Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,719
- 98,901
Hahahhhwengine watafikiri tuna andaa mankuli..
kweli washaanza kutamani nyama
Hahahhhwengine watafikiri tuna andaa mankuli..
Uko sawa mkubwa mwenzanguTafsida za kikubwa hizi
Wakubwa tu ndio tutaelewa hii[emoji23][emoji23]
hapana hahahaha sintoshiba afu mbona mbaya tenaHii hapa[emoji115][emoji115] [emoji115] View attachment 509748chukua kweupe tuu[emoji116][emoji116] [emoji116]
Hamna mbona iko simple tu mamaaTafsida za kikubwa hizi
Wakubwa tu ndio tutaelewa hii[emoji23][emoji23]
Unamaanisha "flesh"?Mmmmh " real men eat fresh not bones"
Nmekuelewa vyema mkuu hata mie ni mpenzi wa nyama ilo katwa katwa vizuri,viungo vikakolea barabara na laini ilokwiva,tena yenye kubebeka take away
Hata mgonjwa mwenyewe hupewa supu ya nyama laini ama nyama ya supu sio mapande yale [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ha ha mimi napenda nyamabya mfupa, closer to the bone, the sweeter the meat
Umechange profail baby?.Tafsida za kikubwa hizi
Wakubwa tu ndio tutaelewa hii[emoji23][emoji23]