Afrika nzima hakuna vyuo vikuu vilivyopo ni sekondari tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afrika nzima hakuna vyuo vikuu vilivyopo ni sekondari tu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jitihada, Apr 12, 2011.

 1. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hii habari mbona imenistua sana, kwa hiyo hawa wasomi wetu wa Tanzania wanaojitapa kila siku kumbe amna kitu, kumbe vyuo vikuu vyetu ni vya Kata:A S 41:
   
 3. L

  Long Long Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uo ni upuuzi! Unataka vitambuliwe na nani? Cha msingi ni ELIMU iwe Bora na Vijana wetu waelimike. Hii tabia yakuwa tegemezi hadi "mind-set" zetu zinakua tegemezi ni UJUHA wa kutupwa.
  Tunapaswa kujivua Gamba. Tuimarishe vyuo vyetu kwa faida zetu. Watutambue kinanani? Kwa maslai gani? Wanatupa boom?
   
 4. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Watch out ndugu yangu,si kila kitu unachosikia ni kweli...fanya utafiti ndio uje uandike hapa JF.Ni bora ungeuliza swali ukajibiwa kama hauna uwakika na unachokiandika....
   
 5. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
 6. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wewe ukiwa kama msomi wa africa ! katika nick names zote zilizojaa umefikiria hiyo!! :tape:
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,270
  Likes Received: 19,413
  Trophy Points: 280
  uongo.. watu mbona tumemaliza bongo na kuajiriwa europe
   
 8. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  That is eurocentrism ,hawa jamaa wanakera kwei kwei
   
 9. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani ndugu zangu wana JF mmekuwa vipi kushindwa kuelewa kinachoelezwa hapa! Katika ranking za vyuo vikuu kuna vigezo vinavyotumika na vigezo hivi ni muhimu sana kuzingatiwa ili chuo kitambuliwe. Moja ya vigezo ni utafiti na machapisho ya tafiti (mimi ni mtu wa sayansi hivyo nitaongelea eneo langu). Unaposoma kwenye vyuo vya china kwa kozi za Ph.D au Masters ni lazima ufanye machapisho ya utafiti wako kwenye majarida yenye SCI or EI compendex na hivyo ni vigezo muhimu sana kwa chuo kutambuliwa duniani (kuwa maarufu). Sasa rudi Tanzania ujiulize ni watu wangapi wanasoma Masters /Ph.D kwenye vyuo vyetu na wanafanya machapisho kwenye hayo majarida au kama kuna sheria kama hizo?
  Nimeona wanafunzi wengi wa UDSM wakichapisha tafiti zao kwenye magazeti ya kawaida kabisa yasiyo na uzito kimataifa na mbaya zaidi idadi hiyo ya tafiti ni ndogo sana ukilinganisha na nchi nyingine. Mfano, Mwaka 2007 nilimaliza Masters yangu na darasani tulikuwa wanafunzi 250 tuiopata degree na hicho ni chuo kimoja kati ya vyuo zaidi ya 1000 vilivyoko China. Ranking zinapofanyika unaona kabisa vyuo vya Afrika au Tanzania haviwezi kupata ushiriki mzuri kwa sababu hata hizo research wengi wanaandikiwa na makampuni kama ilvyoripotiwa kwenye magazeti hivyo tafiti kama hizo huwezi kuzipeleka kwenye majarida ya kimataifa yenye index za SCI au EI.

  Vyuo tunavyo na vinatoa elimu nzuri maana ndo vimetufikisha hapa tulipo na hatupwai katika kutekeleza majukumu yetu ughaibuni ila ranking zake kimataifa ni duni sana kutokana na mambo kama hayo. Vyuo inabidi vitoe miongozo sasa kuwa bila kuchapisha tafiti kwenye majarida fulani then no masters or Ph.D hata kama ukifaulu mitihani yote.
   
 10. i411

  i411 JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  propaganda hakuna lolote sikuhizi tunasoma hivyo hivyo wanavyo soma Yale university na haward kwa mtandao, tupo bega kwa bega wanajifagilia bure tuu
   
 11. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Umekwishawahi kusikia tatizo la brain drain? Wasomi wa vyuo vya Afrika katika fani nyingi tu huajiriwa nje ya bara la Africa.
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ktk mfumo wa shule za kukariri na management za kisiasa mnadhani mtashindana na nani? let us be serious for a minute..
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Apr 13, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo?

  Hao unaowaita wasomi they can't do jackshit on their own. Lazima wasimamiwe na wazungu ndo wafanye kitu chenye kufanana na maana.

  Na tatizo la brain drain or whatever ni tatizo la sisi Miafrika na upumbavu wetu. Tunapenda vyepesi vyepesi vilivyokwishaundwa. Kuunda vya kwetu hatuwezi. Tungekuwa tunaweza tungekuwa tushaunda.

  Stupid Africans.
   
 14. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #14
  Apr 13, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Rank ipi hiyo? Mimi ninavyoelewa UCT ya South ipo kwenye top 200 duniani kila mwaka. Nadhani mwandishi kakosea.
   
 15. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,057
  Likes Received: 1,090
  Trophy Points: 280
  But they don't control the system, they are just high skilled workers,
  the real pros own it with the remote control, they just work in it.
  They can be replaced at any time, so the so called educated are not
  really educated cause if you asked me, I'd say why they haven't done
  that in their own countries?
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  sioni sababu ya kumlaumu mleta sredi
  yeye anatupatia taarifa sasa ni kazi yetu kuichambua na si kumlaumu kwa kuileta hii taarifa.
   
 17. Tumaini Jipya

  Tumaini Jipya JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Magwiji wa Kudesa na Uchakachuaji,Afrika bado saaaaaaaana,tupende tusipende,Wasomi wengi Vilaza!!!
   
 18. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2011
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,498
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Huyu kila siku huwa namlalamikia mnadhani namuonea! Sidhani kama kichwa hiki kina hata vacuum ndani yake.
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Kula tano. Tuache ushabiki, mara ya mwisho kuona research ya wabongo kwenye Journal kama "Nature","Science" au nyingine yoyote ya caliber hiyo ilikuwa lini?

  Wengine wanamaliza chuo bila hata kujua hizo journals ni nini ingawa zipo katika fields zao.

  Na kama wasomi wetu ndio hao Dr. Kigwangwalla type (msomi Kigwangwalla) basi tushapigwa ngwala.
   
 20. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #20
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakugongea senks mertina, hapo umenena.
   
Loading...