Afya ya Mfalme wa Oman yaendelea kuimarika

miaka 60 tu nyuma Tanganyika/Tanzania Ilikua bora kuliko Muscat, leo hatuingii hata Mara 10.


Wese hilo mkuu pamoja na uingozi mzuri, Nigeria nayo inalo wese lakini ufisadi umakithiri,
 
Hao Washihiri ndio wengi walibaki hukuhuku hawakurudi Yemen ndio maana kiswahili hakiongewi yemen

Wachache walijaribu kurudi Yemeni kuchukua fursa lakini wakakuta migongano mingi na kuamua kurudi nyumbani Tanzania. Kariakoo na Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam ndiyo ilikuwa kitovu cha makao makuu ya Kibiashara kwa waTanzania-Washihiri huku wakiendesha biashara mbalimbali.


Source: Luke Joe

WaTanzania -Washihiri wengi wapo nchini Tanzania wakiendelea na maisha huku wakichangia maendeleo ya Watu na Vitu.

Source: TYPF Tanzania Yemeni Professionals Foundation
 
Huyu alitaka kuinvest Bagamoyo kwenye lile dili la bandari ya Bagamoyo.
Akifa bila mambo kuwekwa sawa huenda mradi ukapata pigo kubwa
 
December 31, 2019
Zanzibar, Tanzania

Dua kumuombea Kiongozi wa Oman

Watu katika kijiwe maarufu cha Jaw's Corner cha Mji Mkongwe wa Zanzibar wamejitokeza kumuombea dua kiongozi wa Oman, Sultan Qaboos bin Said Al-Said, ambaye inaarifiwa kuwa ni mgonjwa

Source: Weyani TV

Sultan Qaboos amefanya mengi kwa waTanzania ikiwemo masuala ya kijamii, utalii, elimu n.k

22 Sep 2017
Mfalme wa Oman, SULTAN QABOUS alijitolea kujenga msikiti mkubwa visiwani Zanzibar , na kufunguliwa rasmi na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dkt Ali Mohammed Shein.


Source: KTV TZ online

September 24, 2017
Zanzibar, Tanzania

OmanPride: His Majesty's mosque in Zanzibar opens - The grand mosque Jamia Masjid Zenjibari Zanzibar
His Majesty's first grand mosque in Zanzibar which can accommodate up to 1,600 people, has been officially opened, the government announced.

Under the patronage of His Excellency Dr Ali Mohammad Shein, President of Zanzibar, the mosque was opened on Friday.

Built under the orders of His Majesty Sultan Qaboos bin Said, the mosque is a reflection of the deep historical ties between the Sultanate and Zanzibar.

The President of Zanzibar, in his speech, deepened the historical relations between the two friendly peoples and cherished the contribution to the establishment of this Islamic and cultural building.

"I thank His Majesty the Sultan for the construction of this great Islamic edifice which I was honoured to inaugurate, which is a beautiful and spacious building here in Zanzibar and will benefit the Zanzibari people through its facilities and the techniques that the mosque contains," Shein said.

The mosque includes multiple facilities such as a main prayer hall, which can accommodate more than 1300 people. An external prayer room accommodates more than 250 worshipers and a prayer room for women has a capacity for 300.

The mosque is also equipped with classrooms, a language and computer lab, and a multi-purpose hall and science library.

The grand mosque is distinguished by its unique architecture, which combines originality and modernity. In addition, the architecture reflects Omani, African and Islamic inscriptions in its designs.
Source: OmanPride: His Majesty's mosque in Zanzibar opens
Dah, kwa hiyo kujenga msikiti ndio maendeleo makuubwa hadi anapaishwa hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Oman ni sehemu ya Tanzania?
Sikiliza historia ya familia ya Bahrwani Yahya bin Khalid iliyo na mizizi kijijini Nzega Ndogo.
Kuna Omani ya Nzega Tabora pia hii ni kuonesha Tanzania ni kubwa inafika Basra,Iraq ambapo kiSwahili kinaongewa kwa siri ktk majumba ya wenyeji na kwa uwazi kama lugha ya mama Muscat Oman bila kusahau Shirazi Iran
 
Ni kabila gani hilo???, alichosema mwenzako ndiyo sahihi, Waarabu wengi waliopo zanzibar asili yao ni Oman, pia waarabu waliopo Shinyanga, Mwanza, Tabora, Kigoma hususan Ujiji wanayo asili ya Oman, walikulia Tanzania na baada ya oman kugundua utajiri wa Mafuta wengi wao Walirudi huko oman katika Miaka ya 1970 hadi 80s na 90s, hivyo walirudi huko wakiwa wanajua kiswahili tu ila wale baba zao ndiyo waliokuwa wanajua kiswahili na kiarabu. Wapo rafiki zangu (waarabu) ambao wapo huko, wanafika karibu 10 na zaidi, kumbuka walipo hamia huko walienda familia zote, fanya familia moja walikuwa 10- 15, watoto wote walikuwa wanaongea kiswahili tu, ndiyo maana Oman kiswahili kimetamalaki.

Waziri wao wa nishati ni mswahili pure, si alikuja hapa Tz.??!!.
Nilikwenda nchi fulani kwamatibabu,
.pale hospitali nilikutana na familia moja yenye asili ya Kiarabu,Hawa Ni waTanzania wenye ukwasi wa kutosha.
Tulifahamiana na tukawa tunazungumza Kiswahili!Madaktari wa ile hospitali walishangaa Sana kuona watu wa Mataifa na rangi tofauti wanaongea lugha moja.
Niliwaeleza kuwa hawa Ni Waarabu walowezi kwa hiyo Ni waTanzania.
Jamaa walinishangaa,wakaniambia Hawa SI waTanzania Ni Omani,Mimi niliwabishia ...Daktari yule alinipeleka ofisini kwake na akawasha Kompyuta yake ,kunionesha Uraia wa Watanzania wale kuwa ni Oman kwa mujibu wa Passport zao!
Maendeleo hayana Kabila wa rangi!
 
Sikiliza historia ya familia ya Bahrwani iliyo na mizizi kijijini Nzega
Kuna Omani ya Nzega Tabora pia hii ni kuonesha Tanzania ni kubwa inafika Basra,Iraq ambapo kiSwahili kinaongewa kwa siri ktk majumba ya wenyeji na Muscat Oman bila kusahau Shirazi Iran
Huko Shirazi !ran ndio kiswahili kinaongewa kuliko kifarsi
 
Yupo kwenye terminal cancer ya Colon. Soon ataaga dunia. Ila nampenda sana huyu Sultan. Alifinance ujenzi wa makanisa ya catholics na protestants .Ni Sultan aliyeibadili Oman na kuwa nchi tamu ilivyo leo. Bahati mbaya hana mtoto. Sasa sijui alimchagua nani arithi mikoba yake,maskini.
Ni ujenzi wa makanisa tu, au lipo la ziada linalokuvuta kumpenda!
 
Huna akili vizuri wewe mjomba.

Tanzania has been independent for almost 60yrs now and there isnt even 50% comparison for what Oman has accomplished in the same period of time yet you are here scrummbling stupid words to the King that has done alot.

Ma rais wako WOTE nasema tena WOTE wameenda nje kutibiwa kwa hio hoja yako ya kutokuwa na doctor ni ya kijinga sana.

PS: Oman ina hospital kubwa in such Muhimbili haingi mara mbili yake na ina ma doctor more professional than you can imagine.

*Rudi na point za maana kama unajielewa*

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu what do you want to justify? Kwamba akuenda nje kutibiwa? kwani Tz yetu ndo yard stick yakulinganishia nchi zingine kama zomeendelea au la? Oman Tz Yemen Kenya nk zote ni LDCs .......kwahiyo sioni jipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom