Agizo la Rais halina mjadala wala marekebisho

Mleta mada siyo mtu anayependa nchi yake. Swali la Rais kutofuata katiba bila maelezo ya maana na mazungumzo na vyama vyote pamoja na chama chake siyo jambo la busara. Hawezi kubana vyama vingine bila chama chake halafu wewe mleta mada unasema his word is law. Neno la raisi linakuwa law wakati linapokuwa within the constitution. Tofauti ni wakati wa emergency. Tulidhani wasukuma ni watu wazuri wenye mapenzi na watu wote. Lakini nakumbuka hata campaign zake zilikuwa za kutenga watu kwa ukanda sana. Tunaomba sana abadilike. Na watu kama wewe mleta mada hamfai kabisa unataka milioni ya watu wakasirike.
 
Maandamano yatakuwa pale pale na siyo tu ya wanachadema bali ya wote wanaopenda nchi hii!!!!
 
Mimi ninashangaa sana. Kwa nini Rais wetu anaongea kama vile anaongea na watoto wadogo. Ama mtu aliye katika vita na Opposition. Kwa nini hata wakati moja hakujaribu kuwaona kama viongozi wenzake? Ile ni serikali kivuli ikiwa na maana kuwa mkuu wa upinzani ni rais kivuli mwenye kuona kuwa Rais wa nchi kwa muda anapokuwa kwenye kiti anafuata katiba ya nchi na kuzuia ufisadi. Tunasifu sana juhudi zake za kupambana na mafisadi lakini hiyo haimpi leseni ya kuvunja katiba ya nchi. Mambo ya katiba siyo tu ya wapinzani ni yetu sote.
 
Tunawaomba sana viongozi wa dini walete some sense kwenye jambo hili. Ni muhimu kabla nchi haijawa kama nchi nyingine za jirani. Rais ameanza mno kwa dharao makubwa kwa wapinzani. Hata kumkataza Lowasa asishukuru wapiga kura wake ambao ni wa mchi nzima. Haya maandamano ni dalili kuwa hasira zinazidi na hii ni hatari. Mimi ni mzee ndiyo maana natoa ushauri badala ya kutukana. Nadhani vijana wasomi ambao damu zinachemka hawataogopa kupigwa. Let us avoid this.
 
Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu yakile chadema wanataka kukifanya na madhara yatakayo tokea kwa viongoz wa chama,vijana pamoja na chama. Nibora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuwia jambo lakijinga chadema wanataka kufanya.

Nibora kila mtu ajuwe kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa nakushauri na mwisho kumpa neno lakusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matam ilo nawapa poleni.

Nilazima sote tujuwe kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Ras amesha sema hakuna maandamano na wewe uka andamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuwatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru.

Nilazima tujuwe kunavimelea vya uwasi ndani ya taifa na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa jambo litazaa taifa lenye uwasi. Mtu muwasi sio wakucheka nae wala lushikana mkono. Yale yanatokea sasa sio siasa safi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia. Baba wa uwasi ndani ya taifa hili tunamjuwa walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.

Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmejeuka kumuita dikteta. Nadhani chadema wanafikiri ili yaifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mim ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajuwa rais ni dkteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.

Shime Rais wangu Magufuli walizowea sana.
When you are stupid in all senses, remain silent because no one will know your stupidity.

Going out loud with your stupidity is a horrowful stupidity
 
Yeye ni binadamu tu kama sisi , kila mtu atakufa , Ni bora nikafa kifo chenye kumbukumbu kama soweto inavyo kumbukwa , kuliko nikawa na mtawala anaye tumia kila jambo amri , Tanzania ni nchi huru , na kama siyo huru basi tuutafute uhuru , mimi nitakuwa mstari wa mbele September 1 ,ili niwe wa kwanza kufa , kwa ajili ya kupinga Umungu mtu
Atakae kujua wewe nani? Eti SOWETO?! Sina hakika kama unajitambua. Yaani kama unamke na watoto sidhani kama utakuwa unakili sawasawa.

It's simple, ukiwa huna jambo la maana la kufanya, akili yako itajazwa ujinga na utakubali. Mtu mwenye kutafuta zake rizki kila asubuhi na jioni akafunga mahesabu yake hawezi endekeza upuuzi hata siku moja. Maana wanasiasa wapo kwasababu wananjaa. Na watafanya wawezalo ili wale. Hata kwa kusukumizia watu wagawanyike au wauwane.

Mtanzania anahitaji KAZI, SEHEM YA KUISHI, NA HUDUMA BORA ZA KIJAMII hizo mbwembwe zingine tunawaachia madomo kaya.
 
Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu yakile chadema wanataka kukifanya na madhara yatakayo tokea kwa viongoz wa chama,vijana pamoja na chama. Nibora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuwia jambo lakijinga chadema wanataka kufanya.

Nibora kila mtu ajuwe kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa nakushauri na mwisho kumpa neno lakusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matam ilo nawapa poleni.

Nilazima sote tujuwe kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Ras amesha sema hakuna maandamano na wewe uka andamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuwatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru.

Nilazima tujuwe kunavimelea vya uwasi ndani ya taifa na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa jambo litazaa taifa lenye uwasi. Mtu muwasi sio wakucheka nae wala lushikana mkono. Yale yanatokea sasa sio siasa safi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia. Baba wa uwasi ndani ya taifa hili tunamjuwa walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.

Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmejeuka kumuita dikteta. Nadhani chadema wanafikiri ili yaifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mim ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajuwa rais ni dkteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.

Shime Rais wangu Magufuli walizowea sana.
Mmenunua risas zakutosha Lakini? Maana haya maisha ya umbea yametuchosha
 
Huyu mleta mada ni aina ya MACOMBI na ni product ya elimu yetu dini.
1. Anamuona Rais kama Mungu fulani asiyeweza kukosea kibinadamu. U Rais ni cheo cha kutumia hekima zaidi ya vitisho. Na wale maraisi wote waliogeuka vitisho kwa watu wao hakuna hata moja duniani aliemaliza vizuri HAKUNA.

2. Pili mtoa mada uelewa wake mdogo wa kuwaona wapinzani sawa na waasi. Uasi hauko kikatiba lakini upinzani upo kikatiba. Na ni Katiba hiyo hiyo iliyotumika kumuapisha Rais ndiyo iliyoainisha majukumu ya wapinzani ki Taifa.
Na upinzani ni afya kitaifa ili tuongozane vizuri siyo zidumu fikra za mtu fulani.

Mleta mada kutumia jeshi lolote (Polisi, Jw, Tiss, Jkt etc) dhidi ya raia ndio itakayosababisha huo uasi. Haya majeshi yatulinde dhidi ya Adui hasa wa nje na yatakuwa ya kujivunia lakini yasitumike dhidi ya raia wazalendo wa nchi hii kisa tu si wafuasi wa CCM.

4. Mleta mada ungekuwa fair kumshauri mkuu akawaacha wapinzani wakafanya kazi zao za kikatiba kuanzia bungeni mpaka uraiani. Si kunyamazisha watu.

5. Mwisho usiiangalie upinzani kwa maana ya Lowassa, Mbowe na Seif !!! HEBU ANGALIA KURA ZILIZOIKATAA CCM NI NGAPI NDIYO UJUE WAPINZANI NI WATZ WENYEWE. tuheshimiane na tuongozane vizuri tu
Kwa mawazo haya unaonyesha dhahiri ulivo mzalendo wa taifa hili la dhati, na nikupongeze kwa hilo.
Mimi niungane na wewe kuwa upinzani kokote duniani ni afya ya maendeleo katika taifa lolote pia ni chachu ya amani na utulivu kwani hutumika kumuonyesha kiongozi wapi anaenda ndivo sivyo. Hongera kwa kulijua hilo.

Hofu yangu ni namna upinzani unavoendesha kazi zao na jinsi wanavyowageuza raia wasiojua lolote wala chochote kuhusu misingi, mipaka na mienendo ya upinzani, ikumbukwe tu kuwa katika taifa lolote lenye upinzani bora hua inatakiwa viongozi wa ngazi za juu za upinzani kuziendesha shughuri zao kwa weredi wa juu kabisa ili kujenga imani kwa watu iliyochanya.
Hili lisipofanyika kinachotokea hua ni kuligawa taifa na matokeo yake huenda mbaaaaaaaaaaaali zaidi na kuzalisha vitu tofauti nje ya malengo ya upinzani

Mathalani; kuna tabia ya wapinzani badala ya kuwa washauri na wakosoaji wa serikali kwa weredi wa juu ili watu waone umuhimu wake, wao hufanya kazi tofauti na lengo la upinzani, nitatoa mifano ya kazi ambazo mara nyingi huyaingiza mataifa mengi katika vita vya wenyewe kwa wenyew,
1. Badala ya kufanya kazi ya kukosoa mapungufu ya serikali iliyoko madarakani,wengi wamekua wa kushindana na serikali kwa kila kitu katika mitazamo hasi

2. Wameshindwa jua nini maana ya ushauri, wao huchukulia ushauri wao kama ni AMRI kwa serikali kufanya hayo,ikumbukwe ukipewa kazi ya kushauri hua inabaki kazi ya mshauriwa kutekeleza au lah kwani ushauri ni hiari

3. Wengi wametumika kuwagawa watu katika maeneo wanaoishi, hususiani kule ambapo wanainchi wengi wapo, mfano katika serikali za vijiji na miji.

4. Lugha au namna ya ufikishaji wa ujumbe kwa mlengwa, hapa ndipo nadhani nchi yetu katika upinzani inafeli, huwezi mshauri mkuu kwa kumshinikiza tena kwa kumtisha na zaidi kumdharirisha hapo hata kama ni wewe sidhani kama utaliunga mkono hili,
Ikumbukwe hata kama wewe ni mpinzani kwa vyovyote vile yule kashakuwa raisi hivyo unapaswa utumie kaulo nzuri na uwasilishaji madhubuti wa hoja zako hata kama mambo yanaenda ndivo sivyo,
Mathalani kutumia maneno yenye maana tofauti kwa wapokeaji hasa kupitia vyombo vya habari,

Kwa hayo machachi nadhani upinzani unapaswa kuliangalia hilo kivingine

TUKUMBUKE WAPINZANI TULIKWISHA POTEZA IMANI YETU KWA RAISI TOKA SIKU YA KWANZA YA HOTUBA YAKE BUNGENI, NAFIKIRI PALE TULIJENGA MTAZAMO TOFAUTI KWAKE

HIVYO ILIPASWA KAMA WAPINZANI TUTUMIE AKILI NYINGI SIO KUSHINDANA NAE TENA.
 
Yaan usiku uko peke yako unakosea kuandika hvo je ukisimamiwa itakuaje!? Kila mara uwasi uwasi ndio nn?
Rais hajaribiwi kwan yeye Mungu?? Angalie msiwe na Mungu mtu atapasuka! Tena ninavyomjua mwoga atashika tama yakimshinda!!
Kwa nini tujenge dhana ya kumjaribu raisi? Haya ikitokea akashindwa kwenye majaribio yetu hatima yake ni nini??
 
Pole stomach Thinker and Seeker kama utabakia milele daima tena kwa unafiki na uzambiki wako.
Hakuna kauli hadi sasa zenye msimamo toka kwa Rais,mfano kuzuia mikutano ya kisiasa hadi 2020 na kuruhusu tena ila kwa sehemu uliyoshinda.
Inaonyesha mkanganyiko mkubwa sana toka kwa kiongozi wa Taifa huku akijua kwamba hana mamlaka wala uwezo wa kuzia mikutano na maandamano kwani ni haki ya kikatiba kama ibara 20 (1) ya Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tz. ya 1977.
Nadhani ifike mahali Watz. muachane na unafiki na uchumia Tumbo kwani kila mtu atatoa hesabu yake siku za mwisho,ni vizuri tukamshauri Rais zaidi na asikilize na kufanyia kazi kwa yale mazuri ktk ushauri kwa kuheshimu na kuilinda katiba ya nchi kama alivyo apa mwanzo kuwa "Atalinda,kuheshimu na kuisimamia Katiba ya nchi" sasa ni tofauti kabisa.
Nchi hii sisi wananchi ndiyo tunayo dhamana yake ya kuiweka salama au kwenye machafuko na endapo unafiki huu kama wako utandelea na kwa wengine pia huenda ndiyo mkawa wa kwanza kuingiza nchi kwenye matatizo badala ya kumueleza Rais ukweli na kubakia kushangilia tu ata akizungumza kibaya ninyi mnadanganya kwa vigegele,vifijo,nderemo na nyimbo naye kujiona anapendwa na kuwa yuko sawa na sahihi kumbe tunajimaliza.
VIJANA WANAFIKI NA WALE WOTE MNAODHANI NCHI HII IKIINGIA PABAYA MTAKUWA SALAMA NA FAMILIA ZENU MBADILIKE HARAKA KWANI TAIFA HILI NI LETU SOTE KWA UZURI NA UBAYA PIA.
Wakati wa kikwete sikuwahi kusikia kamba tunamsifia, au tunasubiri afe kwanza??

Mnisaidie, hivi upinzani tunampinga kiongozi au tunapinga chama??
 
WEWE NIMTU USIE JITAMBUWA KIPOFU USIO ONA MBELE MFITINI ULIOFITINISHWA JUWA HALIWEZI KUPITA KABLA UJAWEKWA WAZI UNAFIKI WAKO.........
Vizuri sasa dawa imekuingia sawia bin sawia ili ubadilike.
 
Mtu mpumbavu, hata akitwangwa kwenye kinu pamoja na nafaka, nafaka zitaiva lakini yeye upumbavu wake hautamtoka.

Usimjibu mtu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake usije ukafanana naye.

Umjibu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake asije akajiona ana maana.

Raisi anachaguliwa kwa kigezo cha uwezo wa kufikiri mkubwa kuliko jumla ya Watanzania wote?

Unajua nini maana na umuhimu wa katiba?

Kweli wewe ni PUMBAVU!

Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu yakile chadema wanataka kukifanya na madhara yatakayo tokea kwa viongoz wa chama,vijana pamoja na chama. Nibora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuwia jambo lakijinga chadema wanataka kufanya.

Nibora kila mtu ajuwe kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa nakushauri na mwisho kumpa neno lakusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matam ilo nawapa poleni.

Nilazima sote tujuwe kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Ras amesha sema hakuna maandamano na wewe uka andamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuwatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru.

Nilazima tujuwe kunavimelea vya uwasi ndani ya taifa na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa jambo litazaa taifa lenye uwasi. Mtu muwasi sio wakucheka nae wala lushikana mkono. Yale yanatokea sasa sio siasa safi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia. Baba wa uwasi ndani ya taifa hili tunamjuwa walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.

Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmejeuka kumuita dikteta. Nadhani chadema wanafikiri ili yaifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mim ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajuwa rais ni dkteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.

Shime Rais wangu Magufuli walizowea sana.
 
USIPOZIBA UFA TUTAJENGA UKUTA

Msisahau methali hiyo
 
Wakati wa kikwete sikuwahi kusikia kamba tunamsifia, au tunasubiri afe kwanza??

Mnisaidie, hivi upinzani tunampinga kiongozi au tunapinga chama??

Anyway nitakusaidia kukujibu japo hukuelewa nilichoandika na maana yake ni nini hasa.

Binafsi ninachopinga hapa ni Mfumo mzima wa Utawala ambao katiba hukiukwa na kutoheshimiwa.
 
Wewe mleta mada yaani una chuki mpaka unatamani watanzania fulani waue wenzao kwa faida ya nani hasa? Kwa nini tumekuwa na chuki kiasi hiki?
Mimi ningekuona una busara kama ungependekeza yawepo mazungumzo kati ya serikali na upinzani ili kutatua huu mgogoro wa kikatiba.
Ndugu zangu Watanzania tusiendekeze chuki kwa sababu tu ya milengo ya kisiasa. Halafu nashangaa sana awamu hii kumekuwa na misuguano mibaya sana , kama watu wenye busara hawataingilia kati tunaweza kufika kubaya . Narudia tena tuache chuki miongoni mwetu.
Umeongea ukimanisha kweli unaonyesha kutoka moyoni unauchungu wa taifa hili.....

Ni watanzania wachache sana wenye moyo huuu
Kuna kitu unamanusha hapa na cha msingi mnooo

Watu tulizoea kugawanyika kisiasa ila kijamii tuliishi pamoja na kushirikiana sasa hivi hali ni tofauti mkuuu.

Tatizo kubwa chadema na sisiemu wanataka kuonyeshana ubabe kabisaaa
Hapa watakaoathirika ni wanawake na watoto, pia kuja kutengemaaa ukitokea mtanziko huu itatuchukua karne.

Kuna tetesi ujerumani wanataka fadhura za ufadhiri wao na hapo ndipo tatizo lilipo
 
Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu yakile chadema wanataka kukifanya na madhara yatakayo tokea kwa viongoz wa chama,vijana pamoja na chama. Nibora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuwia jambo lakijinga chadema wanataka kufanya.

Nibora kila mtu ajuwe kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa nakushauri na mwisho kumpa neno lakusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matam ilo nawapa poleni.

Nilazima sote tujuwe kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Ras amesha sema hakuna maandamano na wewe uka andamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuwatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru.

Nilazima tujuwe kunavimelea vya uwasi ndani ya taifa na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa jambo litazaa taifa lenye uwasi. Mtu muwasi sio wakucheka nae wala lushikana mkono. Yale yanatokea sasa sio siasa safi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia. Baba wa uwasi ndani ya taifa hili tunamjuwa walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.

Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmejeuka kumuita dikteta. Nadhani chadema wanafikiri ili yaifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mim ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajuwa rais ni dkteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.

Shime Rais wangu Magufuli walizowea sana.

Hivi moyo wa kidikteita ulikuwa umejificha wapi? Siku hizi unaona watu wanashangilia ukandamizaji wa haki za msingi za binadamu. Kama mabavu ingekuwa dili basi wanawake warembo wangeolewa na wenye nguvu tu. Kutumia mabavu ni kasoro kubwa katika maisha ya taifa na ubinadamu. Taifa ni zadi ya rais.
 
Back
Top Bottom