mechard Rwizile
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 1,571
- 875
Umeongea ukimanisha kweli unaonyesha kutoka moyoni unauchungu wa taifa hili.....
Ni watanzania wachache sana wenye moyo huuu
Kuna kitu unamanusha hapa na cha msingi mnooo
Watu tulizoea kugawanyika kisiasa ila kijamii tuliishi pamoja na kushirikiana sasa hivi hali ni tofauti mkuuu.
Tatizo kubwa chadema na sisiemu wanataka kuonyeshana ubabe kabisaaa
Hapa watakaoathirika ni wanawake na watoto, pia kuja kutengemaaa ukitokea mtanziko huu itatuchukua karne.
Kuna tetesi ujerumani wanataka fadhura za ufadhiri wao na hapo ndipo tatizo lilipo
CDM hawana bunduki wala askari, hawatashika mawe au silaha yeyote ile. Wataeleza ukosefu wa sukari, wataeleza kuendelea kukosekana dawa hospitalini wakati mapato ya taifa yameongezeka! Tatizo liko wapi hapa.