Agizo la Rais halina mjadala wala marekebisho

Sifa ulizotaja hapo ni sawa na za Kim Jeong Un anayeongoza North Korea, akisema kitu lazima kifanywe without question.
Nipe tofauti moja tu
 
Nilazima tujuwe kunavimelea vya uwasi ndani ya taifa na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa jambo litazaa taifa lenye uwasi.
Kwanza, sio UWASI, bali UASI! Pili, wakati watu wenye fikra mbovu mbovu kama wewe wanachelea kukomaa kwa vimelea vya uasi, watu wenye akili zao wanachelea kukomaa kwa vimelea vya udikteta! Mheshimiwa JPM amekuwa akitajwa kama Dikteta na haidhuru yeye mwenyewe na mamluki wake wanakanusha! Hata hivyo, Mheshimiwa JPM kama kweli sio dikteta basi ana vimelea vya udikteta! Watu wana hofu vimelea hivi vya udikteta vinaweza kutengeneza ugonjwa rasmi! Nitakupa viashiria:

  • Kauli kwamba "mimi sijaribiwi" bila shaka "ukimjaribu" utakiona cha moto ni kauli za kidikteta!
  • Ingawaje kusafiri nje ya nchi sio jambo muhimu sana lakini hiyo ndiyo tabia ya madikteta wote duniani: huwa hawasafiri na hata wakisafiri basi wanaenda kwa madikteta wenzao kama alivyofanya mheshiiwa sana kwenda kwa Museven na Kagame!
  • Madikteta wana tabia ya kujikweza kama ambavyo yeye anavyojikweza kiasi cha kujiona anaweza kuwa kiongozi wa malaika!
  • Madikteta wana tabia ya kusigina katiba! Ni mjinga tu ndie anaweza kusema kuzuia shughuli za kisiasa sio usiginaji wa wazi wazi wa katiba! Na ni mpumbavu tu ndie anaweza kusema Rais hajazuia shughuli za kisiasa na kwamba ameruhusu isipokuwa exclusively kwa viongozi waliochaguliwa kwenye uchaguzi unaosimamiwa na NEC na STRICTLY kwenye maeneo yao tu!
  • Ni mjinga tu ndie atapinga kwamba tangu Mheshiiwa JPM aingie madarakani, watu wamekuwa waoga zaidi kutumia haki yao kujieleza (freedom of speech). Hayo ni mambo ni ya kawaida kabisa kwenye tawala zotee za kidikteta duniani!
Sasa wakati watu kama wewe mnachelea uasi ambao kimsingi haupo (ingawaje mnataka kuutenegeneza), watu wanaotumia kichwa kufikiri wanachelea hayo hapo juu yakiachwa yaendelee basi huenda kweli udikteta rasmi ukaja kutamalaki kwenye nchi hii! Ilianza kupigwa marufuku kuoneshwa bunge; ikaja kuzuiwa shughuli za kisiasa! Haya mambo yakiachwa yaendelee, hiyo mwaka 2020 tutakuja kuambiwa hakuna uchaguzi mkuu-- huyo huyo aendelee!!!
Yale yanatokea sasa sio siasa safi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia.
Safi sana; ni kweli haya yanayotokea sasa sio siasa safi bali ni siasa za mataifa uliyotaja! Mataifa yote hayo watu hawana uhuru wa kufanya siasa kama ambavyo uhuru huo unavyopokwa leo nchini kwetu! Huko kote viongozi wake wanang'aninia madaraka; na hicho ndicho hasa wengine tunachelea kuja kutokea siku za usoni-- kama si kufutwa chaguzi zilizopo kikatiba basi kubadilisha katiba ili watu waendelee kuongoza kv madikteta wana silika ya kujiona hakuna kiongozi bora kama wao!
 
Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu yakile chadema wanataka kukifanya na madhara yatakayo tokea kwa viongoz wa chama,vijana pamoja na chama. Nibora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuwia jambo lakijinga chadema wanataka kufanya.

Nibora kila mtu ajuwe kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa nakushauri na mwisho kumpa neno lakusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matam ilo nawapa poleni.

Nilazima sote tujuwe kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Ras amesha sema hakuna maandamano na wewe uka andamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuwatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru.

Nilazima tujuwe kunavimelea vya uwasi ndani ya taifa na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa jambo litazaa taifa lenye uwasi. Mtu muwasi sio wakucheka nae wala lushikana mkono. Yale yanatokea sasa sio siasa safi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia. Baba wa uwasi ndani ya taifa hili tunamjuwa walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.

Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmejeuka kumuita dikteta. Nadhani chadema wanafikiri ili yaifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mim ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajuwa rais ni dkteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.

Shime Rais wangu Magufuli walizowea sana.
Hivi rais akitoa agizo kuwa Watu wa mtaani kwenu hampaswi kula kwa wiki nzima ili kuliombea taifa wewe utatekeleza hizo agizo kisa kasema rais?
 
WEWE TumainiEl...!
TAIFA HUENDESHWA KWA SHERIA NA KANUNI KWA MUJIBU WA KATIBA,
AU HUENDESHWA KWA KAULI BINAFSI ZA VIONGOZI?

je kiongozi wa taifa anakuwa Juu ya sheria?
we call it "vurugumechi" or "vurugu"
 
Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu yakile chadema wanataka kukifanya na madhara yatakayo tokea kwa viongoz wa chama,vijana pamoja na chama. Nibora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuwia jambo lakijinga chadema wanataka kufanya.

Nibora kila mtu ajuwe kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa nakushauri na mwisho kumpa neno lakusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matam ilo nawapa poleni.

Nilazima sote tujuwe kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Ras amesha sema hakuna maandamano na wewe uka andamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuwatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru.

Nilazima tujuwe kunavimelea vya uwasi ndani ya taifa na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa jambo litazaa taifa lenye uwasi. Mtu muwasi sio wakucheka nae wala lushikana mkono. Yale yanatokea sasa sio siasa safi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia. Baba wa uwasi ndani ya taifa hili tunamjuwa walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.

Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmejeuka kumuita dikteta. Nadhani chadema wanafikiri ili yaifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mim ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajuwa rais ni dkteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.

Shime Rais wangu Magufuli walizowea sana.
Huo ushauri nanga unaojaribu kuutoa kwa vyombo vya dola au kwa serikali ni wa kinafiki juu ya Rais na dhamira yake kuyafunga mafisadi ya ccm; kwa ufupi ni kwamba haiwezekani watu eti wakae kimya na kumsikiliza mtu mmoja! mikutano ya siasa haizuiliki maadamu katiba inataka hivyo; kama huo ndo ushauri wenu kwa serikali inaonyesha wazi hamumpendi hata rais maana mnataka miaka 5 iishie kwa kukimbizana na akina Lisu mwishowe asahau hata kuyafunga majizi yaliyomo ccm,
 
Wewe mleta mada yaani una chuki mpaka unatamani watanzania fulani waue wenzao kwa faida ya nani hasa? Kwa nini tumekuwa na chuki kiasi hiki?
Mimi ningekuona una busara kama ungependekeza yawepo mazungumzo kati ya serikali na upinzani ili kutatua huu mgogoro wa kikatiba.
Ndugu zangu Watanzania tusiendekeze chuki kwa sababu tu ya milengo ya kisiasa. Halafu nashangaa sana awamu hii kumekuwa na misuguano mibaya sana , kama watu wenye busara hawataingilia kati tunaweza kufika kubaya . Narudia tena tuache chuki miongoni mwetu.
Hao unaodhani wana busara ya kuingilia kati wamekuwa WANAFKI & WACHUMIA TUMBO hasa viongozi wa dini.

Hawamuelezi ukweli kuwa BINAADAM siyo NG'OMBE lazima watofautiane kimawazo na hata kimatendo
Hao wazee wastaafu nao wanataka daima chama chao kitawale milele. Wasomi wetu nao wamejengewa mazingira ya uoga, unapowasikia Maprofesor na Madoctor wanaposhauri juu ya jambo hili unachanganyikiwa tofauti yao na wale wa shule za kata.
 
Je wakati wa utawala wa JK uliwahi kutetea utawala wake kwa kuandika hoja kama hii ukiwa mtetezi wa Jamhuri au ni swala la unafiki tu uliotukuka.....je siasa unazoziona TZ vipi hazifanani na zile za Uganda na Rwanda pia. Nakukumbusha JPM si mnafiki na hapendi wanafiki ktk serikali aslani[emoji120] [emoji120] .
Tulikuwa na JPM kimyakimya natunaongoza naye kimya kimya. Kuhusu JK Mungu anajuwa nasioni haja kuandika lolote kuhusu yeye. Mwache apumzika. Kuhusu unafiki na usaliti ni akina Mbowe na Lissu walio mtukana Lowasa nchi nzima leo wamekuwa rafiki yao. Usaliti wao wataulipia hapahapa duniani Sote tukiona na ndipo tutajuwa nani ni mnafiki.
 
Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu yakile chadema wanataka kukifanya na madhara yatakayo tokea kwa viongoz wa chama,vijana pamoja na chama. Nibora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuwia jambo lakijinga chadema wanataka kufanya.

Nibora kila mtu ajuwe kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa nakushauri na mwisho kumpa neno lakusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matam ilo nawapa poleni.

Nilazima sote tujuwe kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Ras amesha sema hakuna maandamano na wewe uka andamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuwatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru.

Nilazima tujuwe kunavimelea vya uwasi ndani ya taifa na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa jambo litazaa taifa lenye uwasi. Mtu muwasi sio wakucheka nae wala lushikana mkono. Yale yanatokea sasa sio siasa safi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia. Baba wa uwasi ndani ya taifa hili tunamjuwa walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.

Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmejeuka kumuita dikteta. Nadhani chadema wanafikiri ili yaifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mim ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajuwa rais ni dkteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.

Shime Rais wangu Magufuli walizowea sana.
Napata jibu kuhusu viongozi wa nchi kupigwa risasi au kuuawa kwa namna yoyote,pia uwepo wa magaidi duniani.
Wengi walikuwa kama yeye lakini walishindwa na kupotea duniani.
 
Nimemchukia sana tangu alipovunja mkataba wangu wa kazi kwa kushindwa kuniongezea mshahara,pia mdogo wangu anaenda field analalamika hana pesa,eti hawajapewa hadi leo.
 
Kutokana Na Neno Lako Inaonekana Wewe Sio Mzalendo Wa Taifa Hili.

Gadafi Hazikumsaida, Ok Baada Ya Gadaf Kufa Libya Wananufaika Na Nini Sasa?!. Kufia Baharini Wakienda Uhamishoni Kupitia Mediteranian Sea?!.
Ni wendawazimu tu utawaeleza hayo wakakuelewa, hivi hata hamuoni watanzania wanawacheka tu, dikteta gani anapeleka watu mahakamani? natamani hiyo siku ifike tushuhudie mnavyoshughulikiwa kikwelikweli.
 
Sasa najiuliza hivi wakishapigwa risasi, wananchi wamelala chini pale wanagalagala, vilio vya wanawake na watoto kuhusu vifo vya ndugu, jamaa na marafiki. Hivi atakaa pale kwenye kiti cha enzi anachekelea kuwa "WAMEKIONA, KWA NINI HAWAJANITII"?
 
Umepata sukari au unatumia asali?
Dah... Chief sisi wengine tuko tayari hata kushinda njaa ili mradi mafisadi, wezi wa mali ya umma, wazembe na wala rushwa waishe kabisa,. Tunajua Kwa sasa wamepata watetezi hivyo Vita itakuwa ngumu lakini kamwe hatutarudi nyuma...tutapambana hadi tone la mwisho la damu ... Hata ndiyo mabadiliko ya kweli tuliyokuwa tunayahitaji..[emoji4]
 
Sasa najiuliza hivi wakishapigwa risasi, wananchi wamelala chini pale wanagalagala, vilio vya wanawake na watoto kuhusu vifo vya ndugu, jamaa na marafiki. Hivi atakaa pale kwenye kiti cha enzi anachekelea kuwa "WAMEKIONA, KWA NINI HAWAJANITII"?
Ni ndoto hakuna wa kuandamana
Hata wewe hutaandamana.
 
Kawatishe wengine, kama umwetumwa waambie wajipange vizuri. Hakuna asiyejua kuwa Rwanda asili yao ni mauaji lakini hawajali. Mwana wao wamemkabidhi mikoba alete vurugu za Rwanda na Burundi.

Kama ndiyo mlilokusudia mtalipata kwa sababu mmefanikiwa kutugawa kila seheme tutatafuta kuungana hata kwa uzi na kupinga huu upuuzi.
 
Back
Top Bottom