Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,814
- 7,455
Brilliant, absolute correct!!Kuna kitu kimoja ambacho wazungu wamefanikiwa sana....na watazidi kufanikiwa kwa miongo mingi kama sio karne nyingi.....mawazo ya hicho kitu yaliona mbali....na ndicho kinachozidi kutuangamiza wa Afrika....na dunia kwa ujumla
Kitu chenyewe sio kingine bali kuweza kucontrol vyombo vya habari......media na taarifa zote za ulimwengu huu
Kwa asilimia zaidi ya kubwa ni kuwa habari nyingi au taarifa nyingi unazozipata sio sahihi kwani kuna watu wameamua wewe upate hizo taarifa.....ndio maana kuna mkanganyiko mkubwa kwenye kupata taarifa sahihi kwenye ulimwengu huu unaoendeshwa kwa propaganda......
Wazungu wanafanya kila mbinu kumfanya mtu mweusi aonekane dhaifa na hata yeye mwenyewe ajione dhaifu....na wanafanya hivyo kupitia njia mbali mbali.....lakini kubwa ni vyombo vya habari......kama utakuwa makini na hili unaweza kung'amua kwani lipo wazi sana.....
Wazungu wanapojifanya kuunda mabalaza ya usuluhishi kwenye migogoro ya Afrika sio kwamba nia yao ni kuona amani itawale afrika bali ni kuzidi kuyapa headline matatizo ya afrika....na waafrika kwa ujumla......wazungu ni watu wanafiki sana na ni ngumu sana kugundua hila zao kwani wamejificha kichaka cha ubinaadamu......
Kuna mambo mengi sana yamejificha kwenye umasikini na migogoro isiyoisha Afrika na dunia kwa ujumla....ni mengi ambayo ukipata kuyajua unaweza ukazimia kwa mshangao......
Wapo baadhi wameshajua hila na unafiki wa wazungu na ndo hao wakina Bashar Al Asad na wengine wengi wanaopigana kutetea mataifa yao....ugumu ni kwamba ni wachache mno wenye kuyaelewa haya mambo....kwani asilimia kubwa ya dunia imetekwa na propaganda za vyombo vya habari vya magharibi.......
Ni rahisi sana kurushwa hewani kwa tukio la mtu mweusi kumuua mweusi mwenzie kuliko hata tukio la waziri mkuu wa uingereza akifanya ziara.......kwao tukio la mtu mweusi akifanya uhalifu ni la muhimu kwenye propaganda zao kuliko hata kiongozi wao mkuu........
Kila siku unaweza ukaona kwenye luninga picha za watu weusi wakifa na njaa lakini kamwe huwezi kuona picha za wazungu wakifa vibudu nje kwa baridi kali na kukosa makazi.........
Hivyo ndivyo dunia ya sasa inavyokwenda.....unatakiwa utumie vyema milango yako ya fahamu pindi inapokujia habari....na sio kuichukua kama ilivyo.....
Nina marafiki zangu wengi tu wanaoishi ulaya....wananiambia kuwa walivyokuwa wanafikria wazungu sivyo walivyo.......
UTU WA MTU UNAANZA NA MTU KUJIPENDA YEYE MWENYEWE KWANZA....
Lakini ni kweli sisi Ndiyo tuko nyuma kuliko Wote. Asians wametuacha. Very far away, so you agree ? Korea Na Ghana walikuwa Sawa mwaka 1960. Singapore Na Tanganyika Na Thailand walikuwa Sawa mwaka 1961. Lee kuanye founder of Singapore was a classmate to Julius Nyerere at Edinburgh university. All were founding fathers of their countries.
The western media was brutal to all Asia and Africa, hawana utani. Media inavyo depict Asia Na coverage no Sawa kabisa lakini wankubali kuwa Asia has done a lot. Africans at least do what Asia has done by itself. Just try to be peaceful so that investors can come and invest.
Dictators yes Putin, Assaad number them! But in Africa you have all countries full of dictators.