Afrika Kusini na ubaguzi wa rangi, picha hii yazua taharuki

Real Madrid sio mji mzee baba. Ni timu ya mpira wa miguu, mji unaitwa MADRID.

Kujua kwingi nako shida
PUMBAVU THAAAAANA, KWANI HUJUI HIZI SMARTPHONE AMBAVYO HUWA ZINAJIANDIKA ZENYEWE BAADHI YA MANENO TOKANA NA JINSI MANENO YALIVYOZOELEKA KUNENWA NA WATU WENGI SANA DUNIANI?

HOJA YANGU UMEIELEWA UMEJIBANA KTK KOSA DOGO SANA KILAZA MKUBWA WEWE.

SIKU NYINGINE USIINGILIE KISICHOKUHUSU.

KAMA HUWEZI KUSAHIHISHA BILA YA VIJEMBE KAMA MWANAMKE WA KIZARAMO NI HERI UPITE KIMYA KIMYA TU.

PUMBAVU THAAAAANA KILAZA MKUU WA KUZIMU WEWE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie watu mnashangaza sana, mnawachukia waarabu kwakuwa ni waislamu, ila wangelikuwa mikafir mngewapenda.

Wazungu mnawapenda kwakuwa ni mikafir.

"Hawatakuwa radhi juu yako Mayahudi wala Wakristo mpaka ufuate mila zao" (2:120)

Aya hiyo utakuwa umeielewa mkuu/ mwana wa YESU aliyesulubiwa.
Nauliza huyo kibaka Mohammed yupo??? Wewe unanijibu mambo mengine, Foolish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuliko waarabu???
Mi nimechukulia ngozi nyeupe kiujumla hasa kule magharibi.

Kama unataka ubishi endelea kukaa vivyo hivyo, lkn kama unataka kukubaliana na ukweli njoo na sababu husika kutetea hoja yangu "kwanini miaka nenda rudi hapajawahi kuwekwa PAPA mwenye ngozi nyeusi kule Vatcan City penye makao makuu ya dhehebu la Roman Catholics duniani?"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kumsukuma mzungu mmoja mpaka chini...kisa amekuja kukaa mbele yangu kwenye foleni....uwanja wa ndege...ili apate chansi ya kuwa na wenzake waliokuwa mbele yangu....hakuniomba alikuja kwa ku force....mkasa wa pili Kunduchi Hotel nadhani ..... kuna kahindi kadada flani hv kalinikuta nimekaa nagonga beer zangu .....kwenye vile vipoint vya kukaa...kakaja niambia nitoke lile eneo wao wana mazungumzo ya faragha ..... nilimwambia kwa kifupi tu F.uck u and your husband......aisee alitoka nduki....sipendi dharau...sembuse ubaguzi
,hapo airport sipati picha vurugu lake hawakukushambulia kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere alikuwa mtu mbaya sana kuliko hata wazungu. Alitaifisha manyumba ya foreigners, viwanja na maduka pia.

Huko kaburini anakipata cha moto nyerere wenu.
Ulitaka awaache ili watubague ndani ya ardhi yetu kama hao jamaa pichani wanavyofanya! Bichwa lako limejaa manii tupu
 
Hivi kuna gangs za wazulu S.A?

Sent using Jamii Forums mobile app
Gangs za wazulu zipo South ila hawana kiburi cha kuwafanyia wazungu wenyewe wana deal na waafrika wenzao.

Wale wazungu wenyewe ni vichwa vibovu kuliko mzulu yale makaburu asili yao ni Dutch na Germany ni makatili na hayaogopagi. Ndio maana kwenye xenophobia attack Hayupo mzulu aliegusa Mali zao. Yana machine gun yakinyanyua mpaka magazine iishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
%.

Hata humu huwa tunaona watu wakitafuta wenza wa Kizungu.

Au, mtu akiwa ana tabia flani flani ambazo wengine wanazikubali, watamuita mtu huyo kuwa ni mzungu au watasema ana mambo ya kizungu.

Nimeishi na wazungu kwa muda mrefu sana. Zaidi ya nusu ya maisha yangu.

Ikija kwenye suala la tabia, hususan tabia mbaya mbaya za kusengenyana, umbeya, uzinifu, wivu, ufuska na uasherati, na zinginezo, hakuna cha uzungu wala weusi. Ni suala la mtu binafsi bila kujalisha rangi yake ya ngozi.

Nina uhakika kabisa kuwa, hata wewe, kama unaishi au umeishi na wazungu au hata watu wa jamii zingine, utakubaliana nami kuwa hizo tabia ni tabia za kibinadamu. Yaani zinapatikana kwa binadamu wote.

Fikiria hili, wazungu wasingekuwa wambea, hayo ma TMZ na ma tabloid newspapers yangekuwepo?

Kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom