Afrika Kusini: Mchungaji Alph N Lukau afufua maiti na kuacha gumzo kubwa

Akili uliyo bakinayo ni yakuvalia chupii tu hiyo nayo ikipotea utatembea uchi ULOKOLE WA KWELI NAULOKOLE WA UONGO NDIYO KITU GANI ?? WEWE UKISIKIA KITU INAITWA ULOKOLE JUA HIYO NI TAKATAKA KWA MUJIBU WA KRISTO MFALME MWENYEWE
walokole wa kweli ni wale wa zamani waliokuwa WANALIA hawa waliokuja na technolojia ya upako ni wawekezaji wa sadaka na wanamazingaumbwe,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matapeli Walishaona Kuna Uhuru Na Amani Kuuchafua Ukristo Hawafanywi Kitu. Wanaogopa Kipondo Kuuchafua Uislam. Waislam Wangeandamana Dunia Nzima Na Kumtia Adabu Huyo Nabii Feki
Siyo kweli mkuu...

Mbona hawaandamani dunia nzima kuwatia adabu ISIS, Al Shabab, Boko Haram na wengine wanaoupaka matope uislamu wa kweli kila mara?
 
Hii biashara inaongezwa mbinu kila wakati kama biashara zingine ambapo mtu anatanua biashara kwa kuongeza bidhaa
Na hapa walianza sadaka watu wakatajirika watoaji masikini
Wakaanza kutoa mapepo na sasa wanafufua kabisa

Hizi dini zingine kuna watu wametengeneza hela sio mchezo
Watu wamewekeza wangekuwa wanakeza kama pensions sasa hizi wengi wangestaafu kwa raha sana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
1.Kuna wanaotembea na picha za wachungaji eti ni kinga yao ,pia Maji chumvi ,vitambaa na nk
2.Unaombewa ugumba unavua chupi inaombewa
3.Maajabu ya Muujiza kupokea pesa kwenye M-pesa ,Tunaweza pata no ya MUNGU
4.viwete ,vipofu,viziwi ,wanaponywa ila siyo tunaowafahamu katika jamii yetu .
5.Kufufua wanafufua ila siyo ndugu wao au wazazi wako
6.Mwendo wa kupokea Makontena na hujawahi uza hata karanga.sijui yanatoka wapi au kwa mungu yupi?
7.Mtu Nabii na Mtume na Mtendamiujiza au Askofu na nk vyote kapewa yeye sijui ni Roho yupi aliye mwagia vyote?

Hakika hakuna anaye yachunguza maandiko ni mwendo wa kutafuta Miujiza

Hatujui hata maana ya miujiza ya yesu na namna Roho anavyogawa karama zake tena atakavyo yeye.

MUNGU mwenyewe ndiye aliyeruhusu kifo baada ya uasi kwani

Sikatai miujiza ipo na haina Formula ila tunakopelekwa WALOKOLE Hapana

Hakuna Mtu mjinga kama Baadhi ya walokole Duniani.nahisi pia Wengi Hawapotimamu.

Soma mathayo 10:8 Mambo yanajueleza ila hatusomi biblia ndo tatizo hakuna cha ajabu hadi unamuita mtumishi wa Mungu tapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo Matapeli tu ,Wezi Mafisadi wakubwa ,Makupe na Manabii na mitume wa uongo Mbwa mwitu waliovalia ngozi ya kondoo Makristo wa uongo .Ila siyo wote , 98% ni Uozo,2% ndio kweli wanatangaza injili ya kweli
Soma mathayo 10:8 Mambo yanajueleza ila hatusomi biblia ndo tatizo hakuna cha ajabu hadi unamuita mtumishi wa Mungu tapeli

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani shida ni kufufua mtu ama ? mbona maandiko yameweka wazi kwamba waamin wanaweza kufufua,MATHAYO 10:8,me nafikiri wakristo wasio amini kwamba mtu anaweza kufufuliwa ndio wa kuwaashangaa .
Mkuu sehemu ya mwisho ya hilo fungu ni muhimu sana
Mathayo 10:8''Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.
Nadhani unashuhudia hawa manabii wetu walivyo matajiri. Kuna mtu kakuwa ana tshs 8bn kwenye akaunti na akijisifu kuwa ana hela kuliko serikali na alianza kuchunguzwa baada ya hayo majisifu
 
Biblia inasema tutawatambua kwa matunda yao kuwa tajiri sio shida wengine wamebarkiwa na Mungu ili mradi mtu ahubiri injili ya kweli azingatie misingi ya Kristo (imani na kiroho )huku akiwakumbusha wanadamu kutubu dhambi kuwekeza mbinguni kuliko duniani

(

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biblia inasema tutawatambua kwa matunda yao kuwa tajiri sio shida wengine wamebarkiwa na Mungu ili mradi mtu ahubiri injili ya kweli azingatie misingi ya Kristo (imani na kiroho )huku akiwakumbusha wanadamu kutubu dhambi kuwekeza mbinguni kuliko duniani

(

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli? kuwa tajiri siyo shida? Tunaongelea mtu kumiliki tshs bn 8. Yesu mwenyewe kasema kuna shida!!

Mathayo 19:23-24 ''Ndipo Yesu akawaambia wanafunzi wake: “Kwa kweli ninawaambia, itakuwa vigumu kwa tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni.+ 24 Tena ninawaambia, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu.”+

Mathayo 6:24''Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili; kwa maana atamchukia huyu, na kumpenda huyu; ama atashikamana na huyu, na kumdharau huyu. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali
 
Nimewaza kwamba huu ni mtego aliwekewa maana kwa jisni scenario ilivyo nahisi wa south wamemiwekea mtego .Pstor huyu ni mkongoman na wasaouth awataki kabisa watu kutoka mataifa maengine ya afrika kuwa juu yo ,mfano wamemtengenezea bushiri jungu mpka katolewa sasa nadhani ilikuwa ni huyu kabakia sababu ukiangalia pastor alikuwa anaendelea na ibada mara akaambia nje kuna mwili ulikuwa unapitishwa ila kufika maeneo haya ukaanza kupumua, so pastor akaamua kutoka nje so baada ya tukio hili wasouth waliiomba serikali ndio mana SBC waliamua kwenda Mortuary kuuuliza kwamba je kuna mwili ulikuwa huku wakakataa wakasema hamna ,so hii nahisi ilikuwa mtego na wamefanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app

hichi unacho kisema ndicho na mimi nahisi , i,m not sure . mfano ninavyomjua alpha lukau ,ni mtu very humble , kwa sisi tunaosoa theology kwa mrengo huu wa kilokole , na kama yesu alivyosema , ufalme wa shetani hauwezi ukapingana wenyewe kwa wenyewe. kwa south africa pastor anayekuja kwa kasi sana ni huyu ,akifuatiwa na bushiri , wote hawa wanatakiwa kuondoka south africa . wapishe wazawa , kama charis mission nk .

ukiangalia zile kampuni za kufanya maziko , kama black felix funeral services , kingdom blue coffins na king and queens ambayo ilitoa gari kwa ajili ya kuifuata maiti , utaratibu mzima wa kikampuni kwa wao ulikiukwa .
ukimsikiliza kiongozi wa south africa anayeshughulika na maswala ya kudhalilishana kiroho ( movement against abuses in church.) ndugu solomon izang ashoms , yeye anadai si mara ya kwanza kanisa hili linaletwa katika tuhuma mbalimbali ,,, aliulizwa ulichukua hatua gani ulichukua ,,, akadai nilitishiwa maisha . point ni kwamba wanataka kumkandamiza mwenye kanisa , alpha likau ,,, angalia Bushiri anapopitia leo , ,anatuhumiwa kutorosha fedha kwenda malawi ,,, mahojiano na uchunguzi unavyoendelea yote ni ubabaishaji ,,, mfano eti unahoji kuwa , chanzo chako cha fedha ni kipi hasa ,,, jamaa anawaambia , nina bishara za forex nk .... serikali inataka kuwafukuza wageni wenye power ya kiuchumi nchini south africa .

ni kweli serikali kwa mujibu wa taratibu lazima waamue , utaratibu nafuatwa na heshima ya nchi inakuwepo .. na ndiyo maana south africa kuna taasisi nyingi zinaangalia haya makanisa na kodi za serikali zinalipwa kupitia makanisa haya .

kwa muujiza huu .... ukweli utaadhirika ila bado na simama na Alpha lukau .. Mungu atampigania . south africa imekuwa ni sehemu hatari sana kwa watumishi wa Mungu ... hili ni jaribu kwa viwango vyake atavuka tu ...
 
Mkuu sehemu ya mwisho ya hilo fungu ni muhimu sana
Mathayo 10:8''Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.
Nadhani unashuhudia hawa manabii wetu walivyo matajiri. Kuna mtu kakuwa ana tshs 8bn kwenye akaunti na akijisifu kuwa ana hela kuliko serikali na alianza kuchunguzwa baada ya hayo majisifu

Gospel is free but is not cheap,nani kakuambia mtu akiwa masikini ndio mtumishi wa MUNGU,mfano umemtolea mfano kakobe wapi amesema anaombea kwa pesa ?
 
Habari wanaJF,

Siku hizi kumekuwa na kuibuka Kwa makanisa kama uyoga na wachungaji wote au manabii wanafanya Mambo ya kimiujiza ujiza tu,sikatai na nimekulia Kwenye Dini ya kikristo yenye imani Kali na Mungu kweli huwa anatenda Kweli ukifunga na ukapiga goti na kumlilia.

Ila siku hizi MUNGU amekuwa akifanya miujiza akiona camera tu,inasikitisha sana kwakweli maana Mahubiri yamekuwa yakishangaza Hata ukimsikia mchungaji au Nabii mambo anayozungumza yanasikitisha sana na Ukristo umekuwa ukitumika kama biashara Kwa hawa fake pastors.Huwa najiuliza kwanini wakristo hatujiulizi maswali magumu na kukumbuka maandiko yaliyokwenye Biblia kuwa Siku za mwisho kutakuwa na manabii wa uongo,na wanajidhihirisha waziwazi.

Mfano maigizo ya mchungaji wa South Africa aliyejifanya amemfufua mtu kumbe ni uongo na huyo aliyejifanya kafufuliwa ni cameraman wa Kanisani hapo,Baada ya Waandishi kuwafuata wanajificha kwanini wafiche kama ni jambo? Baada ya dili kubumbuluka na kuumbuka wajificha,lengo ilikuwa kutengeneza uongo ili apate wafuasi na kupiga pesa.,inasikitisha sana.

Serikali wakati wa kuanzisha haya makanisa binafsi ongezeeni vigezo saiz imekuwa kero.

Video Hapo chini mwandishi wa SABC News aliyekuwa anafuatilia suala la mtu kufufuliwa.
 
Attachments

  • VID-20190226-WA0014.mp4
    6.8 MB · Views: 17
Ukristo wenyewe ni biashara ya wajanja tu. Mambo kuzidiana.

Hata ubora wa Wakristo ni kwa mali si kwa ucha Mungu.
 
Back
Top Bottom