Afrika kuna raha yake, hata Bombadier tunasukuma

Afrika kuna raha yake, hata Bombadier tunasukuma

Ni 1994 mkuu, na asilimia zaidi ya 60 ya maendeleo waliyakuta
South Africa imepata uhuru 1910 ila ulikabidhiwa Kwa Boers aka Makaburu wao wakaanzisha Ubaguzi wa rangi na utawala wa Wachache (Ma Boers na baadhi ya weusi wachache)ambao uliisha baada ya Mandela kufunguliwa 1990 na baadae uchaguzi huru 1994 ambao ANC ilishinda. NB Boers ni wazaliwa wa South Africa ingawa wana asili ya ulaya hata lugha yao Afrikaan iko tofauti na pale ni km kwao ndio maana walipaendeleza bila kufikiria km kuna siku wataondoka.
 
mbona ile ya kwetu ilikuwa inafungwa mlango kama kontena waache na wao wasukume maana kama sisi nchi tajiri tunaweza fanya hivyo hizo nchi maskini Kwa nini zisifanye
 
Back
Top Bottom