Mgogoro wa Oman na Yemen ni upi?.Mfalme Qaboos hapendi kabisa ugomvi na majirani zake.Kuna watu walitaka wamgombanishe na Umoja wa Falme za kiarabu mwaka jana eti adai eneo lote kati ya Fujaira na ras Khayma lakini akawapuuza mafisadi hao.
View attachment 1310542
Kwa kweli si wachache isipokuwa serikali ya Oman ina mkakati maalum wa kulinda utamaduni na lugha yao.Wanajifanya kama kwamba Kiswahili si lugha ya pili ya nchi hiyo na wanatukuza sana kizungu.
Hii sera ipo hata nchi za Falme za kiarabu na ni sera dhaifu katika umakini wa nchi. Watu wake wanabaki wadhaifu sana na kuwaachia kazi za kikakamavu kama uchimbaji mitaro wageni.Na ni tofauti na nchi za kiarabu za kaskazini ya Afrika ambao wanajituma sana na kazi takribani zote wanafanya wenyewe.