizo ni kusema siasa ifanyike pale tu chama husika kiliposhinda, pia kusema siasa ni mpaka 2020,
Hizo ndiyo zinajengewa UKUTA kwasababu kauli hizo wakuu wa mikoa makasuku wamecopy na wanapaste kama ilivyo hili hali ni kauli zilizo kinyume na sheria ya vyama vya siasa na katiba ya nchi.
 
Udikteta mnaujua nyinyi chadema, sisi wananchi wala hatujawahi kuunusa wala kukuona, sisi tunamwitaji kwa maendeleo yetu. Nyinyi kwa kuwa hamna kazi ya kufanya nenda mkaandamane.
Ila tusilaumiane, mtawasimulia wajukuu zenu
Hakuna maendeleo hilo sahau, na hali inavoenda tarajia makampun kadhaa yafunge shughuli zake kwa kukosa wateja, nafikir bar, hotel hizo tayari, sasa bado nashirka ya ndege, kampun za c&f, n.k
 
Naomba kujuzwa kwa anaejua kilichomkuta blaza mnyika
 
Tunasema katiba ya nchi na sheria zilizomo wengine hawajuw hata katiba inafananaje kisura chadema mbele kwa mbele
 
Hao watakao tekeleza hayo mauaji, ni watu gani? Na kwanini wafanye hivo, aacheni vitisho, watu wamechagua namna ya kuongea waache waongee wakichoka wataacha wenyewe kuwanyamaxisha sio njia sahihi.
Brother mi sina nia ya kutisha watu! Ila nasikitika hayo maneno ulioandika sidhani km yanatosha kuzuia vyombo vya dola kutekeleza hayo niliyoainisha hapo juu,tusubiri ni swala la muda tu.....Inasikikitisha sana...
 
Kutokana Na Neno Lako Inaonekana Wewe Sio Mzalendo Wa Taifa Hili.

Gadafi Hazikumsaida, Ok Baada Ya Gadaf Kufa Libya Wananufaika Na Nini Sasa?!. Kufia Baharini Wakienda Uhamishoni Kupitia Mediteranian Sea?!.

USITULETEE UOGA WA KIJINGA BHANA
 
Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu yakile chadema wanataka kukifanya na madhara yatakayo tokea kwa viongoz wa chama,vijana pamoja na chama. Nibora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuwia jambo lakijinga chadema wanataka kufanya.

Nibora kila mtu ajuwe kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa nakushauri na mwisho kumpa neno lakusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matam ilo nawapa poleni.

Nilazima sote tujuwe kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Ras amesha sema hakuna maandamano na wewe uka andamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuwatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru.

Nilazima tujuwe kunavimelea vya uwasi ndani ya taifa na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa jambo litazaa taifa lenye uwasi. Mtu muwasi sio wakucheka nae wala lushikana mkono. Yale yanatokea sasa sio siasa safi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia. Baba wa uwasi ndani ya taifa hili tunamjuwa walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.

Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmejeuka kumuita dikteta. Nadhani chadema wanafikiri ili yaifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mim ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajuwa rais ni dkteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.

Shime Rais wangu Magufuli walizowea sana.
Kamwe DOLA haitashinda SHERIA.
 
Yeye ni binadamu tu kama sisi , kila mtu atakufa , Ni bora nikafa kifo chenye kumbukumbu kama soweto inavyo kumbukwa , kuliko nikawa na mtawala anaye tumia kila jambo amri , Tanzania ni nchi huru , na kama siyo huru basi tuutafute uhuru , mimi nitakuwa mstari wa mbele September 1 ,ili niwe wa kwanza kufa , kwa ajili ya kupinga Umungu mtu
Usipotoshe watu wewe!
Hicho kifo unachokitaka kitakuwa na kumbukumbu gani kwa hapa Tz?
Tens unayeandika haya Sikh hiyo ikifika utatoa vijisababu vya kutoshiriki.
Rungu la plastiki baba! Halivunjiki toka South Africa. Piga kama mbwa! Na hivi vijana wamemaliza mafunzo juzi,wanahamu ya kutumia zana zao mpya.
Utapotundikiwa "jiwe" kitandani kutibu mivunjiko ndoutaelewa kuwa kumbe sasa sihasa!
Hilo ndio la kwako utakalobakinalo kumbukumbu isofutika maishani kwako.
Wanaokutia moyo ,utaangaza macho baada ya kuzinduka kwenye kitanda cha wagonjwa mahututi,wallah hautwaona.
Akili zitakapokurudia, utaangalia TV ya wadini,utaona waheshimiwa wamekaa mezani kwenye kiti cha sofa, maji baridi ya "Kilimanjaro" wakisema 'tunalaani jeshi la polisi kutumia nguvu kupita kiasi'
 
Mleta mada kama ana akili amshauri Rais na jeshi lake la polisi kulike vyama vya siasa. Kumwona Mungu kama Mungu ni dhambi kubwa.
Wapinzani siyo Mbowe Lowas na Seif ni wazee watoto wajukuu zaidi ya milioni nane ambao kura zao zilifanywa hewa katika uchaguzi wa 2015. Hivyo siyo vema tufanye utani. Rais aanze kuzungumza na vikundi vinavyoelewa badala ya kulazimisha. Policcm siyo dawa. Watakaoumia siyo opposition tu ni wote tutaumia. Tafadhali acheni vitisho. Hii siyo Rwanda ya voters mia tono.

Back
Top Bottom