Afya ya Lwakatare YAZOROTA


Kaka,mie ambaye siyo mwandishi wa habari wala mtu wa IT nimeiona clip hiyo kuwa ni fake kwa kupitiliza.Hivi huyo Lwakatare alikuwa anaongea mwenyewe?Pili yule binti aliye vaa pink hakuwataka kujua kinachoongelewa ilhali anaongea kwa sauti?Tatu aliokuwa anaongea nao mbona hawaonekani kwenye clip?Watanzania tusiwe wepesi wakunyoosha vidole kwa wenzetu tuwe wepesi pia wakufikiri nje ya kona.Na ninaamini hata hiyo CD anayosema Mwigulu anayo nayo itakuwa kiini macho,hasa ikitolewa leo.Hivi inakuingia akilini mtu alete suala zito kama hili kwenye mtandao aache kupeleka polisi kwanza?Tafadhali tumuogope mungu kwanza,serikali yetu na wale tuliowapa uongozi hawatutendei haki?Hainiingii akilini mpaka polisi aione clip kwenye mtandao ndio amkamate mtuhumiwa?Kwa kweli ni uongo usiopimika tuache siasa chafu jamani zitagharimu maisha yetu.Kinachofuatia ni kulipizana kisasi,tuache ni tabia isiyopendeza.
 
Niliwahi kutoa angalizo kwa baadhi yetu humu jf, wao ni hatters na wengine hadi ni prophets of the doom!, "only if wishes were horses!".

Pasco.

'PROPHETS OF DOOM' indeed!

Wengi humu jamvini wanaodai kupigania mabadiliko wangefurahi kuona mabalaa yanatokea nchini ili wapate agenda ya kusimamia, wakidhani wanawakomoa watawala.

Hadi siku hiyo atakapokuja kiongozi wa kweli akiwa na alternative policies ndio yatokee mabadiliko vinginevyo tutaendelea ku-recycle wanasiasa hawa hawa wanaochumia matumbo.
 
kichwani ukilewesha gongo la chadema utasema video fake.

nimeiona na taarifa za ndani kabisa toka chadema zinasema kweli rwakatale kanaswa akipika supu ya ukweli.

ludoviki huko baada ya kuminywa katapika yote.

mpaka ya ulimboka. subirini muone.
 
Kwanini usiumize kichwa kidogo kwamba huenda pia si mpango wake binafsi wala si mpango wa Chama chake , bali ni mpango wa Mwigulu ? Unazikumbuka zile Sms za kutengeneza alizosingiziwa John Mnyika ? Open your Mind Pasco !
. Mkuu Erthrocyte, niko open minded kwa politics of hostilities na siasa za mbinu za medani, ambush, scheme,dupe etc ila level ya video na sound manipulation, huko bado hatujafika!, the clip is "bonafide genuine!", lets move to the next level, "was it a "solo thing" or a "party scheme?!".
If solo, then Chadema should just disown him!, if not, then it's a "scheme", and that being so!, Chadema will be in for it!, and that being the case, then its a mess!, it'll need someone very bright withn to clear such a mess, kwa waliopo at the top kwa sasa, I can't see!. The party will need overhaul, good brains and talents kama kina JJM na ZZK type ndio waje at the drivers seat!.
Pasco.
 
kwani kishafungwa?si kakamatwa ili aisadie polisi,sasa mnatapa tapa nini,mi nadhani muda huu kama mnampenda mtuhumiwa mngejikita kuhangakia dhamana yake,muwaache watu wa upepelezi waendelee na kzi yao bila mashinikizo ya kisiasa
 
kichwani ukilewesha gongo la chadema utasema video fake.

nimeiona na taarifa za ndani kabisa toka chadema zinasema kweli rwakatale kanaswa akipika supu ya ukweli.

ludoviki huko baada ya kuminywa katapika yote.

mpaka ya ulimboka. subirini muone.

Atawataja wote mpaka wahusika wakuu wale wawili waliaoandaa mpango wa ajali ya rasta chacha wangwe
 
Taarifa za kuaminika zilizopatikana awali zilieleza kuwa juzi saa 11 jioni maofisa kadhaa wa polisi, walimchukua mtuhumiwa huyo na kwenda naye nyumbani kwake wakiwa na lengo la kufanya upekuzi kwa mara ya pili lakini juhudi zao ziligonga mwamba baada ya kutokuwa na kibali cha upekuzi.
 
Spinning zimeanza na kwa wale waliobarikiwa fikra finyu, watazinunua sana.

Hii ni article ya kuchokonoa hisia za watu na kutafuta huruma. How many people who are languishing on remand wakiwa mahututi?. WHY HIM?.

OK, tunaweza kusimama kwenye principle ya presumption of innocence lakini pia kuna taratibu za kisheria kuhusu mahabusu nchini.

Ngoma ikipigwa sana kuna uwezekano ikapasuka. Kwa watu tunaoangaza macho kila pande, tunapatwa na maswali mengi.

Kwa nini watu wanafikiri yeye hawezi kufanya yale anayoonekana kuyafanya kwenye video. Kama watu wanaona kwa macho yao na hawaamini, halafu cha ajabu yale ya kusikia tu kwa wanasiasa wanayaamini?.

Sheria za nchi zimetungwa na wabunge kwa sababu za matukio kama haya,

Just sit and relax, sheria itafanya kazi zake kama bunge lilivyopenda iwe.
 
kwani kishafungwa?si kakamatwa ili aisadie polisi,sasa mnatapa tapa nini,mi nadhani muda huu kama mnampenda mtuhumiwa mngejikita kuhangakia dhamana yake,muwaache watu wa upepelezi waendelee na kzi yao bila mashinikizo ya kisiasa
Mkuu unaonekana kuwa na mawazo ya chuki za kichama. Sio wote tunaotoa maoni yetu hapa ni wana-Chadema. Useless and therefore waste of time.
 

We nae hebu ficha upumbavu wako na usifiche busara yako
 
uliposema wahalifu wengine hawakuchukuliwa hatua iweje huyu ----- akamatwe ulikua na maana gani

Hiyo sentensi haipo kwenye post yangu naina unaendelea kudhihirisha namna usivyo makini na unachoandika......
 
uliposema wahalifu wengine hawakuchukuliwa hatua iweje huyu ----- akamatwe ulikua na maana gani

Soma hii post vizuri; hiyo sentensi yako haipo kwenye post yangu; najua unafahamu kanuni za kunukuu.....Usiendelee kunithibitishia ukosefu wa umakini ulionao.....

''naona hayo mambo badala ya kuiua CHADEMA yanaipa umaarufu zaidi. CDM is gaining public sympathy....Maana kuna watuhumiwa wengi wa mambo ya wazi kabisa na hawajachukuliwa hatua. Nadhani anayepanga mbinu za kuiua CDM ndani ya CCM anaipa umaarufu zaidi.''
 

Mpaka pale mahakama itakaposema beyong doubt kwamba Lwakatare alikuwa anapanga njama lakini hatuwezi kuamini kitu kimeandaliwa na MACCM na utawala wao mbovu no way bro tunazo za kutosha kichwani mwetu
 
you are right!!! ile ni genuine video

tatizo ni kwamba haikuhusuana na Kibanda na pia chama kinatakiwa kisijiingize kwenye hiyo rubbish kwasbabu kuna kama 15% ya chadema executives ambao ni mapandikizi na wametumwa kufanya wanachofanya, Lwakatare could be one of them

Alishindwaje uchaguzi 2010??? si kama ile case ya yule jamaa wa mbeya tu? sasa subiri utasikia zaidi ya wanaCDM wanne watatoka kukubali kwamba ile video ni genuine, na wao waliujua mpango huo na pia wanajua kwamba akina slaa na mnyika walihusika, na si ajabu wameshaanza... na tunaambiwa bado nyingine mbili


AKINA SLAA KUMTETEA LWAKATARE WAS A MISTAKE
 
inawezekana hata ulimboka walimrwakatale ,mimi hizo hisia zilipitiaga siku ya tukio.mbinu za kijasusi kufanya uhalifu then someone else take the blame.

Kumbe yaweza kuwa ilikua ni falseflag ili wananchi waseme serikali ndo imefanya.
 
...we Pascal Mayalla...sipendi sana ku comment issue za siasa majitaka za kibongo..lakini napoona mtu anapotosha waziwazi nashindwa kuvumilia.....Umejitahidi sana ku associate issue ya Lwakatare na siasa za chadema etc......kama ambavyo umezoea ku spin mambo kwa kutegemea upepo...yoote hii katika kuganga njaa zako......Nikwambie tu...watu kama wewe ni hatari sana kwenye jamii...maana unajifanya kujua kila jambo linapotokea...na hata kuwa msemaji wa mambo wa mambo mara nyingine....Umejifanya kujiita mtaalam wa sijui AV...or HDV etc....yoote kutaka kujustify inner ill motive ulizonazo katika saga nzima ya Lwakatare......Nikwambie tu tafadhali acha...acha.....endelea na kazi zako za halali zinazokujaza tumbo lako..achana na haya mambo.....wewe si forensic expert..na wala si lawyer...wewe ni kanjanja tu mganga njaa tz.......
 
Mkuu Timing, hili la Rwakatare, nilisema hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…