Afya ya Mfalme wa Oman yaendelea kuimarika

Afya ya Mfalme wa Oman yaendelea kuimarika

Vitamu vya kweli havipo duniani.Ukipenda kuvifaidi basi jipinde na wacha kula vilivyokatazwa hapa.

Bila shaka wewe ni kiranga,🤣 unapenda sana "V"🎗
 
Ni kabila gani hilo???, alichosema mwenzako ndiyo sahihi, Waarabu wengi waliopo zanzibar asili yao ni Oman, pia waarabu waliopo Shinyanga, Mwanza, Tabora, Kigoma hususan Ujiji wanayo asili ya Oman, walikulia Tanzania na baada ya oman kugundua utajiri wa Mafuta wengi wao Walirudi huko oman katika Miaka ya 1970 hadi 80s na 90s, hivyo walirudi huko wakiwa wanajua kiswahili tu ila wale baba zao ndiyo waliokuwa wanajua kiswahili na kiarabu. Wapo rafiki zangu (waarabu) ambao wapo huko, wanafika karibu 10 na zaidi, kumbuka walipo hamia huko walienda familia zote, fanya familia moja walikuwa 10- 15, watoto wote walikuwa wanaongea kiswahili tu, ndiyo maana Oman kiswahili kimetamalaki.

Waziri wao wa nishati ni mswahili pure, si alikuja hapa Tz.??!!.
Sio sahihi Waomani na Wayemen wamekuwa wakifanya biashara na Pwani ya Afrika ya mashariki kwa takriban miaka alfu na ushee
 
Na kuna wabunge wengi tu kwenye Bunge la Oman wenye asili ya Tz
Wapo niliosoma nao na wana vyeo vikubwa tu huko

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Sio sahihi Waomani na Wayemen wamekuwa wakifanya biashara na Pwani ya Afrika ya mashariki kwa takriban miaka alfu na ushee

Mbona Yemen hakuna kiswahili kama ikivyokuwa kwa Oman??!!,

Oman Lugha rasmi ni Kiarabu, Kiingereza, lugha za mitaani na nyumbani ni kiarabu, kiswahili, na kiurdu kwa Wale waliotokea Pakistani.

Wengi wanaongea kiswahili huko ni ama wametokea Zanzibar na Tanzania bara, Mombasa na lamu pia wanayo mafungamano na maeneo hayo, utakuta huku bado wapo ndugu zao.

Mfano hao rafiki zangu bado kule ujiji wapo ndugu zao na marakadhaa huja kuwatembelea, nazungumza matukio ya miaka hii 2 hadi sasa.

Yemen hakuna kiswahili kama ilivyokuwa kwa Oman. Hivyo sio suala la biashara unayoizungumza ndiyo imechangia Kuwepo kwa kiswahili huko.
 
Si asilimia kubwa ni kweli kuna kabila Oman linaongea Kiswahili na wengi chimbuko lao ni Unguja na Pemba.

Hata Houston, Texas kuna ka kabila kanaongea Kiswahili, sasa sijui Tanzania na Marekani wana "udugu wa damu"?

Anyhow, it is ridiculous to praise his rule as a developmental success when he does not have a hospital or a doctor to treat him in his twilight days, with 40 years in reigns of power!

step aside, don't let the door hit you on your way out, and don't tell us who should be next, you can't think straight right now, you are dog sick.
 
Hata Houston Texas kuna ka kabila kanaongea Kiswahili, sasa sijui Tanzania na Marekani wana "udugu wa damu," sijui

Anyhow, it is ridiculous to praise his rule as a developmental success when he does not have a hospital or a doctor to treat him in his twilight days, with 40 years in reigns of power!

step aside, don't let the door hit you on your way out, and don't tell us who should be next, you can't think straight right now, you are dog sick.
Huna akili vizuri wewe mjomba.

Tanzania has been independent for almost 60yrs now and there isnt even 50% comparison for what Oman has accomplished in the same period of time yet you are here scrummbling stupid words to the King that has done alot.

Ma rais wako WOTE nasema tena WOTE wameenda nje kutibiwa kwa hio hoja yako ya kutokuwa na doctor ni ya kijinga sana.

PS: Oman ina hospital kubwa in such Muhimbili haingi mara mbili yake na ina ma doctor more professional than you can imagine.

*Rudi na point za maana kama unajielewa*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
December 31, 2019
Zanzibar, Tanzania

Dua kumuombea Kiongozi wa Oman

Watu katika kijiwe maarufu cha Jaw's Corner cha Mji Mkongwe wa Zanzibar wamejitokeza kumuombea dua kiongozi wa Oman, Sultan Qaboos bin Said Al-Said, ambaye inaarifiwa kuwa ni mgonjwa

Source: Weyani TV

Sultan Qaboos amefanya mengi kwa waTanzania ikiwemo masuala ya kijamii, utalii, elimu n.k

22 Sep 2017
Mfalme wa Oman, SULTAN QABOUS alijitolea kujenga msikiti mkubwa visiwani Zanzibar , na kufunguliwa rasmi na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dkt Ali Mohammed Shein.

Source: KTV TZ online

September 24, 2017
Zanzibar, Tanzania

OmanPride: His Majesty's mosque in Zanzibar opens - The grand mosque Jamia Masjid Zenjibari Zanzibar
His Majesty's first grand mosque in Zanzibar which can accommodate up to 1,600 people, has been officially opened, the government announced.

Under the patronage of His Excellency Dr Ali Mohammad Shein, President of Zanzibar, the mosque was opened on Friday.

Built under the orders of His Majesty Sultan Qaboos bin Said, the mosque is a reflection of the deep historical ties between the Sultanate and Zanzibar.

The President of Zanzibar, in his speech, deepened the historical relations between the two friendly peoples and cherished the contribution to the establishment of this Islamic and cultural building.

"I thank His Majesty the Sultan for the construction of this great Islamic edifice which I was honoured to inaugurate, which is a beautiful and spacious building here in Zanzibar and will benefit the Zanzibari people through its facilities and the techniques that the mosque contains," Shein said.

The mosque includes multiple facilities such as a main prayer hall, which can accommodate more than 1300 people. An external prayer room accommodates more than 250 worshipers and a prayer room for women has a capacity for 300.

The mosque is also equipped with classrooms, a language and computer lab, and a multi-purpose hall and science library.

The grand mosque is distinguished by its unique architecture, which combines originality and modernity. In addition, the architecture reflects Omani, African and Islamic inscriptions in its designs.
Source: OmanPride: His Majesty's mosque in Zanzibar opens
 
Alishawahi kuishi Zanzibar akiwa mtoto mdogo, aliondoka akiwa na miaka 11...hivi....

Wa Oman wanampenda kuliko coz kabadiri Maisha yao..... Alimuua Baba ake baada ya kumpindua japo kwa jinsi alivyobadiri Maisha ya Raia na Nchi kwa ujumla Hakuna anayetaka kukumbuka habari za Baba ake!

Bila Qaboos kuchukua Madaraka May be Oman ingekuwa kama Somali, kwa sababu nao walikua Wanaongozwa na kuzikubari Koo zao kuliko Baba ake....

Na Koo zilizokua na Nguvu ni kutoka mji mmoja wa pili kwa ukubwa unaitwa Salala...

Siku ya kusherehekea Birthday ya Qaboos, shamrashamra zinaanza mwezi mmoja kabla..... Watu watabadirisha Rangi za Magari wataweka sticker zenye Maneno QABOOS IS MY KING, SULTAN IS OUR HERO!

miaka 60 tu nyuma Tanganyika/Tanzania Ilikua bora kuliko Muscat, leo hatuingii hata Mara 10.

Akifa leo Sultan..... Wa Oman watalia Sana.
 
Jana mke wala hana watoto

Jr[emoji769]
Ni kweli, na anavyopendwa na wnanchi wake hakika inatokana na kuyatenda matakwa ya waoman hasa uchumi raia.
Wana hofu akiwatangulia mbele za haki mrithi wake anaweza akaanzisha "hapa kazi" ikawa baraa
 
WaOmani toka mkoa wa Kagera pia waonesha udugu wao
1 Dec 2017
Mufti Mkuu kutoka Omani akifanya uzinduzi wa msikiti mkubwa mkoani Kagera, Tanzania
 
Back
Top Bottom