Pole stomach Thinker and Seeker kama utabakia milele daima tena kwa unafiki na uzambiki wako.Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu yakile chadema wanataka kukifanya na madhara yatakayo tokea kwa viongoz wa chama,vijana pamoja na chama. Nibora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuwia jambo lakijinga chadema wanataka kufanya.
Nibora kila mtu ajuwe kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa nakushauri na mwisho kumpa neno lakusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matam ilo nawapa poleni.
Nilazima sote tujuwe kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Ras amesha sema hakuna maandamano na wewe uka andamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuwatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru.
Nilazima tujuwe kunavimelea vya uwasi ndani ya taifa na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa jambo litazaa taifa lenye uwasi. Mtu muwasi sio wakucheka nae wala lushikana mkono. Yale yanatokea sasa sio siasa safi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia. Baba wa uwasi ndani ya taifa hili tunamjuwa walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.
Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmejeuka kumuita dikteta. Nadhani chadema wanafikiri ili yaifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mim ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajuwa rais ni dkteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.
Shime Rais wangu Magufuli walizowea sana.
Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu yakile chadema wanataka kukifanya na madhara yatakayo tokea kwa viongoz wa chama,vijana pamoja na chama. Nibora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuwia jambo lakijinga chadema wanataka kufanya.
Nibora kila mtu ajuwe kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa nakushauri na mwisho kumpa neno lakusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matam ilo nawapa poleni.
Nilazima sote tujuwe kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Ras amesha sema hakuna maandamano na wewe uka andamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuwatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru.
Nilazima tujuwe kunavimelea vya uwasi ndani ya taifa na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa jambo litazaa taifa lenye uwasi. Mtu muwasi sio wakucheka nae wala lushikana mkono. Yale yanatokea sasa sio siasa safi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia. Baba wa uwasi ndani ya taifa hili tunamjuwa walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.
Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmejeuka kumuita dikteta. Nadhani chadema wanafikiri ili yaifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mim ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajuwa rais ni dkteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.
Shime Rais wangu Magufuli walizowea sana.
Kutokana Na Neno Lako Inaonekana Wewe Sio Mzalendo Wa Taifa Hili.
Gadafi Hazikumsaida, Ok Baada Ya Gadaf Kufa Libya Wananufaika Na Nini Sasa?!. Kufia Baharini Wakienda Uhamishoni Kupitia Mediteranian Sea?!.
sasa nini kinaendelea Libya. Unamaanisha na nyie metumwa kama ilivyokuwa kwa LibyaSiku hiyo,nakesha kwenye tv yangu tuu nasubiri nione majeruhi...vifo na watoto kulilia baba zao walioenda kazini!
Ingekuwa vema ukataja na jina lako kamili na eneo utakapokwepo ili nikuone kwa urahisi zaidi.Yeye ni binadamu tu kama sisi , kila mtu atakufa , Ni bora nikafa kifo chenye kumbukumbu kama soweto inavyo kumbukwa , kuliko nikawa na mtawala anaye tumia kila jambo amri , Tanzania ni nchi huru , na kama siyo huru basi tuutafute uhuru , mimi nitakuwa mstari wa mbele September 1 ,ili niwe wa kwanza kufa , kwa ajili ya kupinga Umungu mtu
Hawa ni waganga njaa wa mtaani mkuu, sijui nani kawafumdisha kuingia social media. Yaani mtu anakoroga tu na maneno mengine ni uchozi mtupu sijui yanaishi wapi majitu kama haya.Nasikitika sana pale ninapoona lugha ya taifa haitendewi haki kimaandishi;
Juwa=Jua
Mnajeuka=Mnageuka
Uwasi=Uasi
Ndio ujue sasa madhara ya kile kinachofanywa na watawala!Kutokana Na Neno Lako Inaonekana Wewe Sio Mzalendo Wa Taifa Hili.
Gadafi Hazikumsaida, Ok Baada Ya Gadaf Kufa Libya Wananufaika Na Nini Sasa?!. Kufia Baharini Wakienda Uhamishoni Kupitia Mediteranian Sea?!.
Pia kugawa bure sukari itakayokamatwa,zilikamatwa na hakuna iliyogawiwa!Mbona maagizo yake mengi yashajadiliwa na kulegezwa kama si kubatilishwa kabisa!!!????, tuanze na agizo la kuzuia sukari kutoka nje........ na tuangalie utekelezwaji wake... . . Labda mfano huo utakufungua.