Against Twaweza opinion poll - No validation (Pingamizi la utafiti wa Twaweza)

Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
2,000
Utafiti unapingwa na utafiti, period
Nani aliyekudanganya haya unayosema hapa. Utafiti unaitwa utafiti kama ni valid. Utaitaje utafiti kama haujafuata kanuni za utafiti. Hawajafanya validation hivyo matokeo yao ni null an void. Upo hapo
 
Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
2,000
Ukijumlisha unapata 102%. Hata kudanyia kwa hesabu za kujumlisha kumewashinda.

Siyo suala la percentage tu. Kwa hali ilivyo opinion poll yao ilitakiwa iendane na validation kabla ya kutangaza matokeo yao. Hawakufanya hivyo ndiyo maana wengine wanasema ni mambo ya chumbani wanaita utafiti. Ndiyo maana matokeo yao na utafiti wote ni invalid.
 
Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
2,000
Nanyie fanyeni utafiti wenu jamani...mtabaki kuwa watu wa kupinga tu....hata hapa inaonesha hivyo...

no data no right to speach...sasa fanyeni utafiti halafu mtoe povu....

otherwise Magufuli is our president.
Yaani ukae chumbani, uzipike halafu uite data. Hizo zinakuwa garbage in garbage out. Upo hapo.
 
Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
2,000
Kudai validation ni kutoka barabarani. Nadhani the concern was supposed to be imekuwaje wakafikia hapo? Kwa manufaa ya nani? Kwa nini wanadanganya umma?
Kudai validation ni muhimu sana. Kama unauhakika na kitu ulichofanya huwezi kukwepa validation. Kwa kuwa wanajua walichofanya chumbani ndiyo maana hawakudiriki kutoka barabarani kufanya validation. Ingewaumbua vibaya sana.
 
hewizet

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
2,240
2,000
kampeni bado hazikua zmeanza maana zilianza tar 22 aug wao walifanya utafiti mwanzoni mwa mwezi wa 8 leo majibu wanatoa eti ccmizi anaongoza duh inashangaza
 
DOGofGOD

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
1,344
1,195
Utafiti wa Twaweza siyo credible kwa sababu hawajafanya validation ya findings zao.

Ukweli ni kuwa wakitakiwa wasituke kabla hata ya kutoa matokeo kwa sababu reality kwenye majukwaa haiendani na walichotangaza. Hapa ndipo umuhimu wa validation unapotakiwa.

Hawakufanya hicho, kwa hiyo matokeo yao na invalid. Tofauti na kampeni za CCM, watu wanasombwa na malori wakati wale wa UKAWA wanatumia resources zao.

Mtu hawezi ku-volunteer na kutoa resources kama hakuungi mkono.

Mtoa Mada Umekurupuka.Sio Kila Unaemuona Kwenye Mkutano Wa Kampeni Ni Mfuasi.Wengine Wanakuja Kumshangaa Tu Mgombea.Wengine Ni Wezi Wa Mifukoni.Wengine Ni Jobless People Wamepata Mahali Pa Kujikeep Busy.Wengine Wamekuja Kutafuta Mademu Na Mabwana Wapya.Kila Mtu Na Sababu Yake.Kwahiyo Husikariri Kua Wote Ni Wapiga Kura Wa Mgombea Husika.
 
Nadhani wewe ndiyo umekurupuka. Kwa nini hao wezi wasisubiri kusombwa kama CCM wanavyosombwa? Watu wanajigharimia wenyewe nauli za kwenda kwenye mikutano wewe unawaita wezi wa mifukono. Sasa kama wanaoenda kwenye mikutano ya UKAWA ni wezi, sasa nani atamwimbia mwenzake wakati wote ni jobless na hawana hela. Kila mtu hana hela sasa watamwibia nani? Usipoteshe watu hapa. Wanaoenda kwenye mikutano ya UKAWA ni genuine voters. Kwa hiyo jobless wanaenda mikutano ya UKAWA tu ya CCM hawaendi. Unachotaka kusema CCM inategemea kura za wenye job tu, hawataki kura za wasio na job? Kwani hawa wanaonyimwa job na CCM siyo watanzania. Kumbuka hawa unaowaita jobless wamenyimwa job na CCM ndiyo maana wanataka kuitoa CCM madarakani, upo hapo?
 
Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
2,000
kampeni bado hazikua zmeanza maana zilianza tar 22 aug wao walifanya utafiti mwanzoni mwa mwezi wa 8 leo majibu wanatoa eti ccmizi anaongoza duh inashangaza
Halafu hii coincidence, wamesubiri CCM wajifungie, wakatoa, halafu nao Twaweza wakatoa matokeo baada ya kujifungia vyumbani.
 
Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
2,000
MAkamba alifeli FORM FOUR Hajui hata Variation ni nini!
Waliokuwa wanajitia kupinga uzi huu waoanishe kinachosemwa na UKAWA katika mkutano wao na waandishi wa habari muda huu na nilichosema hapa kwenye uzi. Utafiti unataratibu zake na miiko yake. Hawa Twaweza wanafikiri Tanzania haiana watu wanaojua kufanya utafiti, halafu wanakuja kudanganya watu- hatudanganyiki ng'o!
 
Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,944
2,000
Utafiti wa Twaweza siyo credible kwa sababu hawajafanya validation ya findings zao.

Ukweli ni kuwa wakitakiwa wasituke kabla hata ya kutoa matokeo kwa sababu reality kwenye majukwaa haiendani na walichotangaza. Hapa ndipo umuhimu wa validation unapotakiwa.

Hawakufanya hicho, kwa hiyo matokeo yao na invalid. Tofauti na kampeni za CCM, watu wanasombwa na malori wakati wale wa UKAWA wanatumia resources zao.

Mtu hawezi ku-volunteer na kutoa resources kama hakuungi mkono.

Na wao Twaweza waliwapa Simu na Chaji yake watafitiwa hapo katika hali hiyo unategemea majibu gani?

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom