Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,561
- 21,511
We unadhani kwanini Jamaa Wa awamu ya nne kwa nini alituita Sisi ni Malofa
Sikubaliani na hoja hiyo. Wazungu wana advantage kabla hata mtoto hajazaliwa. Mama mja mzito anakula vizuri, anakwenda kupimwa mara kwa mara, mtoto kama atakuwa na magonjwa anaanza kutibiwa toka hajazaliwa.intelligence ni combination ya factors
kwanza ile sharpness ya brain yenyewe, lakini discipline na ile spirit ya hard work ndio mitaji mikubwa! karibu waafrica wote /mtu mweusi popote alipo kuwa na factors zote hizo ni shida!
sisi tuna ngozi ngumu, immunity ya kumwaga na ubongo wa mende, hii dunia yenye maradhi na inayohitaji akili kiduchu ndio inatufaa Zaidi!
Hivi wewe hapo ulipo mke wako akishindwa kujifungua kwa njia ya kawaida utampeleka kwa waganga wa kienyeji?Na wao Wazungu walipokuja huku Ndio waliotuletea hayo magonjwa sasa ndio wanajifanya vinara wa kutuletea dawa na kutuuzia
Walituletea ukoloni na maradhi halafu huyu mleta mada kibarua wa wakoloni anawasifia hapa kwamba bila wao tungekufa kwa maradhi.Yaani maradhi watuletee wao halafu huyu kibarua wa wazungu analeta mada ya kuwasifia na kuwapuuza waafrika?Anaacha kusifia waafrika kuwa tulikuwa mbele mno kwa immune system na madawa yetu kiasi kuwa hayo maradhi yao Afrika tulikuwa hatuna hadi walipoyaleta kutoka kwao kupitia wazungu waliokuja ambao walikuja na hayo maradhi na hizo dawa zao.Wametufanya watumwa wa hayo maradhi yao na hizo dawa zao.Wametuachia umaskini kwa kuwa mapesa mengi yanatumika kununua dawa zao za maradhi waliyotuletea ambazo zingetumika kwa mambo muhimu mengine ya maendeleo
Mleta mada hajielewi namshauri akipata nafasi akasome kitabu cha HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA -bY WALTER RODNEY
Ndio maana huwezi kumsikia mzazi wa kizungu akimpa mtoto wake laana, na mitoto yao ndio mijeuri ile ngumu. Lakini inawasaidia kwa sababu wakiwa watu wazima wameshazoea to think for themselves.Hakuna kitu kinaitwa laana. Hizo ni hadithi za kusadikika tu.
Hapo ni kuwaonea. Lakini siyo sababu ya kuwa ni watu weusi, labda ni kula sana bada na kisamvu utotoni?Tuanze Na IQ ya Kikwete Na Mwinyi
Kuna "Wahindi Wekundu" wa Amerika ambao walinyanyaswa na kuonewa na wao wako taabani kuliko watu weusi wengi au hata Waafrika. Amerika Kaskazini wanakaa sehemu zao ambazo ni duni kuliko Afrika. Rangi haikupi akili, ni mazingira tu.Hizo Ndiyo propaganda!
Kwanzaa mwandishi nafikiri alimaanisha sub Saharan Sfrica Egypt iache.
Mandela Na Wewe ok a ruling class from the same fish pond.
Evidence: sub Saharan African Wote tupo Sawa, ukiacha African blacks, Europe etc hata wale weusi wa Haiti, Papua New Guinea Wote hafai!
Haiti is the only poorest country in the Western Hemisphere
Unamaanisha "evolution", siyo revolution. Waafrika tusha-evolve, tunachohitaji ni uongozi bora.Chief mwaafrika anajiita kuwa ni mwanadamu ila kiuhalisia hajawa mwanadamu kamili still yupo kwenye revolution stage na kwa hali hiyo siyo kwamba kanyimwa technology au utaalam no.waafrika waliokwisha kuwa binadamu kamili wapo vizuri,muangalie Obama na mke wake,kuna mtanzania mwingine nilikutana nae twin cities Minnesota ni director and is doing great job.so tukisha maliza revolution stage hayo yote uliyoyazungumza haitakuwa issue.please note: revolution takes ages
Madhira, ugumu unaosababishwa na hali ya hewa ya huko kwao, vinawalazimisha kufikiria zaidi. But God is very fair. I'm proud and happy to be born in africa.Sikubaliani na hoja hiyo. Wazungu wana advantage kabla hata mtoto hajazaliwa. Mama mja mzito anakula vizuri, anakwenda kupimwa mara kwa mara, mtoto kama atakuwa na magonjwa anaanza kutibiwa toka hajazaliwa.
Mimi nilikuwa na watoto wa kambo Wazungu maskini na nilishangaa kuona kuwa hawana tofauti na Waafrika wengi tu. Shule walikuwa hawapendi, wavivu na kupenda kugombana. Kwa hiyo hamna ngozi yenye monopoly ya ubwege.
For sure you're misplaced. Now go where you belong.Hivi wewe hapo ulipo mke wako akishindwa kujifungua kwa njia ya kawaida utampeleka kwa waganga wa kienyeji?
Au mkeo kushindwa kujifungua nako kumeletwa na wazungu?
Hii net unayotumia hapa imetokana na Mwafrica?
Makampuni yanayofanya utafiti wa gas na mafuta ni ya Waafrika?
Hata kama ni ya Waafrika,utaalamu huo wameupata wapi?
Viongozi wetu leo hii wanafia katika mahospitali yaliyoko Africa au Ulaya?
Tuna mito,maziwa na mabwawa lakini mbona kila aiku tunalia njaa inayotokana na ukame?
Mizigo yako leo hii unasafirisha kwa gari au kwa Punda?
Yaakiibuka magonjwa leo hii sampuli za damu, makohozi,n.k zinapelekwa wapi kwa ajili ya uchunguzi?
Nitajie mvumbuzi wa kiafrika hata mmoja miongoni mwa wanasayansi maarufu wanaojulikana katika kufanya uvumbuzi wa kisayansi?
Newton,Eisten,Galileo,Archimedes,Boyle,,Boltzamn na wengineo wengi,kuna hata mmoja anaetoka Africa?
Angalia Ma-professor wetu mambo wanayoyafanya leo hii ndio ujie tukoje.
Tukibali tu sisi mpaka leo hii bado tunawategemea watu wa mabara mengine kuweza kuishi na ku-survive katika hii dunia.
Wamarekani na Ulaya Magharibi wana historia ndefu ya demokrasia ukilinganisha na Wazungu wengine kama Warusi. Lakini hata hao Republicans wanamwita Obama adui wa Marekani na mara mbili walisababisha serikali ifungwe. CCM ndiko wanakopata mbinu zao.Mkuu pole sana ila jamaa yupo sahihi.hivi umewahi kusikia Obama akiwaita Republican kuwa ni maadui wake? Umewahi kuona wabunge wa Republican wakifukuzwa kwenye Congress zao? Je hawambishii rais na serikali yake?je umewahi kusikia Democratic ikiwaignore kwa kuwa wana bishia kila kitu?pole sana tena
Yanayotoa akili zaidi niyapi , mazingira magumu au mazingira mazuri?Kuna "Wahindi Wekundu" wa Amerika ambao walinyanyaswa na kuonewa na wao wako taabani kuliko watu weusi wengi au hata Waafrika. Amerika Kaskazini wanakaa sehemu zao ambazo ni duni kuliko Afrika. Rangi haikupi akili, ni mazingira tu.
Yep, katika taasisi ya utafiti ninapofanya kazi, scientists wengi na Phd zao ni wazungu. Lakini hata makarani na mechanics ni hao hao tu. Siyo uzungu somehow inakupa ujuzi fulani, inabidi uchakarike mwenyewe.Madhira, ugumu unaosababishwa na hali ya hewa ya huko kwao, vinawalazimisha kufikiria zaidi. But God is very fair. I'm proud and happy to be born in africa.
Magonjwa yote ya hatari yaliwatesa vibaya mno, wakatuambukiza na sisi. Na tusingekuwa na mawasiliano nao magonjwa kama plague ambayo yaliweza kukata nusu ya idadi ya population huko ulaya na America yasingefika huku kwetu.
As you think, so you are.
Inategemea. Kwenye mazingira ya joto sana kuna Waafrika, Waarabu, Wahindi na Waasia wengine kama Burma na Cambodia. Kwenye mazingira ya baridi kuna Wazungu, WaEskimo, Wahindi Wekundu, n.k. Huwezi kusema baridi tu ndio imewafanya Wazungu wachangamke, ni exposure na kama nilivyogusia, kuacha makazi yao ya awali Afrika na kuhamia sehemu nyingine. Halafu location inasaidia, ukiwa kwenye hizo trade routes inasaidia maendelo kwa sababu unakutana na watu na technology kutoka sehemu mbalimbali; baruti kutoka China, hesabu kutoka Uarabuni, n,k.Yanayotoa akili zaidi niyapi , mazingira magumu au mazingira mazuri?
I was just thinking aloudInategemea. Kwenye mazingira ya joto sana kuna Waafrika, Waarabu, Wahindi na Waasia wengine kama Burma na Cambodia. Kwenye mazingira ya baridi kuna Wazungu, WaEskimo, Wahindi Wekundu, n.k. Huwezi kusema baridi tu ndio imewafanya Wazungu wachangamke, ni exposure na kama nilivyogusia, kuacha makazi yao ya awali Afrika na kuhamia sehemu nyingine. Halafu location inasaidia, ukiwa kwenye hizo trade routes inasaidia maendelo kwa sababu unakutana na watu na technology kutoka sehemu mbalimbali; baruti kutoka China, hesabu kutoka Uarabuni, n,k.
Sisi waafrika tulitakiwa kuishi msituni kama sokwe au nyani huku mjini tumepewa offer tu[/hahahahahahahaaahahaahhaaa swa mkuu
Ugonjwa wa wazungu unaowaua waafrika pekee? Akili gani hizi?Samahani kipindupindu ni ugonjwa wa wazungu ndio maana unatibika kwa dawa za wazungu
Hata Marekani yenyewe ilikuwa na malaria enzi hizo kwenye sehemu za kitropiki kidogo kama Louisiana na Florida. Na mpaka leo wakati wa kiangazi magari ya halmashauri za mji huwa yanapita kwenye sehemu zote za madimbwi wanamwaga dawa ya mbu. Hawakai tu na kufanya maombi.Hapa siongelei utajiri bali naongelea uwezo wetu sisi Waafrika kumudu mazingira tunayoishi.
Tazama mfano huu:Malaria ni ugonjwa unaopatikana zaidi Africa na Waafrika ndio tunaathirika zaidi na ugonjwa huu.
Swali ni je,dawa ya kutibu Malaria iligunduliwa na Mwafrika?Walioweza kugundua namna ugonjwa huu unavyoambukiza(mode of transmisssion) ni Waafrika?Malaria ingekuwa haina dawa, Tanzania ya leo ingekuwaje?
Kwa sababu tunachagua viongozi wasio na uwezo na sisi wenyewe hatujui kujituma. Kwa sababu kusafisha mazingara na kuhakikisha hamna uchafu au maji machafu ya kulea mbu haitaji msaada kutoka kwa WazunguKwa mfano huo tu,nikisema Waafrika tumeshindwa kuyatawala mazingira tunayoishi bali tuna-survive kwa msaada wa watu kutoka mabara mengine nitakuwa nakosea?
Shida ni kwamba tumevushwa kutoka maisha ya kijijini mpaka mjini kwa vizazi vichache. Wengine tunakaa mijini, lakini tabia zetu ni za vijijini.Mitishamba gani leo hii inatibu kipindupindu?Kipindupindu kingekuwa hakina dawa, leo hii bara hili lingekuwa na watu?
Huko sifiki, mimi naongelea mambo yanayoweza kuwa scientifically proven.Tukubali ni Mungu ndio alipanga iwe hivi na si kosa letu.
Kwa hiyo hao wazungu waliwaletea hilo zigo la magonjwa na kuwabwagia na nyie mmkalipokea kwa mikono miwili?mlikuwa na akili? Au mlitegemea hiyo body immunity iwasaidie kupambana na baridi,jua,mvua,na hata vijidudu vya kipindupindu vinavyotokana na uchafu?mbona wazungu nao wanadai kuwa ukimwi ulitoka afrika? Waafrika ni mabingwa wa kutafuta visingizio kwa each and every failures that floats and flows from their own heads!Na wao Wazungu walipokuja huku Ndio waliotuletea hayo magonjwa sasa ndio wanajifanya vinara wa kutuletea dawa na kutuuzia
Walituletea ukoloni na maradhi halafu huyu mleta mada kibarua wa wakoloni anawasifia hapa kwamba bila wao tungekufa kwa maradhi.Yaani maradhi watuletee wao halafu huyu kibarua wa wazungu analeta mada ya kuwasifia na kuwapuuza waafrika?Anaacha kusifia waafrika kuwa tulikuwa mbele mno kwa immune system na madawa yetu kiasi kuwa hayo maradhi yao Afrika tulikuwa hatuna hadi walipoyaleta kutoka kwao kupitia wazungu waliokuja ambao walikuja na hayo maradhi na hizo dawa zao.Wametufanya watumwa wa hayo maradhi yao na hizo dawa zao.Wametuachia umaskini kwa kuwa mapesa mengi yanatumika kununua dawa zao za maradhi waliyotuletea ambazo zingetumika kwa mambo muhimu mengine ya maendeleo
Mleta mada hajielewi namshauri akipata nafasi akasome kitabu cha HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA -bY WALTER RODNEY