Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
Kitila Mkumbo
Naweza kukubaliana na wewe kwa kiasi fulani. Lakini pia naomba niruhusu kutofautiana na wewe. Ukumbuke kuwa Lowassa ni bidhaa ambayo haiuziki hana heba yoyote, sidhani kama kuna mtu mwenye busara zake (bila kuwa na force nyingine yoyote behind kama mshiko) anaweza kumchagua Lowassa. Katika wakati wote akiwa madarakani anatumia ofisi kujineemesha kuliko kushughulikia maslahi ya umma, siku yoyote akiwa madarakani atafanya hivyo. Lakini huwa anahitaji kitu kingine mbali na heba na ushawishi, kufanikiwa kuingia kwenye ofisi alizoingia. Anajua kabisa kuwa hana heba ya kuwa Rais, lakini alijua kabisa akitumia heba ya JK anaweza kwenda popote na kufika sehemu yoyote anayotaka, kitu ambacho amefanikiwa kiasi. Lakini bahati mbaya baada ya kuingia kwenye u-PM alidhani ndio amefika point of No-return kuelekea kwenye urais.
Mimi ukiniambia nichague yupi kati ya JK na EL, for sure i will go for JK. EL anaona kabisa kuwa Watz ni mbumbumbu na hatuwezi kumfaya kitu, he can take and take whatever he wants and no one would dare to deal with him.
Kama JK angetumia busara toka mwanzo, yaani angemteua waziri Mkuu mwenye hadhi na ofisi ya U-PM, ujinga huu tunaolia nao sasa usingekuwepo. So by any standards JK better than EL!!!