lhera
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,835
- 3,603
Ww watu tushaishi oman zaid ya miaka 2 utasemaje ww, au ww ulikuja kutembeaHao usibishane hata Oman hawakujui
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww watu tushaishi oman zaid ya miaka 2 utasemaje ww, au ww ulikuja kutembeaHao usibishane hata Oman hawakujui
Sorry my msg hii siyo yako nimekosea na zd kukoseaHao usibishane hata Oman hawakujui
UsijaliWw watu tushaishi oman zaid ya miaka 2 utasemaje ww, au ww ulikuja kutembea
Sent using Jamii Forums mobile app
Walio olewa huko ni watumwa ambao walichukuliwa Zanzibar kipindi cha Sultan Said baba yake Sultan Qabuus wa Sasa Hapo Oman baada ya kukaa yeye madalakani ndipo ikatungwa hiyo sheria nikupe mfano :Mascat Kuna Wanzazibar wengi wanaongea kiswahili vizuri tu hao wanaluhusiwa kuoa/kuolewa why kwa sababu passport zao sio za Tanzania yaani wanajulikana ni waarabu. Watumwa walio pelekwa huko zamani.
Ni kweli kabisaWalio olewa huko ni watumwa ambao walichukuliwa Zanzibar kipindi cha Sultan Said baba yake Sultan Qabuus wa Sasa Hapo Oman baada ya kukaa yeye madalakani ndipo ikatungwa hiyo sheria nikupe mfano :Mascat Kuna Wanzazibar wengi wanaongea kiswahili vizuri tu hao wanaluhusiwa kuoa/kuolewa why kwa sababu passport zao sio za Tanzania yaani wanajulikana ni waarabu. Watumwa walio pelekwa huko zamani.
Wazungu hatari sana hawa watu wanapandikiza chuki toka utoto : unashangaa kwanini ubaguzi hauishi.
Watu weusi ni watu wa ajabu sana, Hivi hili nalo limekua ishu? kzi kushuhulika namambo yasiyo na msingi tu.
Yote mawili Mkuu!! Jee wewe ni mwendawazimu, mpumbavu au hayawani? Wazee wa wengine lazima walaumiwe kwa kutowafunza watoto wao adabu!! Inaelekea wewe ni mndundu. Mungu akusaidie, inshaa Llaah
Yote mawili Mkuu!! Jee wewe ni mwendawazimu, mpumbavu au hayawani? Wazee wa wengine lazima walaumiwe kwa kutowafunza watoto wao adabu!! Inaelekea wewe ni mndundu. Mungu akusaidie, inshaa Llaah