Afya ya Mfalme wa Oman yaendelea kuimarika

Afya ya Mfalme wa Oman yaendelea kuimarika

Sikiliza historia ya familia ya Bahrwani Yahya bin Khalid iliyo na mizizi kijijini Nzega Ndogo.
Kuna Omani ya Nzega Tabora pia hii ni kuonesha Tanzania ni kubwa inafika Basra,Iraq ambapo kiSwahili kinaongewa kwa siri ktk majumba ya wenyeji na Muscat Oman bila kusahau Shirazi Iran

Hii video inanikumbusha Nzega ndogo
 
Yupo kwenye terminal cancer ya Colon. Soon ataaga dunia. Ila nampenda sana huyu Sultan. Alifinance ujenzi wa makanisa ya catholics na protestants .Ni Sultan aliyeibadili Oman na kuwa nchi tamu ilivyo leo. Bahati mbaya hana mtoto. Sasa sijui alimchagua nani arithi mikoba yake,maskini.
Maalim Seif. Ndio jawabu ya suala lako!
 
Huna akili vizuri wewe mjomba.

Tanzania has been independent for almost 60yrs now and there isnt even 50% comparison for what Oman has accomplished in the same period of time yet you are here scrummbling stupid words to the King that has done alot.

Ma rais wako WOTE nasema tena WOTE wameenda nje kutibiwa kwa hio hoja yako ya kutokuwa na doctor ni ya kijinga sana.

PS: Oman ina hospital kubwa in such Muhimbili haingi mara mbili yake na ina ma doctor more professional than you can imagine.

*Rudi na point za maana kama unajielewa*

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetukana sana, ni dhihiri hukuwa na hoja, huna majibu.

Unaongelea Tanzania toka uhuru, marais wa Afrika na hospitali ya Muhimbili.

Muhimbili haipo kwenye mjadala huu!

Narudia kwa lugha nyepesi, nisome taratibu:

Mfalme wa ka nchi kenye madimbwi na mito ya mafuta, watu wake idadi yao hawajai Dar es Salaam, katawala miaka 49, anaugua siku za mwisho hana mashine za mionzi ya kuchoma saratani, hakusomesha mganga wala fundi mitambo wa vifaa tiba vya mionzo, anaenda Ubelgiji ambao hawana kikombe cha mafuta!

Ni kituko kumuimbia sifa za alileta maendeleo!
 
Nimeishi na Waoman hawajui Kiswahili lakini walikubali kuwa kuna wanaoongea Kiswahili ila si wengi

Achana na haya matapeli, hawa ndio wanaoambiwa kuwa kiswahili ni lugha ya kumi kwa kuongewa na watu wengi duniani kisha wanaamini.
 
Ni kweli, na anavyopendwa na wnanchi wake hakika inatokana na kuyatenda matakwa ya waoman hasa uchumi raia.
Wana hofu akiwatangulia mbele za haki mrithi wake anaweza akaanzisha "hapa kazi" ikawa baraa

Mkuu hii lugha kuwa kiongozi anapendwa sana na wananchi wake huwa sielewi. Fuatilia vizuri nchi zote unazosikia kiongozi wao anapendwa sana na wananchi, utakuta kuna uminywaji mkubwa wa habari, na utakuta watu hawana ruhusa ya kuwa na mawazo mbadala, na wote wenye mawazo mbadala wanakutana na wakati mgumu. Na unakuta ndani ya nchi hiyo, mawazo ya huyo kiongozi ndio sheria na lazima kila mtu ayatii na kuyaishi.

Mfano wa hao viongozi ambao husemwa wanapendwa sana na wananchi wao angalia tawala zao, mfano Nyerere, Moi, Putin, Gaddaf nk. Na sasa hapa Tanzania hilo linalazimishwa ionekane Magufuli anakubalika sana, lakini angalia kinachoendelea kwenye chaguzi zetu, angalia vyombo vya habari, angalia wote walio na mitazamo tofauti na rais ni nini kinaendelea dhidi yao. Fuatilia tu hayo ya Oman utajua ninachokisema.
 
Alishawahi kuishi Zanzibar akiwa mtoto mdogo, aliondoka akiwa na miaka 11...hivi..
Hii taarifa ni mpya kwetu.Jee una uhakika.Kama ni hivyo Kiswahili anakijuwa kama maji.Na sijui kwanini hakutamani kurudi tena kutembelea maeneo aliyocheza Zanzibar..
Miaka 60 tu nyuma Tanganyika/Tanzania Ilikua bora kuliko Muscat, leo hatuingii hata Mara 10.
Nahisi ni nyingi kuliko hizo 10 .Unajuwa watoto wa Oman wanaona kinyaa sana kuona mende ndani ya nyumba na wanapokuja Tanzania wanaweza wakavunjika mguu kuwakimbia. Kumbe Tanzania ni mdudu wa kawaida tu mpaka chumba cha kulala kwa watu wengi.
 
WaOmani toka mkoa wa Kagera pia waonesha udugu wao
1 Dec 2017
Mufti Mkuu kutoka Omani akifanya uzinduzi wa msikiti mkubwa mkoani Kagera, Tanzania

Huyu mufti mkuu yeye ni mzaliwa wa Zanzibar na elimu yake iliyompatia umufti imeipatia huko huko Zanzibar maeneo ya Mfenesini.Kiswahili anakifahamu vizuri lakini hapendi kukizungumza hadharani.
 
Sio kabila dada!.Ni watu wa makabila yote ya Oman kuna wazungumzaji wa Kiswahili tena safi kuliko cha kwetu.Hata ukifika ndani majabalini na kwenye mitende mtanzania hawi mgeni.Akizungumza kiswahili tu atapata wenyeji chungu nzima.

Kiswahili na waSwahili tunazidi kutapakaa kona zote za ulimwengu kama ndugu zetu hawa wa maeneo ya mashambani Australia baada ya kushoshwa na kujaa ktk mijini nchini humo na kuamua kuhamia shamba

14 Nov 2016
In some rural areas, communities are gradually shrinking and dying out as residents move into the city. But recently the people of Mingoola in New South Wales Australiahatched a plan to reverse that by encouraging refugee families to move there. And now they say it's revitalised the town.
 
Huyu alitaka kuinvest Bagamoyo kwenye lile dili la bandari ya Bagamoyo.
Akifa bila mambo kuwekwa sawa huenda mradi ukapata pigo kubwa
Ni mchina au ni mfalme Qaboos.
Aliyejaribu kufanya hivyo ni mmoja wa raia wa huko kwenye mitambo ya Dowans lakini ikawa nongwa sana.
 
Kwahiyo Oman ni sehemu ya Tanzania?
Ni ndugu wa karibu sana.Lakini hakuna nchi ambayo ni sehemu ya nyengine.Hapo zamani sehemu kubwa ya ukanda wa pwani kutokea Somalia mpaka Msumbiji ilikuwa chini ya utawala wa Oman.
 
Yupo kwenye terminal cancer ya Colon. Soon ataaga dunia. Ila nampenda sana huyu Sultan. Alifinance ujenzi wa makanisa ya catholics na protestants .Ni Sultan aliyeibadili Oman na kuwa nchi tamu ilivyo leo. Bahati mbaya hana mtoto. Sasa sijui alimchagua nani arithi mikoba yake,maskini.

Tiba ipo mradi nia njema, aende www.scoan.org for instant healing no payments after or before. However avoid fraudsters!!!!
 
Alishawahi kuishi Zanzibar akiwa mtoto mdogo, aliondoka akiwa na miaka 11...hivi....

Wa Oman wanampenda kuliko coz kabadiri Maisha yao..... Alimuua Baba ake baada ya kumpindua japo kwa jinsi alivyobadiri Maisha ya Raia na Nchi kwa ujumla Hakuna anayetaka kukumbuka habari za Baba ake!

Bila Qaboos kuchukua Madaraka May be Oman ingekuwa kama Somali, kwa sababu nao walikua Wanaongozwa na kuzikubari Koo zao kuliko Baba ake....

Na Koo zilizokua na Nguvu ni kutoka mji mmoja wa pili kwa ukubwa unaitwa Salala...

Siku ya kusherehekea Birthday ya Qaboos, shamrashamra zinaanza mwezi mmoja kabla..... Watu watabadirisha Rangi za Magari wataweka sticker zenye Maneno QABOOS IS MY KING, SULTAN IS OUR HERO!

miaka 60 tu nyuma Tanganyika/Tanzania Ilikua bora kuliko Muscat, leo hatuingii hata Mara 10.

Akifa leo Sultan..... Wa Oman watalia Sana.

Hizi sasa ndio comment kuna watu wanarukaruka tu humu..
 
Yupo kwenye terminal cancer ya Colon. Soon ataaga dunia. Ila nampenda sana huyu Sultan. Alifinance ujenzi wa makanisa ya catholics na protestants .Ni Sultan aliyeibadili Oman na kuwa nchi tamu ilivyo leo. Bahati mbaya hana mtoto. Sasa sijui alimchagua nani arithi mikoba yake,maskini.

Hajapata mjomba au cousin wa kumzalisha mrithi? Itabidi aende Kilimanjaro kujifunza
 
Kuna hadi watanzania wenye nyadhifa kubwa kwenye serikali ya Oman, sijui Tanzania tunakwama wapi tusiiteke hii Oman likawa kolon letu

Sent using Jamii Forums mobile app

Ha haa unaanzia wapi.wakati alikutawala tayari tena kumbuka Wakati sultan anaondoka Zanzibar maneno yake ya.mwisho alisema one day atarudi tu kutawala tena nchi yake pendwa!
 
Mkuu what do you want to justify? Kwamba akuenda nje kutibiwa? kwani Tz yetu ndo yard stick yakulinganishia nchi zingine kama zomeendelea au la? Oman Tz Yemen Kenya nk zote ni LDCs .......kwahiyo sioni jipya

Sent using Jamii Forums mobile app
Oman sio LDC lol, ppp yao ni dola 47,000 ambayo ni zaidi ya milioni 100, hivyo family moja kuwa na income ya milioni 500 kwa mwaka ni kitu cha kawaida.

Ni nchi ya 30 duniani kwa purchasing power kama sijakosea.
 
Mkuu what do you want to justify? Kwamba akuenda nje kutibiwa? kwani Tz yetu ndo yard stick yakulinganishia nchi zingine kama zomeendelea au la? Oman Tz Yemen Kenya nk zote ni LDCs .......kwahiyo sioni jipya

Sent using Jamii Forums mobile app
No, siku maanisha hivyo, Tindikali anasema in 40 yrs of his rule hakuweza kuweka doctor ambaye anaweza kumhudumia apo apo Oman. Nimetoa mfano wa hapa Tz kwa sababu ni wa rahisi kuelewa kuwa lazima utatoka tu nje kutafuta Specialist aliebobea katika ugonjwa uliokuwa unakusumbua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom