Afrika kuna raha yake, hata Bombadier tunasukuma

Afrika kuna raha yake, hata Bombadier tunasukuma

ni aibu na u zezeta kabisa kwa karne hii bado unakua msindikizaji huku kila siku ukijisemea "tutafika tuu'............. wenzako wakati wanafika wewe ulikua wapi??
Hao unao wazingumzia
wanazaidi ya miaka 800
wewe ndio una 50+
 
Rwanda ni kama nusu ya morogoro.

Na maendeleo ya South Africa hayajaletwa na marais wao, walishatafuniwa kila kitu. Wageni walitaka kuimiliki moja kwa moja ndio maana waliwekeza sana
Sasa anafanya nini hapo kama mbinu za maendeleo hamna?! Washabiki wa jamaa mnatia huruma
 
Hapa kunauwezekano wa kuaghirisha safari, Sasa ikileta taatizo huko juu abiri mazishi saa kumi, nateremka japo wanirudishie nusu nauli
Bwihi [emoji16] [emoji16] Mkuu.. Si unaona hata jamaa kashika kiuno, inamaana ana wazo kama lako
 
Mkuu Ghazwat acha ushamba bhana, hata Ulaya ndege zinasukumwa sana tu sababu ndege haina gia ya reverse.

plane_front.jpg

Sema tu kwamba wenzetu Ulaya wanayo magari maalumu ya kuzivuta au kuzisukuma ndege zao.
 
Mkuu Ghazwat acha ushamba bhana, hata Ulaya ndege zinasukumwa sana tu sababu ndege haina gia ya reverse.

View attachment 773859
Sema tu kwamba wenzetu Ulaya wanayo magari maalumu ya kuzivuta au kuzisukuma ndege zao.
Ndo mfumo wake wa ndege.. Lakini kusukumwa ni kwa gari zake Maalum na si kwa mikono ndo nimekusudia hivyo..!

Au nipe clip ya kusukuma kwa mkono huko ulaya!
 
Rocket Science
Muhimu Sana Hapo 😀😀😀😱
 
Back
Top Bottom