Agizo la Rais halina mjadala wala marekebisho

Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu yakile chadema wanataka kukifanya na madhara yatakayo tokea kwa viongoz wa chama,vijana pamoja na chama. Nibora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuwia jambo lakijinga chadema wanataka kufanya.

Nibora kila mtu ajuwe kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa nakushauri na mwisho kumpa neno lakusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matam ilo nawapa poleni.

Nilazima sote tujuwe kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Ras amesha sema hakuna maandamano na wewe uka andamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuwatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru.

Nilazima tujuwe kunavimelea vya uwasi ndani ya taifa na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa jambo litazaa taifa lenye uwasi. Mtu muwasi sio wakucheka nae wala lushikana mkono. Yale yanatokea sasa sio siasa safi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia. Baba wa uwasi ndani ya taifa hili tunamjuwa walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.

Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmejeuka kumuita dikteta. Nadhani chadema wanafikiri ili yaifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mim ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajuwa rais ni dkteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.

Shime Rais wangu Magufuli walizowea sana.
LUMUMBA FC,
 
Nitaingia barabarani tarehe 01 Disemba baada ya kuona Luwasa na Mbowe wakiwa barabarani na familia zao tena nigamikishwiwe kuwa wote wapo kwa kufanya lokoo...

Vijana wa UKIWA wa Buguruni Malapa...
 
Afadhali mleta mada angelala tu kuliko kuandika utumbo kama huu
Tunafuata KATIBA sio kauli ya mtu
Nguvu ya Rais inaonekana pale tu kama katangaza hali ya hatari kwa Taifa
Kwa sasa Rais Magufuli apende asipende lzm afuate Katiba
 
Hizo risasi unazosema ghaddafi alikuwa nazo nyingi lakini hazikumsaidia. Akizitumia zitaongeza chuki ya wananchi kwa ccm na serikali yake. Na ICC itahusika.
Nani alikwambia Wananchi ndio walimuondoa madarakani Ghadafi?. Kama mnadhania hivyo endeleeni kufanya ujinga wenu...
 
Nilipingwa vikali na Great thinkers niliposema "Agizo la Mh. Rais Kijeshi ni Amri".
In fact Urais ni Taasisi na sio mtu,hivyo tamko la Mkuu wa Nchi ni lazima litekelezwe.
Ifike mahala tuheshimu mamlaka zilizopo kwani hakuna chochote watakachofaidi nacho wale wasioheshimu mamlaka zaidi uvunjifu wa Amani na kuendeleza Ugumu wa maisha kwa wafuasi wao.
 
Pole stomach Thinker and Seeker kama utabakia milele daima tena kwa unafiki na uzambiki wako.
Hakuna kauli hadi sasa zenye msimamo toka kwa Rais,mfano kuzuia mikutano ya kisiasa hadi 2020 na kuruhusu tena ila kwa sehemu uliyoshinda.
Inaonyesha mkanganyiko mkubwa sana toka kwa kiongozi wa Taifa huku akijua kwamba hana mamlaka wala uwezo wa kuzia mikutano na maandamano kwani ni haki ya kikatiba kama ibara 20 (1) ya Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tz. ya 1977.
Nadhani ifike mahali Watz. muachane na unafiki na uchumia Tumbo kwani kila mtu atatoa hesabu yake siku za mwisho,ni vizuri tukamshauri Rais zaidi na asikilize na kufanyia kazi kwa yale mazuri ktk ushauri kwa kuheshimu na kuilinda katiba ya nchi kama alivyo apa mwanzo kuwa "Atalinda,kuheshimu na kuisimamia Katiba ya nchi" sasa ni tofauti kabisa.
Nchi hii sisi wananchi ndiyo tunayo dhamana yake ya kuiweka salama au kwenye machafuko na endapo unafiki huu kama wako utandelea na kwa wengine pia huenda ndiyo mkawa wa kwanza kuingiza nchi kwenye matatizo badala ya kumueleza Rais ukweli na kubakia kushangilia tu ata akizungumza kibaya ninyi mnadanganya kwa vigegele,vifijo,nderemo na nyimbo naye kujiona anapendwa na kuwa yuko sawa na sahihi kumbe tunajimaliza.
VIJANA WANAFIKI NA WALE WOTE MNAODHANI NCHI HII IKIINGIA PABAYA MTAKUWA SALAMA NA FAMILIA ZENU MBADILIKE HARAKA KWANI TAIFA HILI NI LETU SOTE KWA UZURI NA UBAYA PIA.
WEWE NIMTU USIE JITAMBUWA KIPOFU USIO ONA MBELE MFITINI ULIOFITINISHWA JUWA HALIWEZI KUPITA KABLA UJAWEKWA WAZI UNAFIKI WAKO.........
 
Wewe mleta mada yaani una chuki mpaka unatamani watanzania fulani waue wenzao kwa faida ya nani hasa? Kwa nini tumekuwa na chuki kiasi hiki?
Mimi ningekuona una busara kama ungependekeza yawepo mazungumzo kati ya serikali na upinzani ili kutatua huu mgogoro wa kikatiba.
Ndugu zangu Watanzania tusiendekeze chuki kwa sababu tu ya milengo ya kisiasa. Halafu nashangaa sana awamu hii kumekuwa na misuguano mibaya sana , kama watu wenye busara hawataingilia kati tunaweza kufika kubaya . Narudia tena tuache chuki miongoni mwetu.
Sina chuki yeyote ila kama rais yupo basi tumtii kitendo chakutotii niishara ya uwasi.
 
Siku hiyo,nakesha kwenye tv yangu tuu nasubiri nione majeruhi...vifo na watoto kulilia baba zao walioenda kazini!
Unadhan kuna watu kwel watajitokeza zaidi ya wanachama tena wafia chama, mi sina uhakika kama raia wa kawaida wanaweza jitokeza watz ni waoga mno
 
Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu yakile chadema wanataka kukifanya na madhara yatakayo tokea kwa viongoz wa chama,vijana pamoja na chama. Nibora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuwia jambo lakijinga chadema wanataka kufanya.

Nibora kila mtu ajuwe kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa nakushauri na mwisho kumpa neno lakusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matam ilo nawapa poleni.

Nilazima sote tujuwe kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Ras amesha sema hakuna maandamano na wewe uka andamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuwatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru.

Nilazima tujuwe kunavimelea vya uwasi ndani ya taifa na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa jambo litazaa taifa lenye uwasi. Mtu muwasi sio wakucheka nae wala lushikana mkono. Yale yanatokea sasa sio siasa safi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia. Baba wa uwasi ndani ya taifa hili tunamjuwa walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.

Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmejeuka kumuita dikteta. Nadhani chadema wanafikiri ili yaifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mim ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajuwa rais ni dkteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.

Shime Rais wangu Magufuli walizowea sana.
Kumbe unaota
 
Yeye ni binadamu tu kama sisi , kila mtu atakufa , Ni bora nikafa kifo chenye kumbukumbu kama soweto inavyo kumbukwa , kuliko nikawa na mtawala anaye tumia kila jambo amri , Tanzania ni nchi huru , na kama siyo huru basi tuutafute uhuru , mimi nitakuwa mstari wa mbele September 1 ,ili niwe wa kwanza kufa , kwa ajili ya kupinga Umungu mtu
Wewe ni nani?. Muoga tu hamna lolote...taja majina yako halisi ili tuone kama sio muoga...una hamasisha watu wengine hapa ukiwa umejificha nyuma ya keyboard..nenda zako.
 
Ni sahihi kabisa hii mada umeandika ukiwa unaumwa kwani iko very disorganized! Unajua kukosa usingizi ni tatizo/ugonjwa?. Mkuu kacheti ambako Ndalichako kasema hakagui unacho?
 
hakuna kosa kubwa kwa kiongozi wa nchi kuvunja katiba aliyoapa kuilinda kwa kinywa chake mwenyewe.....
 
Siku hiyo,nakesha kwenye tv yangu tuu nasubiri nione majeruhi...vifo na watoto kulilia baba zao walioenda kazini!
Hao watakao tekeleza hayo mauaji, ni watu gani? Na kwanini wafanye hivo, aacheni vitisho, watu wamechagua namna ya kuongea waache waongee wakichoka wataacha wenyewe kuwanyamaxisha sio njia sahihi.
 
Chademw wanaakili sana kuliko unavyofikiri ww,yote hayo waliyaona ila Kumbuka wameamua kufanya hivyo kama mtego,aue,ili ionekane.Tznia sio nchi ya amani tena,isioheshimu katiba,
 
Hawa wanatumwa na Serikali kupima kina cha maji kwa Muguu, Ukawa NA UKUTA wanasapoti wa watumishi wa umma, wauza baa na HATA wauza papuchi, pia wauza magenge na boda boda, unafikiri kura milioni sita alizopata Lowassa ni za akina nani? Isitishe watu tumia busara Mleta uzi
 
Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu yakile chadema wanataka kukifanya na madhara yatakayo tokea kwa viongoz wa chama,vijana pamoja na chama. Nibora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuwia jambo lakijinga chadema wanataka kufanya.

Nibora kila mtu ajuwe kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa nakushauri na mwisho kumpa neno lakusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matam ilo nawapa poleni.

Nilazima sote tujuwe kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Ras amesha sema hakuna maandamano na wewe uka andamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuwatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru.

Nilazima tujuwe kunavimelea vya uwasi ndani ya taifa na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa jambo litazaa taifa lenye uwasi. Mtu muwasi sio wakucheka nae wala lushikana mkono. Yale yanatokea sasa sio siasa safi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia. Baba wa uwasi ndani ya taifa hili tunamjuwa walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.

Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmejeuka kumuita dikteta. Nadhani chadema wanafikiri ili yaifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mim ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajuwa rais ni dkteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.

Shime Rais wangu Magufuli walizowea sana.

Kuandika kwenyewe ni shida, halafu eti wewe ndiye mshauri mahiri hapo Lumumba fc! Ndiyo maana hata mawakili wenu wanashindwa kesi kwa naman ndogo tu tena ya tarehe. Hii yote ni sababu yako ya kuwa na chuki na binadamu mwenzako. Ona sasa msamiati mpya ulivyo tamalaki! "Keep in touch that, people accuses the habit of trampling on the needs and rights of multparts"
 
Hongera kwa kushabikia mipaongo ya kuuwa watu wa taifa lako. Naamini hakuna Rais awaye yote anaye enjoy kuuwawa kwa raia wake. Hivyo vyeo havitatolewa kwa wauwaji. Polisi wetu wamefundishwa kukamata waalifu na siyo kuwauwa.
 
Back
Top Bottom