Agiza simu yoyote original /tablet unayoitaka kutoka Ebay/ U.S.A!


nimecheck hizo zote mbili link, na nimeona zipo vizuri tu, maximum makadirio yangu ndio hayo 350usd kabla ya 15% , ukiwa tayari tutaangalia the lowest amount for the best one, tutachagua wote na kushauriana kwa pamoja, kila kitu open. sasa hivi hata ukiona mahali new one wanauza 200usd haitasaidia. au chukua bei ya simu then jumlisha na 40usd (economy shipping) au 60usd (express shipping) kupata makadirio ya simu yoyote na shipping yake hadi Dar es salaam.

i am not an expert kwenye ku-upgrade hizo android, uki-google unaweza pata knowledge, lakini hata mbona usipo-upgrade mbona unapata tu kila kitu kwa hiyo hiyo version ya android.
 
Mkuu kwa sisi tunaokaa mikoani utaweza pia kutusaidia!

kama unakubaliana na vigezo vyetu, bidhaa yako ikija tunakutumia kwa njia ya basi, au ukitaka mtu aje kukagua ikishakuja kabla ya kukutumia kwa basi ni wewe tu, au kama unaye ndugu/rafiki Dar es salaama unayemuamini use him/her kuwasiliana na sisi. Karibu
 
Je naweza nikanunua kitu kingine kama laptop au kamera kutoka USA na wewe kuniletea kwa huo huo utaratibu wako wa kuleta sim au tablet.
 
Inabidi ujue kuagiza electronics kupitia mitandao mfano Amazon hairuhusiwi. Na kwa upande mwingine siyo ujinga kutumia third party ni biashara kama biashara nyingine kwa wajasiriamali waTZ wenzetu wenye physical addresses US etc then wanatuma kwa njia zao vitu kuja TZ.
 
mkuu nahtaj samsung galaxy tab 2,10.1 inches..

mathematics

UNLOCKED samsung galaxy tab 2, model p1500 , 10.1 " , 16gb
used in good condition-400usd including shipping by EMS UP to TZ
new in box 500usd include shipping by EMS up to TZ


Not price inaweza badilika wakati wowote, ikawa chini ya hapo au zaidi ya hapo, inategemea na muda gani wewe utaamua kufanya maamuzi. also prices doesn't include our 15% fees.
 
Je naweza nikanunua kitu kingine kama laptop au kamera kutoka USA na wewe kuniletea kwa huo huo utaratibu wako wa kuleta sim au tablet.

mkuu tunapendelea agiza vitu vya computers na simu sababu ndio vitu tunavyovifahamu vizuri ili kuwa na uhakika na kile tunachoagiza, laptop inawezekana, ila kamera hatuna uzoefu nazo sana. Karibu
 
Mkuu Lumia 820 brand new bei gani . Pia Samsung Galaxy note 2 used kiasi gani?


galaxy note 2 lte sgh-1717, 16GB, used in good condition 350usd , new in box 450usd including shipping had TZ

nokia lumia 820 , 8GB, used in good condition 350usd , new in box 450usd including shipping hadi TZ

Not price inaweza badilika wakati wowote, ikawa chini ya hapo au zaidi ya hapo, inategemea na muda gani wewe utaamua kufanya maamuzi. also prices doesn't include our 15% fees.
 
Dah ugonjwa wangu hiyo simu !!!! Battery backup ya 3300amh, siku nikiipata sijui kitatokea nini ! Anyway ngoja akupe bei nijue!

Nimetokea kuipenda sana hii cmu
Shida hapa tz hazipatikan...
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1378024360907.jpg
    36.4 KB · Views: 116
Motorola droid RAZR maxx mpya&used bei gani



used in good condition 350usd including Express Shipping up to TZ

new in box 600usd including Express Shipping up to TZ

Note; price inaweza badilika wakati wowote, ikawa chini ya hapo au zaidi ya hapo, inategemea na muda gani wewe utaamua kufanya maamuzi, kila kitu kitakuwa open. also prices doesn't include our 15% fees.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…