Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,732
- 861,082
KwangaruKuishi Bara la Afrika kuna raha yake mojawapo ni urahisi wa baadhi ya mambo, hata ndege aina ya Bombadier tunasukuma kwa mikono yetu. View attachment 773564
KwangaruKuishi Bara la Afrika kuna raha yake mojawapo ni urahisi wa baadhi ya mambo, hata ndege aina ya Bombadier tunasukuma kwa mikono yetu. View attachment 773564
Alitakiwa astue na namba mbiliDereva hajatoa gear na handbrake kwanza. [emoji38]
Kama makaburu ni wageni, basi wangoni ni wageni zaidi. Kumbuka Wangoni wamefika lini kusini na kwa sababu gani. Mphekhane. Hivyo tuanze na wangoni basi.Rwanda ni kama nusu ya morogoro.
Na maendeleo ya South Africa hayajaletwa na marais wao, walishatafuniwa kila kitu. Wageni walitaka kuimiliki moja kwa moja ndio maana waliwekeza sana
Ndege haitumii gia Wala handbrake. Ndege zinatumia mfumo wa Mbayuwayu wa Msoga, akili za kuambiwa angeza Na za kusikiaDereva hajatoa gear na handbrake kwanza. [emoji38]
Hebu acha kutufananisha na Rwanda pili unaijua south Africa ilikotoka na inakoelekea.Usilinganishe USA tuanze na South Afrika tuliowasaidia kupata Uhuru wapo wapi. Au Rwanda waliouana 1994 na shirika lao lilivyo na ndege. Kiufupi tumejiroga half tukamwua mganga
Sio 60 yawezekaka ikawa 100 lakini now ndo wanarudi nymaNi 1994 mkuu, na asilimia zaidi ya 60 ya maendeleo waliyakuta
Ndo kitu gani hicho mkuu..Rocket Science
Muhimu Sana Hapo 😀😀😀😱
Unajua orodha ya nchi tulizokua nazo sawa kiuchumi mwaka 1961 na leo ziko wapiHebu acha kutufananisha na Rwanda pili unaijua south Africa ilikotoka na inakoelekea.
Hii ndo sababu ya kujivisha utalamu kila sehemu
Hebu zitaje hizo nchi halafu compare kila kitu cha kipindi hicho kuanzi kwenye idadi educated people and uneducated peopleUnajua orodha ya nchi tulizokua nazo sawa kiuchumi mwaka 1961 na leo ziko wapi
Tutafika tunakoenda baada ya kurudi wenzetu walikoendaTutafika tu, Hata mbuyu ulikua mchicha
Ni nchi gani hiyo kampuni ya Camair?Kuishi Bara la Afrika kuna raha yake mojawapo ni urahisi wa baadhi ya mambo, hata ndege aina ya Bombadier tunasukuma kwa mikono yetu. View attachment 773564
MkuuNdo kitu gani hicho mkuu..