Agizo la Rais halina mjadala wala marekebisho

Uoga ni umaskini. maskini wengi duniani ni watu waoga kwa sababu wenye ujasari hufanya na hujaribu wakiamini watafanikiwa na kweli mafanikio huonekana. Pia carl max alisema NO DEVELOPMENT WITHOUT CONFLICT.
 
Tumewachoka Ukawa sasa Ukuta wapigwe tu , mm nataka.siku hiyo jesi zima liwakongoli mpk wapate adabu
 
Udikteta mnaujua nyinyi chadema, sisi wananchi wala hatujawahi kuunusa wala kukuona, sisi tunamwitaji kwa maendeleo yetu. Nyinyi kwa kuwa hamna kazi ya kufanya nenda mkaandamane.
Ila tusilaumiane, mtawasimulia wajukuu zenu
Kwahiyo ukiwa Chadema cyo mwananchi,daa very poor..
 
Hizo risasi unazosema ghaddafi alikuwa nazo nyingi lakini hazikumsaidia. Akizitumia zitaongeza chuki ya wananchi kwa ccm na serikali yake. Na ICC itahusika.
haya endeleeni maana mnafikiri mnayo watu nyuma yenu. siku hiyo ndio mtajua jpm alichaguliwa kua rais wa nchi hii tofauti na huyo mtu wenu aliyekua anaamini anaweza kununua urais kwa hela.
 
kwani amri ya rais ndio sheria ?, Sasa kama hivyo sharia zimewekwa za nn ?
Rais kazi yake ya kwanza ni kulinda usalama wa taifa sasa kama Ukuta unaleta gasia lazima wapigwe kichapo cha mbwa mwizi
 
Brother mi sina nia ya kutisha watu! Ila nasikitika hayo maneno ulioandika sidhani km yanatosha kuzuia vyombo vya dola kutekeleza hayo niliyoainisha hapo juu,tusubiri ni swala la muda tu.....Inasikikitisha sana...
Kwani vyombo vya dora kazi yake kudeal na vyama vya upinzani?

Nchi ya vipofu..
 
Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu yakile chadema wanataka kukifanya na madhara yatakayo tokea kwa viongoz wa chama,vijana pamoja na chama. Nibora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuwia jambo lakijinga chadema wanataka kufanya.

Nibora kila mtu ajuwe kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa nakushauri na mwisho kumpa neno lakusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matam ilo nawapa poleni.

Nilazima sote tujuwe kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Rais amesha sema akuna maandamano na wewe uka andamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuwatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru. Watu wananukuu katiba vibaya nakukariri vibaya, ukienda kwenye madaraka na kinga ya rais unaweza kujuwa kile namanisha kwa vizuri zaidi. Tuache kusoma upande mmoja wa karatasi wa katiba na tusome pande zote mbili za Karatasi ili wananchi wapate kujuwa kile upinzani wanasema maana kile kinafanyika sasa nikuwahadaa wananchi na kuleta shida mbeleni. Ndio maana Rais wetu mpendwa akasema viongozi wa ukuta wakae mbele na wasiwahadae masikini kukaa mbele wakati wakijuwa sheria itawaumiza.

Nilazima tujuwe kunavimelea vya uasi ndani ya taifa hili na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa wala kinga jambo litazaa taifa lenye uasi mkubwa uko mbeleni. Uasi huzaa watoto wa asi mpaka vitukuu viasi mbegu kama hizi sio zakuziruhusu kt taifa letu Tz, Mtu muasi sio wakucheka nae wala kushikana mkono nae au hata kula nae, saa yeyote atakugeuka, nivema kufaham taifa hili linatutegemea sisi vijana. Yale yanatokea sasa sio siasa safi na wala hakuna kiongozi yeyote mwenye mapenzi mema na taifa lake atakubali mchwa huyu kula mazao yake hizi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia au mtu anamuita rais alie chaguliwa kwa mujibu wa sheria na katiba yetu eti dicteta na anapewa air time.

Baba wa uwasi ndani ya taifa hili tunamjuwa walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.

Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmejeuka kumuita dikteta. Nadhani chadema wanafikiri ili yaifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mim ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajuwa rais ni dkteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.

Shime Rais wangu Magufuli walizowea sana.
ukuta unawatoa jasho kwelikweli mnalo hili september 1 mwendo mchibuyu
 
Siku hiyo,nakesha kwenye tv yangu tuu nasubiri nione majeruhi...vifo na watoto kulilia baba zao walioenda kazini!
Mi siku hiyo ntakesha kwenye TV nikiangalia jinsi wake za makamanda watakavyokuwa wakakamavu huku wakiangalia waume wakupambana na dola huku wakimkejeli mwenzao Joyce.
 
Yeye ni binadamu tu kama sisi , kila mtu atakufa , Ni bora nikafa kifo chenye kumbukumbu kama soweto inavyo kumbukwa , kuliko nikawa na mtawala anaye tumia kila jambo amri , Tanzania ni nchi huru , na kama siyo huru basi tuutafute uhuru , mimi nitakuwa mstari wa mbele September 1 ,ili niwe wa kwanza kufa , kwa ajili ya kupinga Umungu mtu
Mawazo mnamkumbukaje?
 
Hizo risasi unazosema ghaddafi alikuwa nazo nyingi lakini hazikumsaidia. Akizitumia zitaongeza chuki ya wananchi kwa ccm na serikali yake. Na ICC itahusika.
Umenichekesha ulivyoitaja Libya...
Leo wa Libya wanajuta, wanalia na kusaga meno...
Libya is now a failed state, na itawachukua zaidi ya miaka 20 ku re-stabilize.. all the way from an economic power house of Africa into a nose dive turmoil state...
Yote yakiwa ninmatokeo ya puppets waliojivika makoti ya opposition, na jinsi mmarekani hana siri leo wala haoni aibu kuanika mpango wake uliomchukua takribani miaka 30 kuipindua serikali ya Muammar Ghaddafi kuwapitia vibaraka wake...
"Killing Mad Dog Ghaddafi" documentary in youtube inakuhusu..

Hivi kweli uko serious unatamani kuiona +255.tz inaangukia pua kama Libya?? Kwa lipi tulilolikosa mno kiasi tutake kufikia huko??

Nadhani unatafuta laana ya watanzania na vizazi vyao mpaka kiama..
ICC Imewasaidia vipi wahanga wa machafuko ya Libya?? Ni maswali unatakiwa kujiuliza kabla ya kushabikia instruments za ugandamizaji walizotunga wamagharibi kutumaliza nazo taratibu waafrica...
 
Kwanza Magufuli ni mnafiki sana anasema eti yeye chadema ni wake,cuf ni wake na vyama vinginevyo....plus magamba.
Cha kushangaza katika safi nzima ya uongozi hajateuwa hata mtu mmoja kutoka upinzani, sasa hayo maendeleo yatakujaje kama hakuna mawazo mbadala?huo ni ubinafsi mkubwa sana na ukandamizaji wa demokrasia. Yaani Magufuli anadhani upinzani ni u adui or something..kwa kweli mimi simuelewi..maana anataka kuyurudisha kwenye mfumo wa enzi za chama kimoja.
 
Mwishoni kuna neno, *walizowea* hii inaonesha una elimu ndogo sana, uwezo wako wa kufikiri ni mdogo
 
Nimeamua kuandika hii mada usiku wa manane baada yakutafakari sana juu yakile chadema wanataka kukifanya na madhara yatakayo tokea kwa viongoz wa chama,vijana pamoja na chama. Nibora kuandika haya ili kwa wale wote wenye mapenzi mema na taifa hili kukemea nakuzuwia jambo lakijinga chadema wanataka kufanya.

Nibora kila mtu ajuwe kile Mh Rais alisema hajaribiwi nikweli alimanisha kutoka moyoni sio kwa kukurupuka ila ni baada yakukaa na kamati za ulinzi na usalama wa taifa nakushauri na mwisho kumpa neno lakusema. Kwahiyo tusipoteze muda eti kudhani kuna muujiza rais atabadili maneno kutoka uchungu kuwa matam ilo nawapa poleni.

Nilazima sote tujuwe kauli ya Rais ni amri isiyotenguliwa na mtu awaye yeyote au kupingwa kabla haijatekelezwa. Hapo inamanisha nini? Yani kama rais ameshatoa amri nilazima kwanza itekelezwe na ndipo uijadili. Ina maana Rais amesha sema akuna maandamano na wewe uka andamana ukipigwa risasi ukafa hatutokujadili kwa nini umekufa bali tutakuhesabu kama mvunja sheria au muhalifu mwingine na kwakuwa amri ya rais ni halili kufuwatana na mamlaka yake basi alie uwa anakuwa huru. Watu wananukuu katiba vibaya nakukariri vibaya, ukienda kwenye madaraka na kinga ya rais unaweza kujuwa kile namanisha kwa vizuri zaidi. Tuache kusoma upande mmoja wa karatasi wa katiba na tusome pande zote mbili za Karatasi ili wananchi wapate kujuwa kile upinzani wanasema maana kile kinafanyika sasa nikuwahadaa wananchi na kuleta shida mbeleni. Ndio maana Rais wetu mpendwa akasema viongozi wa ukuta wakae mbele na wasiwahadae masikini kukaa mbele wakati wakijuwa sheria itawaumiza.

Nilazima tujuwe kunavimelea vya uasi ndani ya taifa hili na vimelea hivi vikiachwa vitajeuka kuwa sugu visivyo sikia dawa wala kinga jambo litazaa taifa lenye uasi mkubwa uko mbeleni. Uasi huzaa watoto wa asi mpaka vitukuu viasi mbegu kama hizi sio zakuziruhusu kt taifa letu Tz, Mtu muasi sio wakucheka nae wala kushikana mkono nae au hata kula nae, saa yeyote atakugeuka, nivema kufaham taifa hili linatutegemea sisi vijana. Yale yanatokea sasa sio siasa safi na wala hakuna kiongozi yeyote mwenye mapenzi mema na taifa lake atakubali mchwa huyu kula mazao yake hizi ni siasa za mataifa kama burundi, sudani kusini au kongo. Sisi sio taifa lakusikia watu wanambeza Rais nakuwasifia au mtu anamuita rais alie chaguliwa kwa mujibu wa sheria na katiba yetu eti dicteta na anapewa air time.

Baba wa uwasi ndani ya taifa hili tunamjuwa walimtukana Mh Kikwete hana maamuzi magumu yeye alicheka ila mwisho walilia wao. Mnyika alimuita Mh Kikwete dhaifu nadhani hajawahi sema nini kilimkuta ila siri yake.

Rais wa sasa haangalii makunyanzi wala hana chai na juice ikulu kwa ajili ya waasi yeye hapa kazi sasa mmejeuka kumuita dikteta. Nadhani chadema wanafikiri ili yaifa wao tu ndio wanajuwa sana siri za nchi. Kwangu mim ni tarehe 1.09.2016 ndio mtajuwa rais ni dkteta uchwara au vipi na ndio maana vijana mnashauriwa kwa upendo msijiusishe nao.
Kauli ya rais haina kurudi nyuma itatekelezwa na mtasaidia watu kupanda vyeo kiulaini.

Shime Rais wangu Magufuli walizowea sana.
Walizowea maana yake nini?
 
Kipaumbele cha kwanza ni Elimu, Cha pili ni Elimu na Cha tatu....
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] chadema huwa wananifurahisha sana na sinema zao! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tuliona la Mita 200 limeishia wapi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mimi Tarehe moja Nalipia king'amuzi changu safii ni Mwendo wa Movie tuu watu wanavyo lete FyokoFyoko wakifyokolewa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nasikitika sana pale ninapoona lugha ya taifa haitendewi haki kimaandishi;
Juwa=Jua
Mnajeuka=Mnageuka
Uwasi=Uasi
Hivi Kuna watu wanajipanga kuandamnana kweli. Wanadai nini Hasa kikubwa mno hadi wanataka kuhatarisha maisha Yao. Mmmh. Sisi wengine tutawatembelea mahospitalini na mahabusu
 
Back
Top Bottom