zxcvbnm
Member
- Sep 20, 2018
- 68
- 101
Ubelgiji amefata specialist ambae ana bobea na ugonjwa aliokuwa nao na sio kweli kuwa Oman yenyewe haina machine na ma fundi unaongelea.Umetukana sana, ni dhihiri hukuwa na hoja, huna majibu.
Unaongelea Tanzania toka uhuru, marais wa Afrika na hospitali ya Muhimbili.
Muhimbili haipo kwenye mjadala huu!
Narudia kwa lugha nyepesi, nisome taratibu:
Mfalme wa ka nchi kenye madimbwi na mito ya mafuta, watu wake idadi yao hawajai Dar es Salaam, katawala miaka 49, anaugua siku za mwisho hana mashine za mionzi ya kuchoma saratani, hakusomesha mganga wala fundi mitambo wa vifaa tiba vya mionzo, anaenda Ubelgiji ambao hawana kikombe cha mafuta!
Ni kituko kumuimbia sifa za alileta maendeleo!
Hamna nchi inayojitosheleza kwenye kujua kila kitu kwanzia mwanzo mpaka mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app